Friday , 19 April 2024

Day: May 28, 2020

Afya

Ugonjwa wa maleria wazidi kupungua

TAKWIMU za kitaifa za viashiria vya malaria kwa mwaka 2017 (Malaria Indicator Survey) inaonesha kuwa upatikanaji wa vyandarua (access) kwa wananchi kitaifa ni...

Michezo

Ligi Kuu Bara kurejea Juni 13, 2020

MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo ametangaza tarehe ya kurejea kwa michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara, ambayo ni Juni 13,...

Habari za Siasa

NCCR-Mageuzi yawaonya wanaokibeza, kudhoofisha upinzani

TUHUMA za kutumika katika kudhoofisha vyama vya upinzani nchini Tanzania, hususan katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, zimekiibua Chama cha NCCR-Mageuzi. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Faini mpya wagombea udiwani, ubunge na urais hizi hapa

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imeongeza viwango vya faini kwa wagombea watakaofanya makosa ya kimaadili, katika kampeni na Uchaguzi Mkuu...

Habari za Siasa

Mahakama: Mdee ana kesi ya kujibu, mashahidi watano kumtetea

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imesema Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee  anayekabiliwa na kesi ya uchochezi kwa kutoa...

Elimu

JK awakaribisha wanafunzi UDSM, autega uongozi Dar

JAKAYA Kikwete, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) nchini Tanzania, amewakaribisha wanafunzi wa chuo hicho kuendelea na masomo. Anaripoti Mwandishi...

Elimu

Prof. Ndalichako atoa ahueni kwa wazazi wa wanafunzi

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Joyce Ndalichako, amekemea shule na vyuo nchini humo, kutumia janga la corona kama kitega...

Habari za Siasa

Madiwani Chadema, CUF Dar watimkia NCCR- Mageuzi

VIGOGO wawili wa upinzani jijini Dar es Salaam, Mustafa Muro (Chadema) na Maalim Amir Mbuju (CUF), wamekimbia vyama vyao na kujiunga na NCCR-...

Habari za Siasa

Uhaba walimu wa sayansi, hesabu watua bungeni

MBUNGE wa Mafinga Mjini (CCM), Cosato Chumi, ameitaka Ofisi ya Rais, Tawaza za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Tanzania kueleza ni lini...

Habari za Siasa

Mbunge ahoji wanafunzi Veta kukosa mikopo, waziri amjibu

MBUNGE wa Viti Maalum (Chadema), Zubeda Sakuru, ametaka kujua kwa nini wanafunzi wanaojiunga na vyuo vya ufundi stadi (Veta) kukosa mikopo. Anaripoti Danson...

Kimataifa

Baba amuua bintiye, kisa kujiozesha

ROMANA Ashrafi (14), raia wa Iran, ameuawa kwa kushambuliwa kwa mundu na baba yake mzazi Reza Ashraf, kwasababu ‘alijiozesha.’ Nchini humo mauaji hayo...

Habari za SiasaTangulizi

Hatma ya Zitto Kabwe kesho

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, kesho Ijumaa, tarehe 29 Mei, inatarajia kusoma hukumu ya kesi inayomkabili Mbunge wa Kigoma...

error: Content is protected !!