Thursday , 28 March 2024

Day: May 29, 2020

Kimataifa

Mke wa Rais Nkurunzinza augua corona, alazwa Kenya

DENISE, mke wa Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza amebainikuwa kuwa na ugonjwa unaosababishaa na virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti Mitandao ya Kimataifa …...

Habari za Siasa

Magufuli, vigogo kushiriki ujenzi Ikulu Dodoma

RAIS wa Tanzania, John Magufuli kesho Jumamosi tarehe 30 Mei, 2020 atawaongoza marais wastaafu wa nchi hiyo, kuweka jiwe la msingi ujenzi wa...

Habari za Siasa

Zitto Kabwe asema hatarudi nyuma, mapambano yanaendelea

KIONGOZI wa chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania, Zitto Kabwe amesema, uamuzi wa kesi uliotolewa dhidi yake hautamrudisha nyuma katika harakati zake...

Kimataifa

Kifo cha Floyd: Miji saba taharuki, Trump – Meya washambuliana

MIJI saba nchini Marekani inatawaliwa na vurugu na maandamano, ni kutokana na polisi wa Minnesota kufanya mauaji kwa George Floyd, Mmarekani mweuzi. Inaripoti...

Michezo

Serikali yatoa muongozo michezo Ligi Kuu

KUFUATIA kauli ya serikali kuruhusu shughuli za michezo kuendelea nchini iliyotolewa na Rais Magufuli, jijini Dodoma, 21 mei, 2020, Wizara ya Afya kushirikiana...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto Kabwe anusurika kwenda jela, ‘afungwa mdomo’

MBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT- Wazalendo, nchini Tanzania, Zitto Kabwe, amenusurika kifugo cha mwaka mmoja gerezani. Anaripoti...

Elimu

HESLB yatoa bil.100 mikopo ya wanafunzi

BODI ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) nchini Tanzania, imetoa fedha za mikopo zaidi ya Sh. 100 bilioni, kwa wanafunzi...

Michezo

Robo Fainali FA Cup: Simba vs Azam FC, Yanga vs Kagera

BIGWA wa Mtetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba itaikalibisha Azam FC kwenye mchezo wa robo fainali ya kombe la Shirikisho la Azam,...

Habari za SiasaTangulizi

BREAKING NEWS: Zitto ahukumiwa, apewa masharti magumu

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Zitto Kabwe Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, kutotoa na kuandika maneno ya uchochezi kwa muda wa mwaka...

error: Content is protected !!