Wednesday , 24 April 2024

Month: April 2020

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yapangua hoja ya mbunge Chadema

SERIKALI imesema, Mgodi wa Geita Gold Mine (GGM), ni moja ya waajiri walioandikishwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Anaripoti...

AfyaHabari Mchanganyiko

Elimu maalum ya kujikinga na corona itolewe kwa walemavu

SERIKALI imeshauriwa kuona namna bora ya kutoa elimu kwa watu wenye walemavu wa kutosikia (viziwi) jinsi ya kujikinga na ugonjwa wa Corona. Anaripoti...

AfyaHabari MchanganyikoTangulizi

Visa vipya 14 vya Corona vyaripotiwa Tanzania

SERIKALI imetangaza ongezeko la  “kesi mpya kumi na nne” (14) za maambukizi ya ugonjwa wa Corona (Covid 19) nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

AfyaHabari Mchanganyiko

Janga la Corona:Tanzania yazuia safari za ndege kimataifa

SERIKALI ya Tanzania kupitia Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TCAA), imefuta safari za ndege za abiria za kimataifa, huku ikiweziwekea masharti ndege za...

AfyaHabari Mchanganyiko

Askofu awatwisha mzigo wa Corona waandishi wa habari

ASKOFU Evance Chande wa Kanisa la EAGT Dodoma, ameviomba vyombo vya habari na waandishi wa habari kutoa elimu ya maambukizi ya corona kwa...

Habari za Siasa

Zitto aandika barua nyingine, sasa IMF aitaka kuikagua BoT

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameeleza kuwa ameliandikia barua Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), kulitaka kuja nchini kuifanyia ukaguzi Benki...

AfyaHabari za Siasa

Janga la Corona: Mbowe ampa mtihani Rais Magufuli

FREEMAN Mbowe, Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amemhoji Rais John Magufuli ya kwamba, idadi ngapi ya vifo vitakavyotokana na Ugonjwa...

Habari za SiasaTangulizi

Kimenuka: Wabunge wengine Chadema, CUF mbioni kuondoka

TAKRIBANI wabunge tisa kutoka vyama viwili vikubwa vya upinzani bungeni – Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wako...

Tangulizi

Wawili wafa kwa Corona, wagonjwa waongezeka

SERIKALI imetangaza vifo viwili vya wagonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Hamis Mguta…(endelea). Kwa mujibu wa...

AfyaHabari Mchanganyiko

Wenye magonjwa haya, hatarini kufa kwa Corona

WATU wanaosumbuliwa na magonjwa sugu pamoja na unene uliopitiliza wako hatarini kupoteza maisha, kutokana na Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu inayosababishwa na...

Makala & Uchambuzi

Huu ndiyo mpango mkakati wa miaka mitano ya EWURA

ILI UWEZE kufanikisha jambo ni lazima uweke mipango mikakati ya jambo ambalo unataka kulifanya kwa maana ya mpango wa mrefu wa kati na...

Habari Mchanganyiko

Pasaka ni kukaa ndani

SHEREHE ya Sikukuu ya Pasaka sasa itafanyika tofauti, ni baada ya Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, kupika marufuku sehemu...

AfyaHabari MchanganyikoTangulizi

Corona: Tanzania kuingia hatua ngumu

WATANZANIA wametakiwa kuongeza umakini katika kujilinda na virusi vya corona (COVID-19), kwa kuwa siku chache zijazo, nchi itaingia katika hatua ya kuambukizana wenyewe...

Habari za SiasaTangulizi

NCCR- Mageuzi yakana madai ya ‘Shangazi’

CHAMA cha NCCR- Mageuzi, kimekana madai kuwa kimetumia kiasi Sh. 1.19 bilioni, zilizotolewa na serikali, bila kuwa na uthibitisho wa nyaraka. Anaripoti Mwandishi...

Habari Mchanganyiko

Sheikh akerwa na vinara wa migogoro Bakwata

SHEIKH wa Mkoa Dodoma, Alhajji Sheikh Mustafa Rajabu Shabani, amesema amechukizwa na baadhi ya viongozi ndani ya Baraza la Waisilamu (BAKWATA) Mkoa na Wilaya...

Habari Mchanganyiko

Jiji la Dodoma kugawa maeneo kwa mtandao, kisa Corona

KUTOKANA na tishio la ugongwa hatari wa Coroma, halmashauri ya jiji la Dodoma limetoa utaratibu wa kuomba maeneo ya biashara kwa njia ya...

Habari Mchanganyiko

Watanzania wabuni kifaa cha kutambua homa kali

KAMPUNI ya Emotec, inayomilikiwa na Mtanzania imebuni mfumo wenye uwezo wa kutambua mtu mwenye homa kali ikiwemo muathirika wa virusi vya corona (COVID-19),...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu ‘ampasua’ Spika Ndugai

TUNDU Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki amemshangaa Spika Job Ndugai, kwa madai ya kufanya kazi kama ‘mkusanya mapato ya benki.’Anaripoti Mwandishi wetu…...

Habari za Siasa

Mbunge ataka gongo itumike kuikabili corona

PROFESA  Jumanne Kishimba, Mbunge wa Kahama (CCM), ameishauri serikali kuruhusu pombe ya gongo, itumike katika kukabiliana na mlipuko wa Virusi vya Corona, kwa...

AfyaHabari Mchanganyiko

Wagonjwa wa Corona Tanzania waongezeka

SERIKALI ya Tanzania imetangaza wagonjwa wanne wapya wa Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za SiasaTangulizi

Meya Jacob kumng’oa Kubenea Ubungo?

KAULI ya Boniface Jacob, Diwani wa Kata ya Ubungo (Chadema) na Meya wa Manispaa ya Ubungo, kwamba hatogombea tena udiwani katika Uchaguzi Mkuu...

Habari Mchanganyiko

Chui aambukizwa corona

SHIRIKA la Habari la Uingrereza (BBC), limetengaza mnyama wa kwanza (Chui) kukutwa na virusi vya corona (COVID-19). Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Chui huyo wa...

Afya

Corona: Waziri Mkuu wa Uingereza hoi, akimbizwa hospitali

BORIS Johnson, Waziri Mkuu wa Uingereza amekimbizwa hospitali kutokana na makali ya virusi vya corona (COVID-19). Linaripoti Shirika la Habari la BBC. Boris...

Habari MchanganyikoTangulizi

Tishio la corona: Ibada KKKT, Misikiti zabadilishwa mwelekeo

WAKATI baadhi ya misikiti ikitumia dakika 20 pekee katika Ibada ya Ijumaa, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) sasa litaumia dakika 45...

Habari

BoT yachapisha noti mpya

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imezifanyia maboresho fedha za noti, toleo la mwaka 2010, katika kipengele cha usalama. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kwa mujibu...

Habari za Siasa

Tishio la uchumi kufuatia Corona: ACT yaziangukia jumuiya za kimataifa

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeziomba jumuiya za kimataifa, hususan taasisi za fedha, kuzipa nafuu katika ulipaji madeni, nchi masikini zenye mikopo, ili ziweze kupata...

Habari za Siasa

Kesi ya Zitto: Shahidi ‘niliona maiti watatu’

SHAHIDI wa mwisho wa upande wa utetezi kwenye kesi namba 327/2018, inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ameieleza mahakama kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, Mbatia ‘bifu’ kali

JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi amekataa kufanya kazi na Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Danson Kaijage,...

HabariTangulizi

Mwingine apona corona Tanzania

MPAKA sasa, watu watatu wawaliokuwa wakisumbuliwa na ugonjwa wa corona, wamepona. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea) Taarifa iliyotolewa na Ummy Mwalimu, Waziri wa...

Habari za Siasa

Lukuvi amtuliza Prof. J

JOSEPH Haule (Prof. Jay) Mbunge wa Mikumi (Chadema), ametaka kujua ni lini serikali itafuta umiliki wa mashamba pori ya muda mrefu ya Mauzi...

AfyaHabari za Siasa

Corona: Chadema yaiangukia serikali

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani kimeiomba serikali kutoa taarifa za kina zaidi juu ya maambukizi ya ugonjwa wa Homa...

Kimataifa

China yaidhinisha nyongo ya dubu kutibu corona

TAIFA la China limeidhinisha matumizi ya nyongo ya dubu kuwatibu wagonjwa wa  corona (COVID-19). Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Kwa kujibu wa taarifa ya Shirika la...

AfyaHabari Mchanganyiko

Mapambano dhidi ya Corona: Madaktari waiangukia serikali, wananchi

CHAMA cha Madaktari Tanzania (MAT), kimeiomba serikali na wananchi kutoa ushirikiano kwa watalaamu wa afya, katika mapambano dhidi ya mlipuko wa Ugonjwa wa...

Habari za Siasa

Shahidi kesi ya Zitto: Aeleza alivyoshuhudia maiti kijiji cha Mpeta

GERALD Serikali shahidi wa sita kwenye kesi ya uchochezo inayomkabili Zitto Kabwe Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo ameieleza mahakama kuwa alishuhudia miili ya...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea azungumzia siku ya kuhama Chadema

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema) amesema, siku akitaka kuhama chama hicho, atasaema na si watu kupiga ramli. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam...

Habari za SiasaTangulizi

Maambukizi Corona yamshtua mbunge wa Ubungo

SAED Kubenea, Mbunge wa Ubungo (Chadema), ameishauri serikali kutengeneza mikakati ya dharura ya kukabili mlipuko wa Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosabishwa...

Habari Mchanganyiko

Matapeli wa ndani ya soko waonywa

AFISA masoko wa Jiji la Dodoma, James Yuna amewaonya baadhi ya wafanyabiashara  ambao wanafanya  utapeli kwa wafanyabiashara wenzao kwa kitendo cha kuwauzia maeneo...

Habari

Adha ya usafiri Dar: Bajaji, bodaboda zaruhusiwa kuingia mjini

PIKIPIKI na Bajaji zinazosafirisha abiria, zimeruhusiwa kuingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam, ili kupunguza changamoto ya usafiri katika kipindi cha mlipuko...

Habari za Siasa

Uchaguzi ACT-Wazalendo waacha mpasuko, Kigogo wake ang’oka

Yeremia Kulwa Maganja, aliyekuwa Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, amejivua uanachama wa chama hicho, kwa madai kwamba kimegubikwa na hila. Anaripoti Mwandishi...

error: Content is protected !!