Daily Archives: June 1, 2020

Mtia nia CCM Jimbo la Ubungo adakwa na Takukuru

LIDA Lugani Mwakatuma, anayejipanga kugombea jimbo la Ubungo pamoja na viongozi watano wa Chama cha Mapinduzi (CCM), jimboni humo, wanashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kwa ...

Read More »

Waziri Ummy: Corona ipo

LICHA ya ripoti ya maambukizi ya virisi vinavyosababisha ugonjwa wa corona kupungua nchini, ugonjwa huo haujaisha nchini. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Kauli hiyo imetolewa na Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya leo ...

Read More »

Benki ya TPB, TIB Corparate zaunganishwa

SERIKALI ya Tanzania imetangaza kuziunganisha Benki ya TPB na TIB Corparate kuanzia leo tarehe 1 Juni, 2020. Anaripoti Mwandishi, Dodoma … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo ...

Read More »

Waziri Mkuu Majaliwa awanyooshea kidole waliochukua mali za mkonge

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Serikali ya inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli, itahakikisha mali zote za wakulima wa zao la mkonge nchini humo zinarudishwa mikononi mwao na ...

Read More »

Ya Martin Luther king 1968, yashuhudiwa tena 2020 Marekani

MAANDAMANO, vurugu na uharibifu katika kupinga ubaguzi wa rangi nchini Marekani mwaka 1968, chini ya mwanaharakati Martin Luther King Jr, sasa yanashuhudiwa tena. Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). Baada ya ...

Read More »

Takukuru nusura wamdake ‘mgombea’ ubunge CCM Ubungo, wanne mbaroni

MWANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anayejipanga kugombea ubunge katika Jimbo la Ubungo, jijini Dar es Salaam (jina tunalo), amewatoroka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru). Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Ratiba Ligi Kuu Bara hadharani

MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo leo ametangaza ratiba ya michezo iliyosalia ya Ligi Kuu Tanzania Bara na Ligi daraja la kwanza ambayo intarajia kuanza kupigwa terehe 13 ...

Read More »

IGP Sirro: Hatutaki matatizo uchaguzi mkuu 2020

IGP Simon Sirro, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini amesema, kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, jeshi hilo halitaki matatizo na mtu yeyote. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … ...

Read More »

Alibakwa, akaambukizwa Ukimwi, sasa shujaa

NI binti anayetimiza miaka 28 mwaka huu. Alibakwa akiwa na miaka 10 na kuwa chanzo cha kuambukizwa ugonjwa wa ukimwi. Ameishi na virusi vya ugonjwa huo kwa miaka 18 na ...

Read More »

Dawasa wakabidhiwa miradi 341, Prof. Mkumbo awapa heko

WIZARA ya Maji nchini Tanzania, imeipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa), kwa kushughulikia matatizo ya maji kwa wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ...

Read More »
error: Content is protected !!