Daily Archives: May 22, 2020

TRA yashindwa kukusanya Sh. 712 bilioni

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) nchini Tanzania, imebaini hadi kufikia tarehe 30 Aprili, 2020 zaidi ya Sh. 712.4  bilioni hazikukusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania ...

Read More »

PAC: BoT inachelewa kuhesabu, kuharibu fedha

KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) nchini Tanzania, imesema Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imekuwa ikichelewa kuhesabu fedha zinazotoka benki za biashara. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea) PAC imesema ...

Read More »

#live: Kinachoendelea Bungeni muda huu

Tazama LIVE Mkutano wa Bunge, Mkutano wa 19 kikao cha 35 tarehe 22 May 2020

Read More »

CAG aichunguza TPA, Bunge latoa maagizo

OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini Tanzania, imeanza ukaguzi maalumu kwa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Taarifa hiyo imetolewa leo Ijumaa ...

Read More »

Makonda atoa siku 10 Hospitali ya Kigamboni ianze kazi

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ametoa siku kumi kwa uongozi wa Manispaa ya Kigamboni kuhakikisha Hospital wilaya hiyo inaanza kutoa huduma kwa wananchi ifikapo tarehe 1 ...

Read More »

Bunge lataka Serikali iisaidie Tanesco ilipwe mabilioni

KAMATI ya Kudumu ya Bunge  ya Hesabu za Serikali (PAC) nchini Tanzania, imeishauri Serikali kuhakikisha Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), linalipwa fedha  zaidi ya  Sh. 454  bilioni, inazodai kutoka taasisi ...

Read More »

PAC yabaini ‘madudu’ NIDA, Bil 1 za Tamasha la Utalii

KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) nchini Tanzania, imebaini upungufu katika maeneo mawili ndani ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na matumizi yasiyozingatia taratibu ya Sh. 1.51 ...

Read More »

Wabunge wa Viti Maalum Chadema, waanza kuondoka 

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimepata pigo jingine, kufuatia hatua ya wabunge wake wawili, Suzana Maselle (Mwanza) na Joyce Sokombi (Mara), kutangaza kuondoka kwenye chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Ndege yaanguka, 107 wahofiwa kufa

HABIRIA 107 waliokuwa ndani Airbus A320, ndege ya Shirika la Ndega la Pakistan, wanahofia kufariki dunia baada ya ndege hiyo kuangua Karachi, Pakistan ikitokea Lahore. Inaripoti mitandao ya kimataifa … ...

Read More »

Dk. Mwakyembe: Tunafungua Ligi kwa tahadhari kubwa

BAADA Rais wa Tanzania, John Magufuli kuruhusu shughuli za michezo kuendelea kuanzia Juni Mosi, 2020, Waziri wa Habari, Sanaa, utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe amesema kuwa wanaenda kufungua Ligi ...

Read More »

Kauli ya Mbowe, Zitto iliyomchefua Polepole, ataka wanyimwe kura

HATUA ya Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutaka wananchi wafungiwe ndani kuepuka maambukizi ya corona (COVID-19), limemkera ...

Read More »

#VIDEO: Humphrey Polepole akizungumza na waandishi wa habari

Tazama LIVE Mkutano wa Katibu Muenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Humphrey Polepole akizungumza na waandishi wa habari muda huu kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea nchini.

Read More »

CCM kuwafyeka ‘wateule wa Rais’ walioanza kampeni mapema

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania amewatangazia kiama, watumishi wa umma, wakiwemo wateule wa Rais John Magufuli walioanza kampeni mapema za uchaguzi mkuu wa Oktoba, 2020 kwamba  hawatopitishwa. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Ratiba mitihani kidato cha sita, Ualimu hizi hapa

BARAZA la Taifa la Mitihani (Necta) nchini Tanzania, limetoa ratiba ya mitihani ya kidato cha sita na Ualimu mwaka 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Ratiba hiyo ...

Read More »

‘Kuidhikahi picha ya Rais’ kwaendelea kumsotesha Idris Sultan

IDRIS Sultani, Msanii wa Vichekesho nchini Tanzania, leo Ijumaa tarehe 22 Mei 2020, anaweza kufikishwa mahakamani, kwa kosa la kuidhihaki picha ya Rais John Magufuli. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es ...

Read More »

Mitihani kidato cha sita Juni 29, Prof. Ndalichako atoa maagizo

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Joyce Ndalichako amesema, mitihani ya kidato cha sita mwaka 2020 itaanza Juni 29 hadi Julai 16, 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram