Thursday , 25 April 2024

Month: May 2020

Habari za Siasa

Mbunge CCM ahoji mbwa kukagua watoto, vyakula bandarini

MBUNGE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (CCM), Jaku Hashim Ayoub amehoji sababu za mbwa kutumika kwa ukaguzi wa vyakula na watoto wadogo katika...

Habari za Siasa

Majaliwa amtaka bosi Tanesco kusimamia ipasavyo JNHPP 

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Dk. Tito Mwinuka kusimamia mradi ujenzi wa mradi...

Habari Mchanganyiko

Waziri Mkuu Majaliwa akagua SGR, yazalisha ajira 18,700

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) na kusema mradi huo umesaidia kupungua tatizo la ajira kwa kuajiri wafanyakazi...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge waliofukuzwa Chadema, watinga kwa Msajili

WABUNGE waliofukuzwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekata rufaa ofisi ya msajili wa vyama vingi vya siasa kupinga uamuzi uliochukuliwa dhidi yao....

Habari Mchanganyiko

Viongozi 140 waiandikia barua WHO kutaka dawa ya corona iwe bure 

RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa na Imran Khan, Waziri Mkuu ni miongoni mwa viongozi 140 waliosaini barua kwenda Shirika la Afya Duniani...

Michezo

TFF yafafanua juu ya matumizi ya fedha za FIFA

KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania ( TFF), Wilfred Kidao ametoa ufafanuzi juu ya matumizi ya fedha kutoka Shirikisho la...

Kimataifa

Hekaheka yaibuka ndani ya ndege Marekani

HEKAHEKA imeibuka ndani ya ndege ya Jet Blue, ambapo abiriwa waliokuwa wakitoka katika uwanja wa Ndege wa San Juan (Carolina) kwenda Miami, waligoma kusafiri. Unaripoti...

Habari Mchanganyiko

Polisi Tanzania yaomba kusaidiwa vifaa kinga mapambano ya corona

JESHI la Polisi Makao makuu, Ofisi ndogo Dar es Salaam limepokea lita 100 za vipukusi (sanitizers) pamoja na dispenser 5, ikiwa ni sehemu...

ElimuHabari za Siasa

Walimu 18,181 wameajiriwa 2015/20 – Serikali

SERIKALI imeeleza, kuanzia mwaka 2015 mpaka 2020, sekta ya elimu imeajiri walimu 18,181. Shule ya Msingi 10,666, sekondari 7,218 na mafundi sanifu maabara...

Habari Mchanganyiko

Qwihaya waipiga ‘tafu’ Polisi vita ya corona

KAMPUNI inayozalisha nguzo za umeme ya Qwihaya General Enterprise Co Ltd imelikumbuka jeshi la Polisi mjini Mafinga, wilayani Mfindi Mkoa wa Iringa kwa...

Habari Mchanganyiko

Corona inavyowatesa wafanyabiashara kuelekea Sikukuu ya Eid

BAADHI ya Wafanyabiashara  katika Soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam, wameeleza namna janga la mlipuko wa virusi vya Corona, lilivyoathiri biashara zao....

Habari za Siasa

Profesa Kabudi atoa sababu Rais Magufuli kutoshiriki vikao vya marais

PROFESA Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, amesema Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ambaye ni Mwenyekiti...

Habari za Siasa

Wakati gani mmiliki wa silaha akiua, anakuwa na hatia?

WIZARA ya Mambo ya Ndani nchini Tanzania imeeleza, hakuna mazingira yanayomruhusu mmilikiwa wa silaha kuua, na ikitokea hivyo, mahakama itapima. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge Chadema wasalitiana

SIRI imefichuka. Baadhi ya wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), walikaidi chini kwa chini, maelekezo ya mwenyekiti wao, Freeman Mbowe. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Madereva 23 wa Tanzania wakutwa na corona, wazuiwa kuingia Kenya

SERIKALI ya Kenya imewazuia madareva 25 wakiwamo 23 wa Tanzania kuingia nchini humo baada ya kuwapima na kuwakuta na maambukizo ya virufi vya...

Habari Mchanganyiko

Sukari yaendelea kuadimika

KUADIMIKA kwa bidhaa ya sukari katika baadhi ya maeneo Dar es Salaam nchini Tanzania, kumeendelea kuathiri wakazi na wafanyabiashara jijini humo. Anaripoti Regina...

Habari Mchanganyiko

Kesi ya Tito Magoti yapigwa kalenda

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, imeahirisha kesi inayomkabili Tito Magoti, mfanyakazi wa Kituo cha Sheria na Haki...

Habari za Siasa

Majaliwa ataka Suma JKT kuongeza kasi ujenzi ofisi za NEC

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)...

Habari za Siasa

Prof. Kabudi: Tunatuhumiwa ukiukwaji haki za binadamu

TANZANIA inatuhumiwa kwa ukiukwaji wa haki za binadamu ikiwemo kujieleza, kutoa maoni, kujumuika na kukusanyika. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Akizungumza wakati wa...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai awapiga ‘stop’ wabunge 15 Chadema, akiwamo Mbowe 

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametoa orodha ya wabunge 15 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

Kimataifa

‘Lockdown’ siku ya Eid

SIKU ya Sikukuu ya Eid el Fitr na siku nne mbele, wananchi wa Saudi Arabia wametangaziwa kutotoka nje. Utekelezaji wa tangazo hilo utaanzia...

Habari Mchanganyiko

Papa amteua Askofu Nzigilwa, kuwa Askofu Mkuu jimbo la Mpanda

BABA Mtakatifu, Francisko amemteuwa Askofu msaidizi, Eusebius Nzigilwa kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Mpanda, Mkoa wa Katavi. Kabla ya uteuzi huu, Askofu...

Afya

Corona yaanza kulipuka upya Hong Kong

MJI wa Hong Kong nchini China, leo Jumatano tarehe 13 Mei 2020, umeripoti wagonjwa wawili wapya wenye maambukizo wa virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti...

Habari za Siasa

Viwanda 8,477 vyajengwa awamu ya tano ya JPM

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa amesema, tangu Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani tarehe 5 Novemba 2015, imefanikiwa kuanzisha viwanda...

Habari za Siasa

Ujenzi Daraja la Wami wafikia asilimia 37.5

UJENZI wa darala jipya la Wami unaogharamiwa na serikali ya Tanzania kwa asilimia 100, umefika asilimia 37.5 ili kukamilika. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...

Habari za Siasa

Mabasi 165 ya mwendokasi kuongezwa Dar

SERIKALI ya Tanzania imesema mchakato unafanyika kununua mabasi 165 ili kupunguza adha ya usafiri wa mradi wa mabasi yaendayo haraka katika Jiji la...

Habari Mchanganyiko

Mzee wa upako awavaa Chadema, Fatma Karume

MCHUNGAJI wa Kanisa la Maombezi (GRC), Antoni Lusekelo maarufu kama ‘Mzee wa Upako’, amekivaa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuhusu misimamo yake...

Habari Mchanganyiko

Serikali ya Tanzania kununua chakula kuikabili corona

SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kununua tani 735,000 za chakula, zinazotosheleza kwa matumizi ya nchi nzima, katika kipindi cha mwezi mmoja. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

Habari za Siasa

Bunge la Tanzania lashauri corona igeuzwe fursa

KAMATI ya Kudumu ya  Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji nchini Tanzania, imependekeza wakati huu dunia ikiwa kwenye janga la ugonjwa wa homa...

Habari za Siasa

Waziri Hasunga azungumzia tatizo la sukari Tanzania

SERIKALI ya Tanzania imesema bidhaa ya sukari imeadimika nchini, kutokana na uzalishaji wake katika msimu wa mwaka 2019/2020, kukumbwa na changamoto mbalimbali. Anaripoti...

Habari MchanganyikoKimataifa

Weijia Jiang, mwandishi aliyemtoa Rais Trump kwenye ‘reli’

MKUTANO wa Rais wa Marekani, Donald Trump na wanahabari, umevunjika baada ya rais huyo kuulizwa maswali yaliyomchefua. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea).  Mkutano huo ulifanyika...

Michezo

Wachezaji EPL wagoma kurudi mazoezini

PAMOJA na Serikali Uingereza kutoa taarifa kuwa kuna uwezekano michezo ikarejea Juni Mosi, 2020 lakini baadhi ya wachezaji wa klabu za Ligi Kuu...

Habari za Siasa

Mrithi wa Boniface Jacob akabidhiwa ofisi, vitendea kazi 

MKURUGENZI wa Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam, Beatrice Dominic amemkabidhi Ramadhan Kwangaya, ofisi ya Meya wa Manispaa hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari MchanganyikoTangulizi

BoT yashusha ahueni kwa wakopaji

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imezitaka benki na taasisi za fedha nchini humo, kutoa unafuu wa urejeshaji mikopo, ili kupunguza makali ya athari...

Habari za Siasa

Wabunge waliofukuzwa Chadema watema nyongo 

WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, waliovuliwa uanachama wa chama hicho, wamekosoa uamuzi wa kufukuzwa wakisema haukuzingatia misingi ya...

Habari za Siasa

Spika Ndugai ashauri msajili kuitupia macho Chadema

LICHA ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kuwavua uanachama wabunge wake wanne, kwa kutotii maagizo ya chama...

Habari za Siasa

Machinga Complex sasa kujengwa kila wilaya

KASSIM Majaliwa Waziri Mkuu amesema ili kumaliza tatizo la ukosefu wa ajira, masoko ya wafanyabiashara ndogondogo kama Machinga Complex yanatakiwa kujengwa katika halmashauri...

Makala & Uchambuzi

Fili Karashani, Mtoto wa Tasnia ya Habari Barani Africa

SAA sita na dakika ishirini na moja mchana wa Jumapili terehe 10 Mei 2020 nilizungumza na Kagina Karashani kuhusu maendeleo ya matibabu ya...

Habari za SiasaTangulizi

Vyama 11 vya siasa Tanzania vyataka uchaguzi usogezwe mbele

JANGA la mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19), limeathiri shughuli za vyama vya siasa katika...

Habari za Siasa

Tamisemi yamkalia kooni Boniface Jacob

NAIBU Waziri wa  Ofisi ya Rais, Tawala za  Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) nchini Tanzania, Mwita Waitara amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa...

Habari Mchanganyiko

Takukuru Kinondoni yapanguliwa, uchunguzi waendelea

MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, Brigedia Jenerali, John Mbungo amepangua safu ya uongozi wa taasisi...

Habari za Siasa

Chadema wamvimbia Spika Ndugai

WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameagizwa kutotii agizo la Job Ndugai, Spika wa Bunge kwamba warejeshe fedha za posho walizopewa. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yafukuza wabunge wanne, wengine 11 kikaangoni

WABUNGE wanne kati ya 15 ‘walioasi’ uamuzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutohudhuria vikao vya Bunge ili kujiweka karantini kwa siku...

Habari za Siasa

CHAUMMA yataka uwazi taarifa za corona, waathirika wafidiwe

CHAMA cha siasa cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) nchini Tanzania, kimeitaka Serikali nchini humo kutoa takwimu mara kwa mara, kuhusu mwenendo wa ugonjwa...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai kushtakiwa mahakamani

HATUA ya Job Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania kumpa fursa ya kurejea bungeni Cecil Mwambe aliyejivua uanachama wa Chadema, sasa itamfikisha mahakamani....

Habari Mchanganyiko

Sukari Morogoro majanga, wafanyabiashara wasusa

UPATIKANAJI wa sukari katika Mkoa wa Morogoro, umekuwa mgumu kutokana na uhaba unaotajwa kuchagizwa na bei elekezi ya serikali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Morogoro...

Kimataifa

Obama amnaga Trump, Ikulu yamtetea

BARACK Obama, Rais Mstaafu wa Marekani, amemtuhumu rais wa sasa Donald Trump kwamba ameshindwa kuukabili ugonjwa wa mapafu unaosababishwa na virusi vya corona...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kushushia rungu wabunge waasi

KAMATI Kuu (CC) ya Chama cha Demecrasia na Maendeleo (Chadema), imeanza kuwajadili wabunge wake 16 walioamua kuasi maelekezo ya mwenyekiti wao, Freeman Mbowe....

Habari za Siasa

Mbowe aendesha kikao cha kamati kuu kidigitali

KAMATI Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imeanza vikao vyake leo Jumamosi tarehe 9 Mei 2020 kwa njia ya kidigitali chini...

Habari za SiasaTangulizi

Lwakatare awaita bungeni wabunge Chadema walioingia mitini

WILFRED Lwakatare, kiongozi wa wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, waliorejea bungeni kupinga maelekezo ya viongozi wao ya kutoingia...

error: Content is protected !!