Daily Archives: May 5, 2020

Ni kilio Wizara ya Viwanda na Biashara

SERIKALI imeshindwa kufikisha asilimia 50 ya bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara, iliyoidhinishwa na Bunge la Jamhuri kwa mwaka wa fedha 2019/20. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Akiwasilisha bajeti ...

Read More »

Dk. Lwaitama: Ni uhuru wa mawazo wa wabunge Chadema

HATUA ya baadhi ya wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kupuuza uamuzi wa chama hicho wa kutoendelea na vikao vya Bunge, imeelezwa kuwa si tatizo bali uhuru wa ...

Read More »

David Silinde ajiuzulu

DAVID Silinde, Mbunge wa Momba, Songwe kupitia Chadema ametangaza kujizulu nafasi ya katibu wa wabunge wa chama hicho kuanzia jana Jumatatu tarehe 4 Mei 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es ...

Read More »

Corona: WHO yatoa onyo

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limetoa tahadhari kwa dawa za mitishamba zinazotengenezwa ili kukabiliana na virusi vinavyosababisha homa ya mapafu (corona). Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). WHO imetoa taarifa hiyo ...

Read More »

Serikali kuamua hatma ya Ligi Kuu Tanzania Bara

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) sambamba na Bodi ya Ligi imesema kuwa hatma ya kurejea kwa Ligi Kuu Tanzania Bara sambamba na Ligi daraja la Kwanza (TPL) inategemea ...

Read More »

Dk. Masumbuko Lamwai, afariki dunia

DK. Masumbuko Mahunga Selasini Lamwai, aliyepata kuwa mbunge wa Ubungo (NCCR -Mageuzi) na mbunge wa kuteuliwa na Rais, mwanasheria nguli nchini, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … ...

Read More »

ACT-Wazalendo yatimiza miaka sita, Zitto atoa ujumbe

CHAMA cha siasa cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania leo Jumanne tarehe 5 Mei 2020 kinaadhimisha miaka sita tangu kiliposajiliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). ACT-Wazalendo kilipata usajili wa ...

Read More »

Rais Magufuli sasa kufunga Bunge mwishoni mwa mwezi

BUNGE la Tanzania, sasa limeamua kufungasha vilago vyake, mwezi mmoja kabla ya muda wake wa awali uliopangwa na uongozi wa Bunge hilo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Taarifa iliyotolewa ...

Read More »