Friday , 29 March 2024

Day: May 24, 2020

AfyaHabari za Siasa

Majaliwa azungumzia hali ya corona Tanzania

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa COVID-19 ambao umeanza kupungua nchini humo. Anaripoti Danson Kaijage,...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yawageukia wanaohoji matumizi ya fedha

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewataka wabunge wenye ushahidi juu ya tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, kuuweka hadharani. Anaripoti Kelvin Mwaipungu,...

Habari Mchanganyiko

Wafanyabiashara kutoa elimu ya Corona minadani

UONGOZI wa Umoja wa Wafanyabiashara waendao minadani Mkoani Dodoma (UWABIMIDO) umesema kuwa pamoja na kufanya shughuli zao za kujiingizia kipato lakini wanatoa elimu...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa: Upandaji Michikichi kuanza Oktoba, wananchi kupewa bure

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema upandaji wa zao la michikichi utaanza rasmi Oktoba 2020 na kama kuna mtu mmoja mmoja au...

error: Content is protected !!