Daily Archives: May 16, 2020

Rais Magufuli amtumbua Dk. Ndugulile, amteua Dk. Mollel

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua, Dk. Godwin Mollel kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Anaripoti Regina ...

Read More »

Mtuhumiwa mkuu mauaji ya kimbari Rwanda akamatwa

WIZARA ya sheria nchini Ufaransa, imetangaza kumkatama Félicien Kabuga, mmoja wa watuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda yaliyotokea mwaka 1994. Inaripoti mitandao ya Kimataifa … (endelea). Kwa mujibu wa ...

Read More »

Tanzania yaingia siku 17 bila taarifa ya corona

TANZANIA Bara, leo Jumamaosi tarehe 16 Mei, 2020, imeingia siku ya 17 bila ya taarifa za mwenendo wa hali ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya ...

Read More »

Chadema wamsubiri Jaji Mutungi 

MKURUGENZI wa Mambo ya Nje, Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mrema, amedai kuwa wabunge wake waliofukuzwa wana haki ya kukata rufaa. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Rais Uhuru afunga mpaka Tanzania, Somalia

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema, kuanzia leo Jumamosi tarehe 16 Mei, 2020 saa 6 usiku, mpaka wa Kenya na Tanzania (Namanga) na wa Kenya na Somalia itafungwa kwa siku ...

Read More »

Vifo vya corona vyafikia 88,507 Marekani

MAREKANI imeendelea kuwa taifa linaloongoza kwa vifo vinavyotokana na ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Kwa mujibu wa mtandao wa Worldmeter unaonyesha, hadi leo Jumamosi ...

Read More »

Bundesliga kuanza kutimua vumbi leo

BAADA ya kusimama kwa muda wa mwezi mmoja na nusu kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Covid 19, hatimaye Ligi Kuu ya soka nchini Ujerumani ‘Bundesliga’ imerejea tena leo huku ...

Read More »

‘Kaka tuchati’ video kali, gharama haizidi elfu 60

KAKA tuchati. Linaweza lisiwe neno geni masikioni mwako hasa katika kipindi hiki kifupi ambapo wasanii wa muziki nchini Tanzania, Roma na Stamina wameachia ngoma yao waliyoipa jina hilo. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »