Daily Archives: June 2, 2020

Uhamiaji wakabidhiwa nyumba 103, Majaliwa awapa ujumbe

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameitaka Idara ya Uhamiaji kutambua wajibu wao wa kutoa huduma iliyobora na inayokidhi matarajio ya wateja ambao ndiyo waajiri wao. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Majaliwa ...

Read More »

Bei za petroli, dizeli Dar ‘buku jero’

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ya Petroli, Dizeli na mafuta ya taa zitakazoanza kutumika kesho Jumatano tarehe 3 Juni 2020. ...

Read More »

Uchaguzi Mkuu 2020: NEC yabebeshwa tuhuma mpya

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), inalaumiwa kubagua vyama vya siasa vya upinzani. Ni katika maboresho ya kanuni mbalimbali za uchaguzi. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). Akizungumza na waandishi ...

Read More »

Makonda aruhusu daladala kusimamisha wanafunzi, atoa onyo kwa polisi 

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda, ameziagiza daladala jijini humo, kutowaacha wanafunzi vituoni kwa kigezo cha kubeba abiria kulingana na idadi ya viti ‘level seat’ ...

Read More »

Aliyekuwa bosi MSD, mwenzake mikononi mwa Takukuru

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), inamshikilia aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu na Kaimu mkurugenzi wa Lojistiki wa MSD, Byekwaso Tabura kwa tuhuma za rushwa. ...

Read More »

Mayweather kugharamia msiba wa Floyd

FLOYD Mayweather, bondia anayeongoza kwa kulipwa fedha nyingi dunia, amesema atalipa gharama zote zitazohitajika katika msiba wa George Floyd. Inaripoti mtanzano wa BBC…(endelea). Floyd, mmarekani mweusi aliuawa wiki iliyopita akiwa chini ...

Read More »

Ubunge, udiwani CCM kaa la moto, Takukuru, Polisi wapewa rungu

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, kimetoa utaratibu mpya utakaotumika kuwapata wagombea udiwani, ubunge na uwakilishi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea). Pia, ...

Read More »

Ofisa TRA, wenzake 17 wa CCM mbaroni tuhuma za rushwa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mtwara, imewakamata wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) 18 akiwamo Ofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Muhaji Mrope anayetaka ...

Read More »

Gazeti la MSETO lashinda kesi tena mahakamani

MAHAKAMA ya Rufaa ya Afrika Mashariki (EAC), imetupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na Jamhuri dhidi ya gazeti la kila wiki la MSETO, kupinga gazeti hilo kuendelea kuchapishwa. Anaripoti Mwandidishi Wetu, Arusha ...

Read More »

Mauaji Chicago, Trump atishia kutumia jeshi, Obama alaani

MAMBO yanazidi kwenda mrama Marekani, mauaji yanaanza kushuhudiwa kwenye maandamano ya kulaani kuuawa kwa Mmarekani mweuzi, George Floyd akiwa mikononi mwa polisi. Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). Licha ya polisi ...

Read More »

Ugawaji majimbo Z’bar, ACT-Wazalendo ‘walia’ figisu, ZEC yawajibu

JOTO la Uchaguzi wa urais, wabunge na wawakilishi utakaofanyika Oktoba 2020, visiwani Zanzibar, limepamba moto huku kukiwa na tuhuma za vyama vya upinzani, kufanyiwa figisu na Tume ya Uchaguzi (ZEC). ...

Read More »

Rais Magufuli awapa ujumbe wanaotaka kugombea uchaguzi mkuu

MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais John Pombe Magufuli, amewataka wanachama wa chama hicho, wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020, kujitathmini ...

Read More »

Chadema, ACT- Wazalendo kushirikiana uchaguzi mkuu 2020?

VYAMA viwili vya upinzani nchini Tanzania – Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na chama cha ACT-Wazalendo – viko mbioni kushirikiana ili kukabiliana na Rais John Pombe Magufuli, katika uchaguzi ...

Read More »
error: Content is protected !!