MKUU wa Mkoa wa Arusha (RC), Mrisho Gambo amesema, Serikali ya Kenya inakata kutumia ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) kuua utalii...
By Mwandishi WetuMay 20, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kwa tuhuma za kuhusika na upotevu...
By Mwandishi WetuMay 19, 2020ANGELINA Malembeka, Mbunge Viti Maalumu kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) ameishauri Serikali iwaongezee posho askari polisi, ili wajiepushe na tamaa wanaposimamia zoezi la...
By Mwandishi WetuMay 19, 2020PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, amewaagiza wananchi wa jiji hilo kurejea kwenye shughuli zao kama ilivyokuwa awali....
By Faki SosiMay 19, 2020TISHO la virusi vya corona limebadili utaratibu wa maisha duniani. Mfano ulio wazi ni Jiji la New York, Marekani wikiendi iliyopita. Inaripoti mitandao ya...
By Mwandishi WetuMay 19, 2020MWENYEKITI wa Yanga, Dk. Mshindo Msolwa leo amezindua kampeni ya kuelekea mfumo wa mabadiliko ya kiuendeshaji ambayo yatakuwa chini ya kamati ndogo ya...
By Kelvin MwaipunguMay 19, 2020MBUNGE wa Kilombero, Kusini Mashariki mwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Peter Ambrose Lijualikali (35), amekuwa mbunge wa 17 kutoka Chama cha Demokrasia...
By Mwandishi WetuMay 19, 2020TAIFA la Burundi kesho Jumatano tarehe 20 Mei, 2020, linaingia kwenye uchaguzi ‘peke yake.’ Hakuna waangalizi wa kimataifa wala Umoja wa Afrika. Utawala...
By Mwandishi WetuMay 19, 2020MCHUNGAJI Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), amemuomba radhi Abdulrahman Kinana, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa kumhusisha na...
By Hamisi MgutaMay 19, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetoa sababu za kuchelewa kutoa vibali vya utoaji elimu ya mpiga kura na uangalizi wa...
By Regina MkondeMay 19, 2020SERIKALI ya Tanzania imetaja mikoa sita inayoongoza kwa tatizo la udumavu, kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuMay 19, 2020SERIKALI ya Tanzania imerejesha huduma ya safari za ndege za abira za kimataifa, zilizositishwa mwezi mmoja uliopita. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...
By Regina MkondeMay 19, 2020MBUNGE wa Kilombero (Chadema), Peter Lijualikali, amejiondoa katika chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Akizungumza bungeni Mjini Dodoma jioni ya leo,...
By Mwandishi WetuMay 18, 2020JOB Ndugai, Spika wa Bunge ameonesha kukerwa na kitendo cha Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Deemokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, kuzungumza na...
By Mwandishi WetuMay 18, 2020WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Joyce Ndalichako ameitaka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), kujiandaa...
By Mwandishi WetuMay 18, 2020SERIKALI ya Tanzania, imewasilisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2020 bungeni ambao pamoja na mambo mengine, unapendekeza mawakili wanaoteuliwa...
By Danson KaijageMay 18, 2020KAMISHNA wa Magereza Tanzania, Jenerali Suleiman Mzee ameikabishi klabu ya Tanzania Prisons basi dogo aina ya Toyota Coaster itakayotumika na timu hiyo katika...
By Kelvin MwaipunguMay 18, 2020SERIKALI imeeleza kwamba, pindi taratibu zitakapokamilika, wachimbaji katika Wilaya ya Mbogwe, Geita watapatiwa leseni za uchimbaji. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kauli...
By Danson KaijageMay 18, 2020SHUGHULI za Bunge la 11 nchini Tanzania, zinatarajiwa kuhitimishwa rasmi tarehe 19 Juni 2020 kwa Rais John Magufuli kulihutubia. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Taarifa...
By Mwandishi WetuMay 18, 2020BAADHI ya nyota ya Manchester United jana walionekana kurejea kwenye eneo la viwanja vya mazoezi vya klabu hiyo (Carrinton) kwa ajili ya kufanya...
By Kelvin MwaipunguMay 18, 2020WAKATI michakato ya kuwapata wagombea ndani ya vyama vya siasa watakaoshiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020 nchini Tanzania ukiendelea, wito umetolewa kwa vyama...
By Masalu ErastoMay 18, 2020TAIFA la Brazil linazama, virusi vya corona vinatesa wakazi wake. Katika saa 24 zilizopita wagonjwa 15,305 wameripotiwa, vifo 824 na kufanya jumla ya...
By Masalu ErastoMay 18, 2020DK. Faustine Ndigulile, amekuwa kiongozi wa sita, ndani ya wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto, kuenguliwa kwenye wadhifa wake....
By Mwandishi WetuMay 18, 2020RAIS John Magufuli amemwagiza Dk. Hamisi Kigwangalla, Waziri wa Utalii na Injinia Isack Kimwelwe, Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano kuruhusu ndege za utalii...
By Faki SosiMay 17, 2020MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameeleza kuwa mapambano dhidi ya gonjwa la Corona, hayahitaji mzaha au kibri. Anaripoti...
By Hamisi MgutaMay 17, 2020RAIS John Magufuli anafikiria kufungua Vyuo Vikuu wiki ijayo, ili wanafunzi wanendelee na masomo iwapo maambukizi ya virusi vya corona yataendelea kupungua. Anaripoti...
By Faki SosiMay 17, 2020DANIEL Emanuel (32), mkazi wa Arusha, Sakila katika Wilaya ya Arumeru, amekuta akinywa damu ya mama yake Eliyamulika Emmanuel Sarakikya (79) baada ya...
By Mwandishi WetuMay 17, 2020Kipima joto kilichotolewa na Kampuni ya Qwihaya General Enterprises Co Ltd kimesababisha wananchi wanaofanya kazi stendi ya Mafinga wilayani Mufindi mkoani Iringa kusimamisha...
By Mwandishi WetuMay 17, 2020DK. Faustine Ndugulile, amemshukuru Rais wa Tanzania, John Pombe Mangufuli kumteua kufanya kazi kama naibu waziri wa afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee...
By Mwandishi WetuMay 17, 2020RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua, Dk. Godwin Mollel kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya...
By Regina MkondeMay 16, 2020WIZARA ya sheria nchini Ufaransa, imetangaza kumkatama Félicien Kabuga, mmoja wa watuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda yaliyotokea mwaka 1994. Inaripoti mitandao...
By Mwandishi WetuMay 16, 2020TANZANIA Bara, leo Jumamaosi tarehe 16 Mei, 2020, imeingia siku ya 17 bila ya taarifa za mwenendo wa hali ya ugonjwa wa homa...
By Regina MkondeMay 16, 2020MKURUGENZI wa Mambo ya Nje, Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mrema, amedai kuwa wabunge wake waliofukuzwa wana...
By Mwandishi WetuMay 16, 2020RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema, kuanzia leo Jumamosi tarehe 16 Mei, 2020 saa 6 usiku, mpaka wa Kenya na Tanzania (Namanga) na...
By Mwandishi WetuMay 16, 2020MAREKANI imeendelea kuwa taifa linaloongoza kwa vifo vinavyotokana na ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Kwa...
By Mwandishi WetuMay 16, 2020BAADA ya kusimama kwa muda wa mwezi mmoja na nusu kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Covid 19, hatimaye Ligi Kuu ya soka...
By Kelvin MwaipunguMay 16, 2020KAKA tuchati. Linaweza lisiwe neno geni masikioni mwako hasa katika kipindi hiki kifupi ambapo wasanii wa muziki nchini Tanzania, Roma na Stamina wameachia...
By Mwandishi WetuMay 16, 2020SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imepokea mashine moja kati ya tatu ya kupima ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya...
By Mwandishi WetuMay 15, 2020ALIYEKUWA makamu mwenyekiti wa taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Prof. Abdallah Safari, amekosoa uaamuzi wa Kamati Kuu (CC) ya chama...
By Faki SosiMay 15, 2020KAMATI ya Bunge ya Bajeti, imeishauri Serikali ya Tanzania kuliomba Shirika la Fedha Duniani (IMF), fedha kwa ajili ya kupambana na athari za...
By Danson KaijageMay 15, 2020UMMY Mwalimu, Waziri wa Afya, amewataka Watanzania kuwalinda watoto na wazee dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na...
By Hamisi MgutaMay 15, 2020WAZIRI wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Philip Mpango amebainisha changamoto tano ambazo zinaikabili wizara hiyo ikiwamo mlipuko wa ugonjwa wa homa...
By Mwandishi WetuMay 15, 2020NCHI ya Slovenia, iliyo na watu 2,078,901, wiki hii limekuwa taifa la kwanza barani Ulaya kutangaza hitimisho la maambukizi mapya ya virusi vinavyosababisha homa...
By Mwandishi WetuMay 15, 2020SERIKALI ya Tanzania imesema, kati ya Julai 2019 na Machi, 2020 imelipa mafao na pensheni kwa wastaafu wa Serikali 57,605, mirathi kwa warithi 1,006...
By Mwandishi WetuMay 15, 2020WANASIASA kadhaa wanahojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya rushwa, katika mchakato wa...
By Regina MkondeMay 15, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, imetoa siku 16 kwa vyama sita vya ushirika kurejesha mamilioni ya wakulima wanayodaiwa...
By Kelvin MwaipunguMay 15, 2020SARATANI ya Mlango wa Kizazi ndio saratani inaoongoza nchini Tanzania kuliko nyingine zinazowakabili binadamu. Anaripoti Danson Kaijage…(endelea) Hata hivyo imeelezwa kwa pamoja na...
By Danson KaijageMay 15, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), imesema inalichunguza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kuhusu matumizi mabaya ya fedha,...
By Kelvin MwaipunguMay 15, 2020WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), waliotii agizo la chama hicho la kukaa karantini kwa muda wa siku 14, wanatarajia kurejea...
By Regina MkondeMay 15, 2020JUMUIYA ya Wanawake wa dini ya Kiislamu (JUAKITA) mkoa wa Dodoma, imesema moja ya mkakati wake wa kuepukana na ugonjwa hatari wa maambukizi...
By Danson KaijageMay 15, 2020