Daily Archives: May 7, 2020

Wabunge walioko Dar watakiwa kujisalimisha Polisi

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam nchini Tanzania, limewataka wabunge waliokaidi agizo la kurejea bungeni jijini Dodoma ndani ya masaa 24, kujisalimisha Ofisi ya Upelelezi ya kanda ...

Read More »

DC mwingine afariki dunia Tanzania

HAMIM Gwiyama, Mkuu wa Wilaya (DC) wa Nyang’hwale mkoani Geita amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Taarifa iliyotolewa na Rebecca Kwandu, Mkuu wa KItengo cha Mawasiliano wa Ofisi ya ...

Read More »

Wenyeviti wa vijiji wawili, mtendaji kata mbaroni Dodoma

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) nchini Tanzania, imewafikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, wenyeviti  wawili (wa kijiji na kitongoji),  pamoja na afisa mtendaji wa kijiji wa wilayani Chamwino, ...

Read More »

Waziri Kigwangalla aeleza corona ilivyoivuruga sekta ya utalii

WAZIRI wa Maliasili na Utalii nchini Tanzania, Dk. Hamisi Kigwangalla amesema madhara ya kuwepo kwa ugonjwa wa corona yanaonekana kuwa makubwa zaidi na kuna dalili za kushuka kwa mapato yaliyotarajiwa ...

Read More »

Wabunifu mavazi Tanzania wajitosa vita ya corona

CHAMA kinachoshughulikia na masuala ya ubunifu wa mavazi, Fashion Association of Tanzania (FAT), kimejitosa katika mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). ...

Read More »

Wizara ya Afya waitaka NIMR kufanya utafiti wa Corona

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeitaka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kufanya utafiti kuhusu ugonjwa wa Corona (Covid-19). Anaripoti Hamis ...

Read More »

Mbowe ‘apinduliwa’ bungeni

WABUNGE 12 kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), waliorejea bungeni kabla ya muda waliokubaliana na wenzao kumalizika, wameunda uongozi wao bungeni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Taarifa kutoka ...

Read More »