Daily Archives: June 3, 2020

Balozi Seif akerwa talaka za ovyo, unyanyasaji Z’bar

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi ameitaka Tume ya Haki za Binadamu Tanzania kufanya wajibu wake wa kuwaelimisha wananchi kuhusu haki ili kuelewa haki zao ...

Read More »

Mbunge Lwakatare, kula matapishi yake?

WILFRED Muganyizi Lwakatare, mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Bukoba Mjini, mkoani Kagera, aliyetangaza kustaafu mbio za ubunge, yuko mbioni kubadilisha maamuzi yake. Anaripoti Regina ...

Read More »

Rais Magufuli ateta na vigogo wa CCM Ikulu

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi, Rais John Pombe Magufuli amefanya kikao na viongozi waandamizi wa chama hicho akiwemo Rais wa Zanzibar, Ali Mohamed Shein. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). ...

Read More »

Maofisa 4 NEMC mbaroni tuhuma za utakatishaji fedha

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), inawashikilia watumishi wanne wa Baraza la Taifa la Uhifadhi wa Mazingira (NEMC) kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo makosa ya rushwa na utakatishaji fedha. ...

Read More »

Watatu mbaroni tuhuma mauaji ya dereva tax Dar

POLISI Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya dereva tax (UBER), Joseph Tillya Mpokala,(51),Mkazi wa Mbezi kwa Msuguli. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) ...

Read More »

Papa Francis atoa wito

PAPA Francis, Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani amesema, dunia haiwezi kupuuza ubaguzi wa rangi na kutengwa kwa watu. Inaripoti Mitandao ya kimataifa …(endelea) Pia, ametoa wito wa kusimamisha uharibifu ...

Read More »

Spika Ndugai, Mwambe wapeta

MAHAKAMA Kuu Masjala ya Dar es Salaam imetupilia mbali kesi ya kikatiba ya kupinga uamuzi wa Job Ndugai, Spika wa Bunge kumrejesha bungeni aliyekuwa mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe. Anaripoti Faki Sosi, ...

Read More »

Tundu Lisu: Nitagombea urais

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maaendeleo (Chadema)-Bara, amesema atagombea urais kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Amesema, ataandika barua ...

Read More »

Mnyika: Tunataka tume huru, nguvu ya umma haijawahi kushindwa

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, ameitaka Serikali kutumia kipindi kifupi kilichobaki cha uhai wa Bunge, kupeleka muswada wa maberebisho ya sheria yatakayowezesha uwepo wa ...

Read More »

Rushwa ya 100,000 yamponza muuguzi

RICHARD Zablon, muuguzi katika Zahanati ya Chamwino, jijini Dodoma, leo tarehe 3 Juni 2020 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi jijini humo, kwa tuhuma za kumuomba rushwa ya Sh. 100,000. Anaripoti ...

Read More »

Uchaguzi mkuu 2020: Chadema yafungua milango ya ushirikiano

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimefungua milango ya majadiliano na vyama vingine vya upinzani ili kushirikiana katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Ufahamu ulemavu wa miguu kifundo na madhara yake

SIKU ya miguu kifundo au nyayo za kupinda ulimwenguni huadhimishwa kila mwaka tarehe 3 Juni. Tarehe hii ilitokana na maadhimisho ya siku ya kuzaliwa ya Dk. Ignacio Ponseti, (1914-2009) Daktari aliyegundua ...

Read More »

Chadema yapuliza kipyenga cha Urais

CHAMA cha Demokrasia ya Maendeleo (Chadema) kimefungua milango kwa watia nia wa urais wa chama hicho kuanzia leo Jumatano tarehe 3, Juni hadi Juni 15,2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Akopesha wananchi kisha awasulubu

NELSON Ndalu (67) anatuhumiwa kukopesha wananchi kwa riba kubwa na kisha kuwafilisi kwa kutaifisha mali zao kinyume cha sheria. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na ...

Read More »

Trump amejifunza kwa Bush?

KAMA mji au jimbo litashindwa kuchukua hatua muhimu za kurejesha hali ya amani, basi nitatumia jeshi la Marekani kufanya kazi hiyo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Ni kauli ya ...

Read More »
error: Content is protected !!