Friday , 19 April 2024

Month: May 2020

AfyaHabari Mchanganyiko

Janga la Corona: NIMR yatafiti chanzo vifo wenye magonjwa sugu

TAASISI ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu nchini (NIMR) nchini Tanzania, inafanya utafiti kubaini chanzo cha watu wenye magonjwa sugu, kuathirika zaidi na...

Afya

Wagonjwa mil 1.3 wa corona wapona duniani

WAGONJWA 1,394,965 kati ya 4,030,053 waliokuwa wameambukizwa virusi vya corona (COVID-19) wamepona ugonjwa huo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Ugonjwa...

Afya

Serikali ya Tanzania: Hatujajitenga mapambano ya corona

SERIKALI ya Tanzania imesema haijajitenga na mataifa mengine katika utafiti wa dawa na chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na...

AfyaHabari MchanganyikoTangulizi

Prof. Kabudi atoa utaratibu wa dawa ya corona kutoka Madagascar 

SERIKALI ya Tanzania imesema itafanyia uchunguzi dawa za kinga na kutibu ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosabaishwa na virusi vya corona (COVID-19),...

Habari Mchanganyiko

Bosi KADCO afariki dunia

MHANDISI Christopher Mukoma, Kaimu Mkurugenzi wa Kampuni ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KADCO), amefariki dunia leo Ijumaa tarehe 8 Mei...

Habari za Siasa

Lwakatare ‘amrithi’ Mbowe U-KUB

WILFRED Lwakatare, Mbunge wa Bukoba Mjini kupia Chadema, amekana kumpindua Freeman Mbowe, katika nafasi ya Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB),...

Habari Mchanganyiko

Waziri Ummy atoa sababu kusitisha taarifa za corona

SERIKALI ya Tanzania imesema imesimama kutoa takwimu za mwenendo wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona (COVID-19), kwa...

Habari Mchanganyiko

Mhasibu wa AMCOS, wafanyabiashara 16 mikononi mwa Takukuru

PAUL Nkuba, Mhasibu wa Chama cha Msingi cha Wakulima wilayani Kishapu mkoa wa Shinyanga, cha MHEDI, pamoja na wafanyabiashara 16, wanashikiliwa na Taasisi...

Habari Mchanganyiko

Rais Magufuli ateua mwenyekiti TSC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Dk. Willy Komba kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu (Teachers’...

Habari za Siasa

Wizara Nishati yajivunia mafanikio lukuki 2015-2020

WIZARA ya Nishati na Madini imeeleza mafanikio yake kwa kipindi cha miaka mitano (2015-2020). Anaandika Danson Kaijage, Dodoma…(endelea).   Katika hotuba ya wizara...

Habari za Siasa

Mbowe atoa msimamo kurudi bungeni, kukatwa fedha

FREEMAN Mbowe, Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni nchini Tanzania, amesema linapokuja suala la usalama wa maisha, pesa haina thamani. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Wanafunzi waliosimamishwa UDSM, mikononi mwa baraza la nidhamu

HATIMA ya wanafunzi watano wakiwemo viongozi wa serikali ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Daruso) kuendelea na masomo au kufukuzwa...

Habari za SiasaTangulizi

Utata waibuka Mwambe kuendelea kuwa ‘mbunge’

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, ameibua hoja iliyoibua utata kuhusu Cecil Mwambe, aliyekuwa mbunge wa Ndanda, mkoani Mtwara, kupitia Chama cha...

Habari za Siasa

Jacob apambana kutetea umeya wake

BONIFACE Jacob, aliyevuliwa umeya wa Manispaa ya Ubungo, jijini Dar es Salaam, amesema taratibu zinamtambua kuwa bado ni Meya. Anaripoti Faki Sosi, Dar es...

Makala & Uchambuzi

Mkasa wa kusisimua wa Dk. Lamwai usioujua

KIFO cha Dk. Masumbuko Roman Lamwai, kilichokea usiku wa Jumatatu tarehe 4 Mei 2020, kimewatoa machozi Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS). Anaandika Regina Mkonde,...

Habari Mchanganyiko

Mhasibu wa halmashauri, msaidizi jela miaka saba kwa wizi Mil 34

MAHAKAMA ya Wilaya ya Simanjiro Mkoa wa Manyara nchini Tanzania imemhukumu Peter Mollel, aliyekuwa Mhasibu wa Halmashauri ya Simanjiro kifungo cha miaka saba...

Habari za SiasaTangulizi

Jinsi Chadema ilivyopoteza Mameya Dar

UCHAGUZI Mkuu nchini Tanzania uliofanyika tarehe 25 Oktoba 2015, ulishuhudia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kikipewa ridhaa na wananchi wa Jiji la...

Habari za Siasa

Wabunge walioko Dar watakiwa kujisalimisha Polisi

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam nchini Tanzania, limewataka wabunge waliokaidi agizo la kurejea bungeni jijini Dodoma ndani ya masaa...

Habari za Siasa

DC mwingine afariki dunia Tanzania

HAMIM Gwiyama, Mkuu wa Wilaya (DC) wa Nyang’hwale mkoani Geita amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Taarifa iliyotolewa na Rebecca Kwandu, Mkuu...

Habari Mchanganyiko

Wenyeviti wa vijiji wawili, mtendaji kata mbaroni Dodoma

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) nchini Tanzania, imewafikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, wenyeviti  wawili (wa kijiji na kitongoji),  pamoja na...

Habari za Siasa

Waziri Kigwangalla aeleza corona ilivyoivuruga sekta ya utalii

WAZIRI wa Maliasili na Utalii nchini Tanzania, Dk. Hamisi Kigwangalla amesema madhara ya kuwepo kwa ugonjwa wa corona yanaonekana kuwa makubwa zaidi na...

Habari Mchanganyiko

Wabunifu mavazi Tanzania wajitosa vita ya corona

CHAMA kinachoshughulikia na masuala ya ubunifu wa mavazi, Fashion Association of Tanzania (FAT), kimejitosa katika mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Homa Kali ya...

Afya

Wizara ya Afya waitaka NIMR kufanya utafiti wa Corona

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeitaka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kufanya utafiti...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe ‘apinduliwa’ bungeni

WABUNGE 12 kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), waliorejea bungeni kabla ya muda waliokubaliana na wenzao kumalizika, wameunda uongozi wao bungeni. Anaripoti...

Habari za Siasa

Wabunge 11 watengwa Chadema

TAKRIBANI wabunge 11 kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameng’olewa kutoka kwenye group la WhatsApp la wabunge wa chama hicho. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Rais Magufuli afanya uteuzi wa RAS, DC

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Dk. Delphine Magere kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani (RAS). Aanaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Zama za Meya Jacob zahitimishwa Ubungo

MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, Beatrice Dominic, amekiri kumuandikia barua Naibu Meya, Ramadhan Kwangaya, kukabidhiwa majukumu yote ya Umeya ndani...

Habari za Siasa

Silinde kuikimbia Chadema?

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ni wadhamini tu, wakishindwa kunidhamini kwenye uchaguzi, nitarudi kwa wapiga kura kupitia wadhamini (chama) wengine. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

TMA yatoa utabiri wa hali mbaya ya hewa

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa tahadhari ya hali mbaya ya hewa, kwa siku tano kuanzia jana Jumanne tarehe 5 hadi...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo waanza kuwashughulikia CCM

MAJIMBO yanayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), sasa yapo kwenye meza ya viongozi na makada wa Chama cha ACT-Wazalendo huku kila mmoja akieleza...

Habari za Siasa

Makonda atangaza kamatakamata ya wabunge, wao wamjia juu

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania ametoa saa 24 kwa wabunge waliopo jijini humo kurudi Dodoma kuhudhuria vikao...

Habari Mchanganyiko

Bei ya petroli, dizeli yashuka Tanzania

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) nchini Tanzania imesema, bei ya mafuta ya taa, petrol na dizeli zimepungua kwa...

Habari za Siasa

Ni kilio Wizara ya Viwanda na Biashara

SERIKALI imeshindwa kufikisha asilimia 50 ya bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara, iliyoidhinishwa na Bunge la Jamhuri kwa mwaka wa fedha 2019/20. Anaripoti...

Habari za Siasa

Dk. Lwaitama: Ni uhuru wa mawazo wa wabunge Chadema

HATUA ya baadhi ya wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kupuuza uamuzi wa chama hicho wa kutoendelea na vikao vya Bunge,...

Habari za SiasaTangulizi

David Silinde ajiuzulu

DAVID Silinde, Mbunge wa Momba, Songwe kupitia Chadema ametangaza kujizulu nafasi ya katibu wa wabunge wa chama hicho kuanzia jana Jumatatu tarehe 4...

Kimataifa

Corona: WHO yatoa onyo

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limetoa tahadhari kwa dawa za mitishamba zinazotengenezwa ili kukabiliana na virusi vinavyosababisha homa ya mapafu (corona). Inaripoti Mitandao ya...

Michezo

Serikali kuamua hatma ya Ligi Kuu Tanzania Bara

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) sambamba na Bodi ya Ligi imesema kuwa hatma ya kurejea kwa Ligi Kuu Tanzania Bara sambamba...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Dk. Masumbuko Lamwai, afariki dunia

DK. Masumbuko Mahunga Selasini Lamwai, aliyepata kuwa mbunge wa Ubungo (NCCR -Mageuzi) na mbunge wa kuteuliwa na Rais, mwanasheria nguli nchini, amefariki dunia....

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yatimiza miaka sita, Zitto atoa ujumbe

CHAMA cha siasa cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania leo Jumanne tarehe 5 Mei 2020 kinaadhimisha miaka sita tangu kiliposajiliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli sasa kufunga Bunge mwishoni mwa mwezi

BUNGE la Tanzania, sasa limeamua kufungasha vilago vyake, mwezi mmoja kabla ya muda wake wa awali uliopangwa na uongozi wa Bunge hilo. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Watetezi TV washinda rufaa dhidi ya TCRA

ADHABU  iliyotolewa na Kamati ya Maadili ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kwa Televisheni ya Mtandaoni ya Watetezi TV ya faini ya Shilingi 5...

Habari za Siasa

Meya Jacob agonga mwamba kuingia ofisini, barua zamiminika kwa DED

BONIFACE Jacob, Meya wa Manispaa wa Ubungo jijini Dar es Salaam leo Jumatatu tarehe 4 Mei 2020 ameshindwa kuingia ofisini kuendelea na majukumu...

Habari za Siasa

SAKATA LA MEYA UBUNGO: Tamisemi yaingilia kati 

HATMA ya Meya wa Ubungo, Boniface Jacob, sasa iko mikononi mwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za...

Habari Mchanganyiko

Msikiti wa Mtoro Dar uliofungwa, wafunguliwa

BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), limeamua kuufungua Msikiti wa Mtoro, ulioko maeneo ya Kariakoo, jijini Dar es Salaam, uliopangwa kufungwa kwa muda...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge 10 Chadema wamgomea Mbowe, watinga bungeni

TAKRIBANI wabunge 10 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamegoma kutii maelekezo yaliyotolewa na mwenyekiti wa chama hicho taifa, Freeman Mbowe. Anaripoti...

Habari

Corona: Ni hekaheka Maabara ya Taifa

DAKTARI Nyambura Moremi, Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Jacob Lusekjelo, Meneja Udhibiti wa Ubora wamesimamishwa kazi kufuatia tuhuma...

Habari za Siasa

Spika Ndugai amuelezea mbunge mwenye corona

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema, mbunge aliyekuwa aliyeambukizwa virusi vya corona (COVID-19), ataruhusiwa mda wowote kutoka...

Habari za Siasa

Mazishi ya usiku yamshtua Zitto

WAKATI Serikali ya Tanzania ikipiga marufuku utaratibu hasi wa mazishi ya usiku katika Halmashauri kadhaa nchini, Zitto Kabwe ameitaka serikali kutimiza wajibu wake....

Habari za Siasa

Rais Magufuli ateua bosi mpya MSD

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Brigedia Jenerali Dk. Gabriel Sauli Mhidize kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya...

Habari Mchanganyiko

Dawa ya corona kutua Tanzania

DAWA ya ugonjwa wa corona (COVID-19), inayotengeneza nchini Madagascar, sasa itatumika nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Ni kwa kuwa, Serikali...

error: Content is protected !!