MSEMAJI wa Serikali, Dk. Hassan Abbas amesema kutokana na maoni mbalimbali serikali imeridhia mashabiki watakaotaka kwenda viwanjani kutazama mechi mara tu baada ya...
By Hamisi MgutaMay 31, 2020MAUAJI yaliyofanywa na polisi wa Mji wa Minnesota, yamebadili taswira ya miji 25 ya Marekani na kuwa ya vurugu, maandamano na uharibifu wa...
By Hamisi MgutaMay 31, 2020WILFRED Lwakatare, Mbunge wa Bukoba Mjini kupitia Chadema, amekwenda kinyume na kiapo cha kustaafu siasa, kwa kurudi katika Chama cha Wananchi (CUF), alichokuwepo...
By Regina MkondeMay 30, 2020POLISI Mkoa wa Mwanza nchini Tanzania, limemkamata na kumhoji, Meya wa Jiji la Mwanza, James Bwire kwa tuhuma zinazomkabili. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mwanza...
By Mwandishi WetuMay 30, 2020RAIS wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amesema, kwa sasa Serikali yote ipo Dodoma ambapo ni mjii mkuu wa nchi kutokana na ofisi...
By Kelvin MwaipunguMay 30, 2020CHAMA cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania kimesema, kitamtumia Wilfred Lwakatare, Mbunge wa Bukoba Mjini, kuvimaliza vyama vya upinzani, hususan Chama cha Demokrasia na...
By Regina MkondeMay 30, 2020MARAIS wastaafu wa Tanzania, wamepongeza Rais wa nchi hiyo, John Pombe Magufuli, jinsi anavyoongoza nchi na kutimiza adhima ya Baba wa Taifa, Hayati...
By Mwandishi WetuMay 30, 2020WILFRED Lwakatare, Mbunge wa Bukoba Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anatarajiwa kurejea kwenye chama chake cha awali cha CUF. Anaripoti...
By Masalu ErastoMay 30, 2020MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imetangaza ukosefu wa maji kwa saa 24 kwa wakazi wa maeneo ya...
By Mwandishi WetuMay 30, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli, amewakabidhi marais wastaafu wa nchi hiyo ndege aina ya Tausi 25 kwa kila mmoja, ikiwa ni ishara ya...
By Mwandishi WetuMay 30, 2020DENISE, mke wa Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza amebainikuwa kuwa na ugonjwa unaosababishaa na virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti Mitandao ya Kimataifa …...
By Mwandishi WetuMay 29, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli kesho Jumamosi tarehe 30 Mei, 2020 atawaongoza marais wastaafu wa nchi hiyo, kuweka jiwe la msingi ujenzi wa...
By Mwandishi WetuMay 29, 2020KIONGOZI wa chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania, Zitto Kabwe amesema, uamuzi wa kesi uliotolewa dhidi yake hautamrudisha nyuma katika harakati zake...
By Mwandishi WetuMay 29, 2020MIJI saba nchini Marekani inatawaliwa na vurugu na maandamano, ni kutokana na polisi wa Minnesota kufanya mauaji kwa George Floyd, Mmarekani mweuzi. Inaripoti...
By Mwandishi WetuMay 29, 2020KUFUATIA kauli ya serikali kuruhusu shughuli za michezo kuendelea nchini iliyotolewa na Rais Magufuli, jijini Dodoma, 21 mei, 2020, Wizara ya Afya kushirikiana...
By Kelvin MwaipunguMay 29, 2020MBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT- Wazalendo, nchini Tanzania, Zitto Kabwe, amenusurika kifugo cha mwaka mmoja gerezani. Anaripoti...
By Faki SosiMay 29, 2020BODI ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) nchini Tanzania, imetoa fedha za mikopo zaidi ya Sh. 100 bilioni, kwa wanafunzi...
By Regina MkondeMay 29, 2020BIGWA wa Mtetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba itaikalibisha Azam FC kwenye mchezo wa robo fainali ya kombe la Shirikisho la Azam,...
By Kelvin MwaipunguMay 29, 2020Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Zitto Kabwe Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, kutotoa na kuandika maneno ya uchochezi kwa muda wa mwaka...
By Faki SosiMay 29, 2020TAKWIMU za kitaifa za viashiria vya malaria kwa mwaka 2017 (Malaria Indicator Survey) inaonesha kuwa upatikanaji wa vyandarua (access) kwa wananchi kitaifa ni...
By Masalu ErastoMay 28, 2020MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo ametangaza tarehe ya kurejea kwa michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara, ambayo ni Juni 13,...
By Kelvin MwaipunguMay 28, 2020TUHUMA za kutumika katika kudhoofisha vyama vya upinzani nchini Tanzania, hususan katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, zimekiibua Chama cha NCCR-Mageuzi. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMay 28, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imeongeza viwango vya faini kwa wagombea watakaofanya makosa ya kimaadili, katika kampeni na Uchaguzi Mkuu...
By Mwandishi WetuMay 28, 2020MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imesema Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee anayekabiliwa na kesi ya uchochezi kwa kutoa...
By Mwandishi WetuMay 28, 2020JAKAYA Kikwete, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) nchini Tanzania, amewakaribisha wanafunzi wa chuo hicho kuendelea na masomo. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMay 28, 2020WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Joyce Ndalichako, amekemea shule na vyuo nchini humo, kutumia janga la corona kama kitega...
By Mwandishi WetuMay 28, 2020VIGOGO wawili wa upinzani jijini Dar es Salaam, Mustafa Muro (Chadema) na Maalim Amir Mbuju (CUF), wamekimbia vyama vyao na kujiunga na NCCR-...
By Hamisi MgutaMay 28, 2020MBUNGE wa Mafinga Mjini (CCM), Cosato Chumi, ameitaka Ofisi ya Rais, Tawaza za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Tanzania kueleza ni lini...
By Mwandishi WetuMay 28, 2020MBUNGE wa Viti Maalum (Chadema), Zubeda Sakuru, ametaka kujua kwa nini wanafunzi wanaojiunga na vyuo vya ufundi stadi (Veta) kukosa mikopo. Anaripoti Danson...
By Danson KaijageMay 28, 2020ROMANA Ashrafi (14), raia wa Iran, ameuawa kwa kushambuliwa kwa mundu na baba yake mzazi Reza Ashraf, kwasababu ‘alijiozesha.’ Nchini humo mauaji hayo...
By Mwandishi WetuMay 28, 2020MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, kesho Ijumaa, tarehe 29 Mei, inatarajia kusoma hukumu ya kesi inayomkabili Mbunge wa Kigoma...
By Faki SosiMay 28, 2020KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) nchini Tanzania, imetaja changamoto nane zinazopelekea matumizi mabaya ya fedha za...
By Mwandishi WetuMay 27, 2020MKURUGENZI Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCBRT, Brenda Msangi amekabidhi vifaa maalumu vya kujikinga na virusi vya Corona usoni (Face Shields) vipatavyo 150...
By Hamisi MgutaMay 27, 2020CHAMA cha Madaktari Tanzania (MAT), kimewataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari kubwa ya ugonjwa wa COVID-19 hasa kipindi hiki ambacho wanafunzi wa vyuo na...
By Mwandishi WetuMay 27, 2020SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imetangaza kurejea kwa michezo ya Ligi Kuu humo kuanzia Juni 5, 2020 baada ya kufanikiwa kukabiliana kwa kiasi...
By Mwandishi WetuMay 27, 2020IDRIS Sultan, msanii wa vichekesho na mwenzake Innocent Maiga, wamepandishwa kizimbani kujibu tuhuma za makosa ya mtandaoni. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam...
By Faki SosiMay 27, 2020SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imetangaza kuregeza baadhi ya mambo wakati huu wa mapambano ya ugonjwa wa COVID-19 ikiwemo, kufungua shule kwa...
By Mwandishi WetuMay 27, 2020GEORGE Floyd (46), raia mweusi wa Marekani, ameuawa kwa kukandamizwa shingo na polisi mzungu wa Jiji la Minnesota, polisi wanne wamefukuzwa kazi kutokana...
By Mwandishi WetuMay 27, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imeanza kuchunguza tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, inazokikabili Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
By Regina MkondeMay 27, 2020SERIKALI ya Tanzania, imemwita Kaimu Balozi wa Marekani nchini humo, Dk. Imni Patterson ili kumhoji juu ya masuala mbalimbali ambayo ubalozi huo umekuwa...
By Mwandishi WetuMay 26, 2020JESHI la Polisi jijini Dodoma limeeleza, kuwa dereva wa gari namba T.237 DSJ aina ya Subaru (IT), aliyewapa lifti watu wawili waliokuwa wakienda...
By Danson KaijageMay 26, 2020LIGI Kuu ya Ujerumani ‘Bundesliga’ kuendelea tena leo ambapo Borrusia Dortmund itawakaribisha klabu ya FC Bayern Munichen kwenye dimba la Signal Iduna Park...
By Kelvin MwaipunguMay 26, 2020KIZA kinene kimetawala katika ufujaji wa mabilioni ya shilingi yaliyotaka kutumika katika mkataba tata wa ununuzi wa vifaa vya Jeshi la Zimamoto na...
By Mwandishi WetuMay 26, 2020MBUNGE wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Asha Abdallah Juma ameitaka Serikali ya Tanzania kueleza jinsi ilivyojipanga katika udhibiti wa ufanyaje...
By Mwandishi WetuMay 26, 2020USHAWISHI wa Vyama vya Upinzani nchini Israel, umefanikiwa kumpandisha kizimbani Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa taifa hilo kwa tuhuma za ufisadi, udanganyifu na...
By Mwandishi WetuMay 26, 2020MBUNGE wa Ulanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Goodluck Mlinga ameihoji Serikali ya Tanzania jinsi ilivyojipanga kudhibiti matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii....
By Hamisi MgutaMay 26, 2020UCHAGUZI Mkuu nchini Burundi umefikia tamati, malalamiko yanayotolewa na vyama vya upinzani baada ya Jenerali mstaafu Evariste Ndayishimiye wa chama tawala – CNDD-FDD...
By Hamisi MgutaMay 26, 2020SERIKALI ya Tanzania imesema, inakusudia kuongeza vifaa vya upekuzi magerezani na kufunga kamera za CCTV ili kubaini matendo maovu yanayofanyika ndani ya magerezani....
By Mwandishi WetuMay 26, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Tabora nchini Tanzania, inamshikilia Ismail Aden Rage kwa tuhuma za rushwa na kuanza...
By Masalu ErastoMay 25, 2020WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa COVID-19 ambao umeanza kupungua nchini humo. Anaripoti Danson Kaijage,...
By Danson KaijageMay 24, 2020