Daily Archives: May 21, 2020

Mbivu, mbichi sheria huduma ya habari Tanzania Juni 9

MAHAKAMA ya Afrika ya Afrika Mashariki imeenza kusikiliza maombi ya wadau wa habari Tanzania la kutaka mahakama hiyo kufuta kusudio la Serikali ya Tanzania la kuukatia rufaa uamuzi wa mahakama ...

Read More »

WHO yataharuki, maambukizo yafika 105,000 kwa siku

WAKATI Serikali ya Tanzania ikinadi kupungua kwa maambukizo mapya ya virusi vya corona, Shirika la Afya Duniani (WHO), limeeleza dunia kufikia rekodi ya maambukizi ya kiwango cha juu kwa siku. Inaripoti ...

Read More »

Zitto ahoji matokeo uchunguzi maabara ya Corona 

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, amehoji matokeo ya kamati iliyoundwa kuchunguza sakata la vipimo vya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona (Covid-19). Anaripoti ...

Read More »

Taasisi ya Mo Dewji, Timu ya Simba watoa msaada Muhimbili

TAASISI ya Mohammed Dewji (Mo Dewji Foundation) na Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba (SSC) wamekabidhi vituo vya kuosha mikono, sabuni pamoja na vitakasa mikono katika maeneo mbalimbali ya ...

Read More »

Wagonjwa wa corona dunia wafikia mil 5.1, vifo laki 3 

MAAMBUKIZO ya ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) yamefikia milioni 5.1 duniani huku vifo vikiwa 330,004. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa mujibu ya mtandao wa Worldometer, hadi leo ...

Read More »

Tanzania kupokea mabilioni ya wafadhili

SERIKALI ya Tanzania inatarajia kupokea fedha za msaada, kwa ajili ya kukabiliana na athari za mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona (Covid-19), Dola ...

Read More »

Rais Magufuli aonya pokeapokea vifaa ya corona, watakaobainika

JOHN Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amewaonya watu watakaopokea misaada ya vifaa vya kupambana na janga la virusi vya Corona (Covid-19), vyenye dosari. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Vyuo vikuu, michezo, ‘Form six’ kufunguliwa Juni 1

RAIS wa Tanzania, John Magufuli ametangaza kufunguliwa kwa vyuo vyote nchini, michezo ya aina yote pamoja na wanafunzi wa kidato cha sita kuanzia tarehe 1 Juni, 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Rais Magufuli: Kuna wakati Waziri Ummy alitengwa

UMMY Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto amewashangaa wale wote waliokuwa wakihoji alipo Rais wa Tanzania, John Magufuli katika mapambano ya ugonjwa unaosababishwa na virusi ...

Read More »

Polisi wapekua nyumbani kwa Idris, dhamana iko wazi

JESHI la Polisi Mkoa wa Kinondoni, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, imefanya upekuzi nyumbani kwa Msanii, Idris Sultani, maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Anaripoti Regina Mkonde, ...

Read More »

Rais Magufuli awaapisha viongozi sita Dodoma

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli leo Alhamisi tarehe 21 Mei 2020 amewaapisha viongozi sita aliowateua hivi karibuni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Hafla ya ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram