Daily Archives: May 20, 2020

Chadema wamtunishia misuli Jaji Mutungi

SAKATA la wabunge wanne wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuvuliwa uanachama wa chama hicho, sasa limechukua sura mpya. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Hatua ya ...

Read More »

Mwambe amponza Spika Ndugai, washtakiwa

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri na Cecil Mwambe, Mbunge wa Ndanda aliyejiengua Chadema, wameshtakiwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Wameshtakiwa kwa ...

Read More »

Mitandao ya Twitter, WhatsApp, Facebook yazimwa Burundi

MITANDAO ya kijamii ya Facebook, twitter na WhatsAapp imezimwa nchini Burundi leo tarehe 20 Mei 2020, wakati wananchi wakiendelea kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa taifa hilo. Inaripoti mitandao ya kimataifa ...

Read More »

Askofu Bagonza: Ibada zitarejea Mei 31, kila muumini kuvaa barakoa

ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kulutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Benson Bagonza amesema, ibada zilizositishwa ili kujikinga na maambukizo ya ugonjwa unaotokana na virusi vya corona ...

Read More »

Rais Trump atikisa dunia

DONALD Trump, Rais wa Marekani ameamua ‘kutangaza’ dawa ya chloroquine kuwa anaitumia kupambana na virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). “Nimeamua kutumia,”Trump alisema katika mkutano wake na ...

Read More »

Uchaguzi mkuu 2020: Vyombo vya habari Tanzania vyapewa somo

VYOMBO vya habari nchini Tanzania, vimetakiwa kutoa uwiano sawa kwa wanawake na wanaume wakati wa kuhabarisha umma hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Mbunge ashangazwa wananchi kuzuiwa kujenga shule

MBUNGE wa Chilonwa, Joel Makanyaga (CCM) ameshangazwa na Serikali kutoruhusu wananchi kujenga shule wenyewe hata madarasa mawili kila mwaka ili kupunguza masangamano wa wanafundi madarasani. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … ...

Read More »

Sita wakutwa na Corona EPL, Watford wagomea mazoezi

WACHEZAJI wa klabu ya Watford England wamegoma kuanza mazoezi siku ya jana kutokana na maofisa wao wawili na mchezaji mmoja kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona hali iliyopelekea kutengeneza ...

Read More »

Mpango kuimarisha huduma watu wenye ulemavu uko mbioni

SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa sekta binafsi, inaandaa mpango wa taifa wa kuimarisha huduma kwa watu wenye ulemavu nchini. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Mbunge: Wageni hawaingii Tanzania kuhofia usalama wao

MBUNGE wa Tunduma, Frank Mwakajoka (Chadema) amesema, Serikali imeshindwa kutatua tatizo la upatikanaji wa umeme katika mpaka wa Tunduma mkoani Songwe kwa muda mrefu jambo linalosababisha kupoteza wageni na wateja ...

Read More »

Gambo: Kenya inataka kuua utalii wa Tanzania

MKUU wa Mkoa wa Arusha (RC), Mrisho Gambo amesema, Serikali ya Kenya inakata kutumia ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) kuua utalii wa mkoa huo na Tanzania kwa ujumla. ...

Read More »