Daily Archives: May 17, 2020

JPM: Mtalii hatowekwa karantini

RAIS John Magufuli amemwagiza Dk. Hamisi Kigwangalla, Waziri wa Utalii na Injinia Isack Kimwelwe, Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano kuruhusu ndege za utalii kutoka nje, na kwamba mtalii hatowekwa karantini. ...

Read More »

Mbowe: Corona haihitaji kiburi

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ameeleza kuwa mapambano dhidi ya gonjwa la Corona, hayahitaji mzaha au kibri. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea).  “Janga hili ...

Read More »

Wiki ya JPM kufanya uamuzi mgumu

RAIS John Magufuli anafikiria kufungua Vyuo Vikuu wiki ijayo, ili wanafunzi wanendelee na masomo iwapo maambukizi ya virusi vya corona yataendelea kupungua. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea) Akizungumza katika ...

Read More »

Amuua mama yake, anywa damu yake

DANIEL Emanuel (32), mkazi wa Arusha, Sakila katika Wilaya ya Arumeru, amekuta akinywa damu ya mama yake Eliyamulika Emmanuel Sarakikya (79) baada ya kumuua. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha…(endelea). Taarifa zinaeleza, ...

Read More »

Kipimajoto cha corona, chawapagawisha wananchi

Kipima joto kilichotolewa na Kampuni ya Qwihaya General Enterprises Co Ltd kimesababisha wananchi wanaofanya kazi stendi ya Mafinga wilayani Mufindi mkoani Iringa kusimamisha shughuli zao kwa muda ili wapime joto ...

Read More »

Dk. Ndugulile azungumzia kutumbuliwa kwake

DK. Faustine Ndugulile, amemshukuru Rais wa Tanzania, John Pombe Mangufuli kumteua kufanya kazi kama naibu waziri wa afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »