Thursday , 28 March 2024

Day: May 23, 2020

Michezo

Polisi Tanzania yatoa sababu kuendelea kumshikilia Idris

JESHI la Polisi nchini Tanzania, limeeleza sababu za kuendelea kumshikilia Idris Sultani, Msanii wa Vichekesho Tanzania, anayesota rumande kwa muda wa siku tano,...

Elimu

Vyuo Tanzania vyatakiwa kufidia muda wa masomo

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania imevitaka vyuo vikuu nchini humo kujiandaa kikamilifu ili kukamilisha mitaala pindi vyuo vitakapofungiliwa tarehe 1...

Habari za Siasa

Uhaba wa sukari wamuibua Dk. Bashiru, awataja mawaziri

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, kimeielekeza Serikali kuweka mikakati itakayomaliza changamoto ya uhaba wa sukari nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Pwani … (endelea)....

Afya

Wagonjwa wa Fistula wasibaki nyumbani

WAZIRI wa Afya Tanzania, Ummy Mwalimu amesema Wanawake wenye matatizo ya Fistula wanatakiwa kuacha tabia ya kujifungia ndani na badala yake waende kupata...

Michezo

Ligi Kuu Hispania ‘La Liga’ Juni 8

SERIKALI ya Hispania kupitia Waziri Mkuu wake Pedro Sanchez, ametangaza kuwa Ligi Kuu Hispania ‘La Liga’ itarejea tena Juni 8, 2020 baada ya...

Afya

Tanzania yaanzisha maabara mpya ya corona

SERIKALI ya Tanzania imeanzisha maabara mpya ya kupima ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona (Covid-19). Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Bashiru ataja mambo 3 kuimaliza corona, ataka Kigogo apuuzwe

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally ametaja mambo makubwa matatu yanayowezesha Tanzania kushinda vita ya mapambano ya maambukizi ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Ukimya takwimu za corona: Askofu Niwemugizi arudisha Ibada

ASKOFU Severine Niwemugizi, Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara mkoani Kagera ametangaza kurejesha misa jimboni humo kuanzia kesho Jumapili ya tarehe 24 Mei, 2020. Anaripoti...

Habari MchanganyikoMichezo

Idris asota siku 5 rumande, Polisi warushiana mipira

IDRIS Sultani, Msanii wa vichekesho nchini Tanzania, anaendelea kusota rumande, katika Kituo cha Polisi  cha Oysterbay jijini Dar es Salaam, kwa kosa la...

Habari za Siasa

Zitto aunda timu uandishi ilani ya ACT-Wazalendo

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, ameunda timu ya watu kumi ili kuandaa Ilani ya Uchaguzi Mkuu 2020/2025. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

error: Content is protected !!