Daily Archives: May 12, 2020

Mzee wa upako awavaa Chadema, Fatma Karume

MCHUNGAJI wa Kanisa la Maombezi (GRC), Antoni Lusekelo maarufu kama ‘Mzee wa Upako’, amekivaa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuhusu misimamo yake juu ya mlipuko wa Virusi vya Corona. ...

Read More »

Serikali ya Tanzania kununua chakula kuikabili corona

SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kununua tani 735,000 za chakula, zinazotosheleza kwa matumizi ya nchi nzima, katika kipindi cha mwezi mmoja. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Akizungumza bungeni jijini Dodoma, leo tarehe 12 ...

Read More »

Bunge la Tanzania lashauri corona igeuzwe fursa

KAMATI ya Kudumu ya  Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji nchini Tanzania, imependekeza wakati huu dunia ikiwa kwenye janga la ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona ...

Read More »

Waziri Hasunga azungumzia tatizo la sukari Tanzania

SERIKALI ya Tanzania imesema bidhaa ya sukari imeadimika nchini, kutokana na uzalishaji wake katika msimu wa mwaka 2019/2020, kukumbwa na changamoto mbalimbali. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Kauli hiyo imetolewa leo Jumanne ...

Read More »

Weijia Jiang, mwandishi aliyemtoa Rais Trump kwenye ‘reli’

MKUTANO wa Rais wa Marekani, Donald Trump na wanahabari, umevunjika baada ya rais huyo kuulizwa maswali yaliyomchefua. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea).  Mkutano huo ulifanyika jana Jumatatu tarehe 11 Mei 2020, kwenye ...

Read More »

Wachezaji EPL wagoma kurudi mazoezini

PAMOJA na Serikali Uingereza kutoa taarifa kuwa kuna uwezekano michezo ikarejea Juni Mosi, 2020 lakini baadhi ya wachezaji wa klabu za Ligi Kuu wamegomea makocha wao, kurejea mazoezini siku ya ...

Read More »

Mrithi wa Boniface Jacob akabidhiwa ofisi, vitendea kazi 

MKURUGENZI wa Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam, Beatrice Dominic amemkabidhi Ramadhan Kwangaya, ofisi ya Meya wa Manispaa hiyo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Hafla hiyo ...

Read More »

BoT yashusha ahueni kwa wakopaji

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imezitaka benki na taasisi za fedha nchini humo, kutoa unafuu wa urejeshaji mikopo, ili kupunguza makali ya athari za janga la ugonjwa wa homa kali ...

Read More »

Wabunge waliofukuzwa Chadema watema nyongo 

WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, waliovuliwa uanachama wa chama hicho, wamekosoa uamuzi wa kufukuzwa wakisema haukuzingatia misingi ya haki. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Wabunge waliofukuzwa na ...

Read More »

Spika Ndugai ashauri msajili kuitupia macho Chadema

LICHA ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kuwavua uanachama wabunge wake wanne, kwa kutotii maagizo ya chama hicho, Spika wa Bunge nchini humo, Job ...

Read More »

Machinga Complex sasa kujengwa kila wilaya

KASSIM Majaliwa Waziri Mkuu amesema ili kumaliza tatizo la ukosefu wa ajira, masoko ya wafanyabiashara ndogondogo kama Machinga Complex yanatakiwa kujengwa katika halmashauri zote nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … ...

Read More »

Fili Karashani, Mtoto wa Tasnia ya Habari Barani Africa

SAA sita na dakika ishirini na moja mchana wa Jumapili terehe 10 Mei 2020 nilizungumza na Kagina Karashani kuhusu maendeleo ya matibabu ya baba yake, Fili, na mipango ya kumtembelea ...

Read More »

Vyama 11 vya siasa Tanzania vyataka uchaguzi usogezwe mbele

JANGA la mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19), limeathiri shughuli za vyama vya siasa katika maandalizi ya kuelekea uchaguzi mkuu wa 25 ...

Read More »