Daily Archives: May 19, 2020

Mil. 780 zawaponza watatu Temesa, Majaliwa atoa maagizo mazito

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kwa tuhuma za kuhusika na upotevu wa Sh. 780 milioni zinazotokana na zabuni. ...

Read More »

Mbunge CCM ataka polisi waongezewe posho, Waziri amjibu

ANGELINA Malembeka, Mbunge Viti Maalumu kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) ameishauri Serikali iwaongezee posho askari polisi, ili wajiepushe na tamaa wanaposimamia zoezi la uchaguzi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). ...

Read More »

Kisa corona: Makonda atangaza siku ya shangwe Dar

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, amewaagiza wananchi wa jiji hilo kurejea kwenye shughuli zao kama ilivyokuwa awali. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … ...

Read More »

Mtindo mpya wa maisha New York

TISHO la virusi vya corona limebadili utaratibu wa maisha duniani. Mfano ulio wazi ni Jiji la New York, Marekani wikiendi iliyopita. Inaripoti mitandao ya kinataifa … (endelea). Eneo ambalo watu walikuwa ...

Read More »

Yanga yazindua mfumo wa mabadiliko

MWENYEKITI wa Yanga, Dk. Mshindo Msolwa leo amezindua kampeni ya kuelekea mfumo wa mabadiliko ya kiuendeshaji ambayo yatakuwa chini ya kamati ndogo ya mabadiliko ya kimfumo itakayosimamiwa na Mwanasheria Alex ...

Read More »

Chadema ilivyopoteza wabunge 17

MBUNGE wa Kilombero, Kusini Mashariki mwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Peter Ambrose Lijualikali (35),  amekuwa mbunge wa 17 kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuondoka bungeni, kujiengua ama ...

Read More »

Mazingira ‘tata’ yagubika uchaguzi Burundi

TAIFA la Burundi kesho Jumatano tarehe 20 Mei, 2020, linaingia kwenye uchaguzi ‘peke yake.’ Hakuna waangalizi wa kimataifa wala Umoja wa Afrika. Utawala wa nchi hiyo umegomea mwangalizi yoyote, umepanga ...

Read More »

Mchungaji Msigwa amwomba msahama Kinana

MCHUNGAJI Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), amemuomba radhi Abdulrahman Kinana, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa kumhusisha na biashara ya ujangili na uuzaji wa nyara ...

Read More »

THRDC ‘yalilia’ vibali kushiriki uchaguzi mkuu, NEC yawajibu

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imetoa sababu za kuchelewa kutoa vibali vya utoaji elimu ya mpiga kura na uangalizi wa uchaguzi mkuu wa Oktoba, 2020, kwa Asasi ...

Read More »

Mikoa sita yenye udumavu Tanzania yatajwa

SERIKALI ya Tanzania imetaja mikoa sita inayoongoza kwa tatizo la udumavu, kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Mikoa hiyo inaongozwa ...

Read More »

Tanzania yaruhusu ndege zote kutua, hakutakuwa na karantini

SERIKALI ya Tanzania imerejesha huduma ya safari  za ndege za abira za kimataifa, zilizositishwa mwezi mmoja uliopita. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Tanzania ilisitisha safari za nje ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram