Thursday , 28 March 2024

Day: May 18, 2020

Habari za SiasaTangulizi

Lijualikali aondoka Chadema, amwaga chozi kwa kunyanyaswa

MBUNGE wa Kilombero (Chadema), Peter Lijualikali, amejiondoa katika chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Akizungumza bungeni Mjini Dodoma jioni ya leo,...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai: Mbowe usijipime ubavu na rais

JOB Ndugai, Spika wa Bunge ameonesha kukerwa na kitendo cha Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Deemokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, kuzungumza na...

Elimu

Profesa Ndalichako aitaka HESLB kujiandaa kutoa mikopo 

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Joyce Ndalichako ameitaka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), kujiandaa...

Habari za Siasa

Mabadiliko ya sheria inayowahusu mawakili wasomwa bungeni

SERIKALI ya Tanzania, imewasilisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2020 bungeni ambao pamoja na mambo mengine, unapendekeza mawakili wanaoteuliwa...

Michezo

Tanzania Prisons yakabidhiwa gari jipya

KAMISHNA wa Magereza Tanzania, Jenerali Suleiman Mzee ameikabishi klabu ya Tanzania Prisons basi dogo aina ya Toyota Coaster itakayotumika na timu hiyo katika...

Habari za Siasa

Serikali: Wachimbaji Mbogwe watapatiwa leseni

SERIKALI imeeleza kwamba, pindi taratibu zitakapokamilika, wachimbaji katika Wilaya ya Mbogwe, Geita watapatiwa leseni za uchimbaji. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kauli...

Habari za Siasa

Spika Ndugai: Bunge Tanzania kuvunjwa Juni 19

SHUGHULI za Bunge la 11 nchini Tanzania, zinatarajiwa kuhitimishwa rasmi tarehe 19 Juni 2020 kwa Rais John Magufuli kulihutubia. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Taarifa...

Michezo

Wachezaji Manchester warejea, wapimwa Corona

BAADHI ya nyota ya Manchester United jana walionekana kurejea kwenye eneo la viwanja vya mazoezi vya klabu hiyo (Carrinton) kwa ajili ya kufanya...

Habari za Siasa

Kasoro sheria za uchaguzi Tanzania zabainishwa 

WAKATI  michakato ya kuwapata wagombea ndani ya vyama vya siasa watakaoshiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020 nchini Tanzania ukiendelea, wito umetolewa kwa vyama...

Kimataifa

Brazil: Saa 24 wagonjwa 15,305 wa corona, mawaziri wajiuzulu

TAIFA la Brazil linazama, virusi vya corona vinatesa wakazi wake. Katika saa 24 zilizopita wagonjwa 15,305 wameripotiwa, vifo 824 na kufanya jumla ya...

AfyaHabari za SiasaTangulizi

Siku 25 zilivyopukutisha Vigogo wa Wizara ya Afya

DK. Faustine Ndigulile, amekuwa kiongozi wa sita, ndani ya wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto, kuenguliwa kwenye wadhifa wake....

error: Content is protected !!