Daily Archives: June 4, 2020

Kinana: Naomba Rais Magufuli anisamehe

KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amejitokeza hadharani na kumuomba msamaha Rais John Magufuli, kutokana na mazungumzo yaliyofanyika kwa simu kati yake na baadhi ya makada ...

Read More »

ACT-Wazalendo: Tumeupokea mwaliko wa Chadema

CHAMA cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania kimesema, kimeupokea kwa mikono miwili mwaliko uliitolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kauli hiyo ya ACT-Wazalendo wameitoa leo Alhamisi tarehe ...

Read More »

Waziri Ummy aonya wavuta sigara hadharani, atoa maagizo

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema Tanzania kama nchi nyingine za Kiafrika wavutaji wa tumbaku wako hatarini kuyumba kiuchumi na kupata magonjwa yasiyoambukizwa ...

Read More »

Wafanyakazi NEMC wasomewa mashtaka tisa

WAFANYAKAZI wanne wa Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka tisa yakiwemo kutia ...

Read More »

Wagonjwa 124 wa corona waongezeka Kenya

SERIKALI ya Kenya imetangaza wagonjwa wapya 124 wa virusi vya corona (Covid-19). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea) Akizungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi tarehe 4 Juni 2020, Waziri wa ...

Read More »

‘Rais, Spika na Jaji Mkuu hawatoshitakiwa Tanzania’

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamepinga muswada wa marekebisho ya sheria mbalimbali nchini namba 3 wa ...

Read More »

Laki 2 yamponza ‘mwenyekiti serikali’ ya mtaa

ALLY Mohamed Mtiga, mwenyekiti wa kamati ya mazingira mtaa wa Tambukareli Kata ya Azimio wilayani Temeke, Dar es Salaam, anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru ...

Read More »

Mamia wamzika mpigapicha wa waziri mkuu Tanzania

MKUU wa Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, Tom Apson ameongoza mazishi ya Chris Mfinanga, aliyekuwa mpigapicha wa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa yaliyofanyika kwenya kijiji cha Mangio, Vuchama, wilayani humo. Anaripoti ...

Read More »

Mbatia ‘amwita’ Mbowe, Zitto mezani

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, ‘wamealikwa’ kwenye meza ya mazungumzo na James Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha ...

Read More »

Wanawake wanapenyaje uchaguzi mkuu 2020?

JOTO la uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020 limeanza kufukuta, vyama mbalimbali vya siasa vimeanza kuweka mikakati yake ya kupata wagombea. Anaandika Mwandishi Wetu…(endelea). Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John ...

Read More »

Waliopona corona duniani milioni 3.1, vifo 388,353

WAGONJWA  wa virusi vya corona (COVID-19) waliopona duniani wafikia 3,183,578 huku vifo vikiwa 388,353. Unaripoti mtandao wa Worlometer … (endelea). Hadi kufikia leo Alhamisi tarehe 4 Juni 2020, mtandao huo ...

Read More »

Ripoti: Floyd alikuwa na corona, Uingereza na Ujerumani zalaani

UCHUNGUZI wa awali wa afya ya George Floyd umeonesha kwamba, alikuwa na maambukizi ya virusi vinavyosababisha homa kali ya mapafu corona (COVID-19). Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). Ripoti iliyotolewa jana ...

Read More »

Maofisa wanne NEMC kufikishwa mahakamani

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), inawafikisha watumishi wanne wa Baraza la Taifa la Uhifadhi wa Mazingira (NEMC) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kwa ...

Read More »
error: Content is protected !!