Daily Archives: May 6, 2020

Wabunge 11 watengwa Chadema

TAKRIBANI wabunge 11 kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameng’olewa kutoka kwenye group la WhatsApp la wabunge wa chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Kuondolewa kwa wabunge ...

Read More »

Rais Magufuli afanya uteuzi wa RAS, DC

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua Dk. Delphine Magere kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani (RAS). Aanaripoti Mwandshi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). ...

Read More »

Zama za Meya Jacob zahitimishwa Ubungo

MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, Beatrice Dominic, amekiri kumuandikia barua Naibu Meya, Ramadhan Kwangaya, kukabidhiwa majukumu yote ya Umeya ndani ya Manispaa hiyo. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Kwangaya ...

Read More »

Silinde kuikimbia Chadema?

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ni wadhamini tu, wakishindwa kunidhamini kwenye uchaguzi, nitarudi kwa wapiga kura kupitia wadhamini (chama) wengine. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Ni kauli ya ...

Read More »

TMA yatoa utabiri wa hali mbaya ya hewa

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa tahadhari ya hali mbaya ya hewa, kwa siku tano kuanzia jana Jumanne tarehe 5 hadi 9 Mei 2020, katika mikoa zaidi ya ...

Read More »

ACT-Wazalendo waanza kuwashughulikia CCM

MAJIMBO yanayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), sasa yapo kwenye meza ya viongozi na makada wa Chama cha ACT-Wazalendo huku kila mmoja akieleza anataka lipi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es ...

Read More »

Makonda atangaza kamatakamata ya wabunge, wao wamjia juu

PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania ametoa saa 24 kwa wabunge waliopo jijini humo kurudi Dodoma kuhudhuria vikao vya Bunge lasivyo watakamatwa kama kama wazururaji ...

Read More »

Bei ya petroli, dizeli yashuka Tanzania

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) nchini Tanzania imesema, bei ya mafuta ya taa, petrol na dizeli zimepungua kwa baadhi ya mikoa kuanzia leo Jumatano tarehe ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram