Monthly Archives: May 2020

Chadema yawageukia wanaohoji matumizi ya fedha

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewataka wabunge wenye ushahidi juu ya tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, kuuweka hadharani. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea). Kauli hiyo ...

Read More »

Wafanyabiashara kutoa elimu ya Corona minadani

UONGOZI wa Umoja wa Wafanyabiashara waendao minadani Mkoani Dodoma (UWABIMIDO) umesema kuwa pamoja na kufanya shughuli zao za kujiingizia kipato lakini wanatoa elimu ya kujikinga na kirusi kinachosababisha ugonjwa wa ...

Read More »

Majaliwa: Upandaji Michikichi kuanza Oktoba, wananchi kupewa bure

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema upandaji wa zao la michikichi utaanza rasmi Oktoba 2020 na kama kuna mtu mmoja mmoja au kikundi wanataka kulima chikichi, waandae mashamba yao ...

Read More »

Polisi Tanzania yatoa sababu kuendelea kumshikilia Idris

JESHI la Polisi nchini Tanzania, limeeleza sababu za kuendelea kumshikilia Idris Sultani, Msanii wa Vichekesho Tanzania, anayesota rumande kwa muda wa siku tano, ni uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili kutokamilika. Anaripoti ...

Read More »

Vyuo Tanzania vyatakiwa kufidia muda wa masomo

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania imevitaka vyuo vikuu nchini humo kujiandaa kikamilifu ili kukamilisha mitaala pindi vyuo vitakapofungiliwa tarehe 1 Juni, 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Uhaba wa sukari wamuibua Dk. Bashiru, awataja mawaziri

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, kimeielekeza Serikali kuweka mikakati itakayomaliza changamoto ya uhaba wa sukari nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Pwani … (endelea). Maelekezo hayo yametolewa leo Jumamosi tarehe 23 ...

Read More »

Wagonjwa wa Fistula wasibaki nyumbani

WAZIRI wa Afya Tanzania, Ummy Mwalimu amesema Wanawake wenye matatizo ya Fistula wanatakiwa kuacha tabia ya kujifungia ndani na badala yake waende kupata matibabu katika Hospitali zilizoainishwa na Serikali bila ...

Read More »

Ligi Kuu Hispania ‘La Liga’ Juni 8

SERIKALI ya Hispania kupitia Waziri Mkuu wake Pedro Sanchez, ametangaza kuwa Ligi Kuu Hispania ‘La Liga’ itarejea tena Juni 8, 2020 baada ya kusimama kwa mwezi mmoja kutokana na kuibuka ...

Read More »

Tanzania yaanzisha maabara mpya ya corona

SERIKALI ya Tanzania imeanzisha maabara mpya ya kupima ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona (Covid-19). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Hatua hiyo ...

Read More »

Dk. Bashiru ataja mambo 3 kuimaliza corona, ataka Kigogo apuuzwe

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally ametaja mambo makubwa matatu yanayowezesha Tanzania kushinda vita ya mapambano ya maambukizi ya ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19). ...

Read More »

Ukimya takwimu za corona: Askofu Niwemugizi arudisha Ibada

ASKOFU Severine Niwemugizi, Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara mkoani Kagera ametangaza kurejesha misa jimboni humo kuanzia kesho Jumapili ya tarehe 24 Mei, 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Idris asota siku 5 rumande, Polisi warushiana mipira

IDRIS Sultani, Msanii wa vichekesho nchini Tanzania, anaendelea kusota rumande, katika Kituo cha Polisi  cha Oysterbay jijini Dar es Salaam, kwa kosa la kuidhihaki picha ya Rais wa nchi hiyo, ...

Read More »

Zitto aunda timu uandishi ilani ya ACT-Wazalendo

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, ameunda timu ya watu kumi ili kuandaa Ilani ya Uchaguzi Mkuu 2020/2025. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea) Taarifa ya Zitto aliyoitoa ...

Read More »

TRA yashindwa kukusanya Sh. 712 bilioni

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) nchini Tanzania, imebaini hadi kufikia tarehe 30 Aprili, 2020 zaidi ya Sh. 712.4  bilioni hazikukusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania ...

Read More »

PAC: BoT inachelewa kuhesabu, kuharibu fedha

KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) nchini Tanzania, imesema Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imekuwa ikichelewa kuhesabu fedha zinazotoka benki za biashara. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea) PAC imesema ...

Read More »

#live: Kinachoendelea Bungeni muda huu

Tazama LIVE Mkutano wa Bunge, Mkutano wa 19 kikao cha 35 tarehe 22 May 2020

Read More »

CAG aichunguza TPA, Bunge latoa maagizo

OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini Tanzania, imeanza ukaguzi maalumu kwa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Taarifa hiyo imetolewa leo Ijumaa ...

Read More »

Makonda atoa siku 10 Hospitali ya Kigamboni ianze kazi

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ametoa siku kumi kwa uongozi wa Manispaa ya Kigamboni kuhakikisha Hospital wilaya hiyo inaanza kutoa huduma kwa wananchi ifikapo tarehe 1 ...

Read More »

Bunge lataka Serikali iisaidie Tanesco ilipwe mabilioni

KAMATI ya Kudumu ya Bunge  ya Hesabu za Serikali (PAC) nchini Tanzania, imeishauri Serikali kuhakikisha Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), linalipwa fedha  zaidi ya  Sh. 454  bilioni, inazodai kutoka taasisi ...

Read More »

PAC yabaini ‘madudu’ NIDA, Bil 1 za Tamasha la Utalii

KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) nchini Tanzania, imebaini upungufu katika maeneo mawili ndani ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na matumizi yasiyozingatia taratibu ya Sh. 1.51 ...

Read More »

Wabunge wa Viti Maalum Chadema, waanza kuondoka 

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimepata pigo jingine, kufuatia hatua ya wabunge wake wawili, Suzana Maselle (Mwanza) na Joyce Sokombi (Mara), kutangaza kuondoka kwenye chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Ndege yaanguka, 107 wahofiwa kufa

HABIRIA 107 waliokuwa ndani Airbus A320, ndege ya Shirika la Ndega la Pakistan, wanahofia kufariki dunia baada ya ndege hiyo kuangua Karachi, Pakistan ikitokea Lahore. Inaripoti mitandao ya kimataifa … ...

Read More »

Dk. Mwakyembe: Tunafungua Ligi kwa tahadhari kubwa

BAADA Rais wa Tanzania, John Magufuli kuruhusu shughuli za michezo kuendelea kuanzia Juni Mosi, 2020, Waziri wa Habari, Sanaa, utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe amesema kuwa wanaenda kufungua Ligi ...

Read More »

Kauli ya Mbowe, Zitto iliyomchefua Polepole, ataka wanyimwe kura

HATUA ya Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutaka wananchi wafungiwe ndani kuepuka maambukizi ya corona (COVID-19), limemkera ...

Read More »

#VIDEO: Humphrey Polepole akizungumza na waandishi wa habari

Tazama LIVE Mkutano wa Katibu Muenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Humphrey Polepole akizungumza na waandishi wa habari muda huu kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea nchini.

Read More »

CCM kuwafyeka ‘wateule wa Rais’ walioanza kampeni mapema

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania amewatangazia kiama, watumishi wa umma, wakiwemo wateule wa Rais John Magufuli walioanza kampeni mapema za uchaguzi mkuu wa Oktoba, 2020 kwamba  hawatopitishwa. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Ratiba mitihani kidato cha sita, Ualimu hizi hapa

BARAZA la Taifa la Mitihani (Necta) nchini Tanzania, limetoa ratiba ya mitihani ya kidato cha sita na Ualimu mwaka 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Ratiba hiyo ...

Read More »

‘Kuidhikahi picha ya Rais’ kwaendelea kumsotesha Idris Sultan

IDRIS Sultani, Msanii wa Vichekesho nchini Tanzania, leo Ijumaa tarehe 22 Mei 2020, anaweza kufikishwa mahakamani, kwa kosa la kuidhihaki picha ya Rais John Magufuli. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es ...

Read More »

Mitihani kidato cha sita Juni 29, Prof. Ndalichako atoa maagizo

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Joyce Ndalichako amesema, mitihani ya kidato cha sita mwaka 2020 itaanza Juni 29 hadi Julai 16, 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar ...

Read More »

Mbivu, mbichi sheria huduma ya habari Tanzania Juni 9

MAHAKAMA ya Afrika ya Afrika Mashariki imeenza kusikiliza maombi ya wadau wa habari Tanzania la kutaka mahakama hiyo kufuta kusudio la Serikali ya Tanzania la kuukatia rufaa uamuzi wa mahakama ...

Read More »

WHO yataharuki, maambukizo yafika 105,000 kwa siku

WAKATI Serikali ya Tanzania ikinadi kupungua kwa maambukizo mapya ya virusi vya corona, Shirika la Afya Duniani (WHO), limeeleza dunia kufikia rekodi ya maambukizi ya kiwango cha juu kwa siku. Inaripoti ...

Read More »

Zitto ahoji matokeo uchunguzi maabara ya Corona 

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, amehoji matokeo ya kamati iliyoundwa kuchunguza sakata la vipimo vya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona (Covid-19). Anaripoti ...

Read More »

Taasisi ya Mo Dewji, Timu ya Simba watoa msaada Muhimbili

TAASISI ya Mohammed Dewji (Mo Dewji Foundation) na Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba (SSC) wamekabidhi vituo vya kuosha mikono, sabuni pamoja na vitakasa mikono katika maeneo mbalimbali ya ...

Read More »

Wagonjwa wa corona dunia wafikia mil 5.1, vifo laki 3 

MAAMBUKIZO ya ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) yamefikia milioni 5.1 duniani huku vifo vikiwa 330,004. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa mujibu ya mtandao wa Worldometer, hadi leo ...

Read More »

Tanzania kupokea mabilioni ya wafadhili

SERIKALI ya Tanzania inatarajia kupokea fedha za msaada, kwa ajili ya kukabiliana na athari za mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona (Covid-19), Dola ...

Read More »

Rais Magufuli aonya pokeapokea vifaa ya corona, watakaobainika

JOHN Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amewaonya watu watakaopokea misaada ya vifaa vya kupambana na janga la virusi vya Corona (Covid-19), vyenye dosari. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Vyuo vikuu, michezo, ‘Form six’ kufunguliwa Juni 1

RAIS wa Tanzania, John Magufuli ametangaza kufunguliwa kwa vyuo vyote nchini, michezo ya aina yote pamoja na wanafunzi wa kidato cha sita kuanzia tarehe 1 Juni, 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Rais Magufuli: Kuna wakati Waziri Ummy alitengwa

UMMY Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto amewashangaa wale wote waliokuwa wakihoji alipo Rais wa Tanzania, John Magufuli katika mapambano ya ugonjwa unaosababishwa na virusi ...

Read More »

Polisi wapekua nyumbani kwa Idris, dhamana iko wazi

JESHI la Polisi Mkoa wa Kinondoni, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, imefanya upekuzi nyumbani kwa Msanii, Idris Sultani, maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Anaripoti Regina Mkonde, ...

Read More »

Rais Magufuli awaapisha viongozi sita Dodoma

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli leo Alhamisi tarehe 21 Mei 2020 amewaapisha viongozi sita aliowateua hivi karibuni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Hafla ya ...

Read More »

Chadema wamtunishia misuli Jaji Mutungi

SAKATA la wabunge wanne wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuvuliwa uanachama wa chama hicho, sasa limechukua sura mpya. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Hatua ya ...

Read More »

Mwambe amponza Spika Ndugai, washtakiwa

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri na Cecil Mwambe, Mbunge wa Ndanda aliyejiengua Chadema, wameshtakiwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Wameshtakiwa kwa ...

Read More »

Mitandao ya Twitter, WhatsApp, Facebook yazimwa Burundi

MITANDAO ya kijamii ya Facebook, twitter na WhatsAapp imezimwa nchini Burundi leo tarehe 20 Mei 2020, wakati wananchi wakiendelea kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa taifa hilo. Inaripoti mitandao ya kimataifa ...

Read More »

Askofu Bagonza: Ibada zitarejea Mei 31, kila muumini kuvaa barakoa

ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kulutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Benson Bagonza amesema, ibada zilizositishwa ili kujikinga na maambukizo ya ugonjwa unaotokana na virusi vya corona ...

Read More »

Rais Trump atikisa dunia

DONALD Trump, Rais wa Marekani ameamua ‘kutangaza’ dawa ya chloroquine kuwa anaitumia kupambana na virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). “Nimeamua kutumia,”Trump alisema katika mkutano wake na ...

Read More »

Uchaguzi mkuu 2020: Vyombo vya habari Tanzania vyapewa somo

VYOMBO vya habari nchini Tanzania, vimetakiwa kutoa uwiano sawa kwa wanawake na wanaume wakati wa kuhabarisha umma hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Mbunge ashangazwa wananchi kuzuiwa kujenga shule

MBUNGE wa Chilonwa, Joel Makanyaga (CCM) ameshangazwa na Serikali kutoruhusu wananchi kujenga shule wenyewe hata madarasa mawili kila mwaka ili kupunguza masangamano wa wanafundi madarasani. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … ...

Read More »

Sita wakutwa na Corona EPL, Watford wagomea mazoezi

WACHEZAJI wa klabu ya Watford England wamegoma kuanza mazoezi siku ya jana kutokana na maofisa wao wawili na mchezaji mmoja kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona hali iliyopelekea kutengeneza ...

Read More »

Mpango kuimarisha huduma watu wenye ulemavu uko mbioni

SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa sekta binafsi, inaandaa mpango wa taifa wa kuimarisha huduma kwa watu wenye ulemavu nchini. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Mbunge: Wageni hawaingii Tanzania kuhofia usalama wao

MBUNGE wa Tunduma, Frank Mwakajoka (Chadema) amesema, Serikali imeshindwa kutatua tatizo la upatikanaji wa umeme katika mpaka wa Tunduma mkoani Songwe kwa muda mrefu jambo linalosababisha kupoteza wageni na wateja ...

Read More »
error: Content is protected !!