Daily Archives: May 13, 2020

Madereva 23 wa Tanzania wakutwa na corona, wazuiwa kuingia Kenya

SERIKALI ya Kenya imewazuia madareva 25 wakiwamo 23 wa Tanzania kuingia nchini humo baada ya kuwapima na kuwakuta na maambukizo ya virufi vya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Madereva wengine ...

Read More »

Sukari yaendelea kuadimika

KUADIMIKA kwa bidhaa ya sukari katika baadhi ya maeneo Dar es Salaam nchini Tanzania, kumeendelea kuathiri wakazi na wafanyabiashara jijini humo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Upatikanaji wa bidhaa ...

Read More »

Kesi ya Tito Magoti yapigwa kalenda

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, imeahirisha kesi inayomkabili Tito Magoti, mfanyakazi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) baada ya hakimu anayesikiliza ...

Read More »

Majaliwa ataka Suma JKT kuongeza kasi ujenzi ofisi za NEC

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) linalojengwa na Kampuni ya Ujenzi ya Suma ...

Read More »

Prof. Kabudi: Tunatuhumiwa ukiukwaji haki za binadamu

TANZANIA inatuhumiwa kwa ukiukwaji wa haki za binadamu ikiwemo kujieleza, kutoa maoni, kujumuika na kukusanyika. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Akizungumza wakati wa uwasilishwaji wa Bajeti ya Wizaya ya Mambo ...

Read More »

Spika Ndugai awapiga ‘stop’ wabunge 15 Chadema, akiwamo Mbowe 

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametoa orodha ya wabunge 15 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutekeleza maagizo yake mawili iwapo wanataka kurejea ...

Read More »

‘Lockdown’ siku ya Eid

SIKU ya Sikukuu ya Eid el Fitr na siku nne mbele, wananchi wa Saudi Arabia wametangaziwa kutotoka nje. Utekelezaji wa tangazo hilo utaanzia tarehe 23 mpaka 27 Mei 2020. Inaripoti mitandao ...

Read More »

Papa amteua Askofu Nzigilwa, kuwa Askofu Mkuu jimbo la Mpanda

BABA Mtakatifu, Francisko amemteuwa Askofu msaidizi, Eusebius Nzigilwa kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Mpanda, Mkoa wa Katavi. Kabla ya uteuzi huu, Askofu Nzigilwa alikuwa ni Askofu msaidizi wa Jimbo ...

Read More »

Corona yaanza kulipuka upya Hong Kong

MJI wa Hong Kong nchini China, leo Jumatano tarehe 13 Mei 2020, umeripoti wagonjwa wawili wapya wenye maambukizo wa virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti Aljazeera…(endelea). Mamlaka za jiji hilo zimeeleza, maambukizi ...

Read More »

Viwanda 8,477 vyajengwa awamu ya tano ya JPM

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa amesema, tangu Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani tarehe 5 Novemba 2015, imefanikiwa kuanzisha viwanda 8,477 katika mikoa 26 ya Tanzania Bara. ...

Read More »

Ujenzi Daraja la Wami wafikia asilimia 37.5

UJENZI wa darala jipya la Wami unaogharamiwa na serikali ya Tanzania kwa asilimia 100, umefika asilimia 37.5 ili kukamilika. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Injinia Izack Kamwele, Waziri wa Ujenzi, ...

Read More »

Mabasi 165 ya mwendokasi kuongezwa Dar

SERIKALI ya Tanzania imesema mchakato unafanyika kununua mabasi 165 ili kupunguza adha ya usafiri wa mradi wa mabasi yaendayo haraka katika Jiji la Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma ...

Read More »