Monthly Archives: April 2020

Bil. 33 kutumika kuimarisha huduma za kijamii nchini

WIZARA ya Afya, kupitia Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii inatarajia kutumia Jumla ya Sh. 33.1 bilioni kutekeleza shughuli mbalimbali za kijamii hususani zilizopewa kipaumbele kwa mwaka wa fedha 2020/21. ...

Read More »

Corona: Mbunge ‘Bunge lifungwe’

HOFU ya kusambaa kwa virusi vya corona (COVID-19), ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sasa inazungumzwa waziwazi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Ikiwa Bunge na Watanzania wakiwa kwenye ...

Read More »

Buriani Mbunge Mstaafu Kimaro

ALOYCE Bent Kimaro, aliyekuwa Mbunge wa Vunjo mkoani Kilimanjaro (CCM), amefariki dunia leo tarehe 30 machi 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro…(endelea). Kimaro alizaliwa tarehe 24 Juni 1953. Kimaro atakumbukwa kwa msimamo wake kwa kupambana ...

Read More »

Mahakama Mtwara yamwachia huru Mwambe

MAHAKAMA ya Mkoa wa Mtwara leo tarehe 30 Aprili, 2020, imemwachia huru aliyekuwa Mbunge wa Ndanda kwa tiketi ya Chadema, Cecil Mwambe katika kesi ya uchochezi namba 263 ya mwaka ...

Read More »

INFINIX KUJA NA BIGI MAKINI – INFINIX NOTE 7

Kampuni pendwa ya simu Tanzania, Infinix Mobility iko mbioni kuleta simu yenye hadhi ya juu-NOTE 7 na kupewa jina la BIGI MAKINI kutokana na kioo chake kuwa na size kubwa ...

Read More »

Balozi Palestina aingia kwenye mapambano dhidi ya corona

KATIKA kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19), Serikali ya Palestina imepanga kuikabidhi serikali mashine ya kutakatisha mwili (sanitization machine). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumzia ...

Read More »

Wagonjwa wapya 196 wa corona waongezeka, 167 wapona

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza kuongezeka kwa wagonjwa wapya corona  196, ambapo kati yao kutoka Bara ni 174, Zanzibar 22 na kufanya jumla ya watu waliopata maambukizi kuwa ni 480. ...

Read More »

Mbunge Richard Ndassa afariki dunia

RICHARD Mganga Ndassa, Mbunge wa Jimbo la Sumve (CCM), amefariki leo tarehe 29 Aprili, 2020, jijijni Dodoma alipokuwa akipatiwa matibabu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Ndassa alizaliwa tarehe 21 ...

Read More »

Nenda Jaji Augustino Ramadhani, umefanya yaliyokuhusu

KASISI wa Kanisa la Anglikana Visiwani Zanzibar, Jaji Augostino Ramadhani (74), ameaga dunia. Amekutwa na mauti jana Jumanne, katika hospitali ya Aga Khan, jijini Dar es Salaam. Mpaka sasa, naandika ...

Read More »

Serikali yapokea msaada wa Bil 14.9

SERIKALI imepokea msaada wa Sh. 14.9 bilioni kutoka Global Fund, Airtel Tanzania, Rotary Club Tanzania ambazo sehemu kubwa zitatumika kununua vifaa kinga kwa watumishi wa afya na vifaa tiba kwa ...

Read More »

Buriani Kaka Evod Herman Mmanda

EVOD Mmanda, naomba uamke kaka yangu. Umeondoka mapema mno kaka. Kwa nini lakini? Anaandika Moses Machali … (endelea) Kwangu hukuwa rafiki tu, bali Kaka wa kweli uliyependa kushauriana nami mambo ...

Read More »

Mradi wa kuzalisha majani bora ya kulishia mifugo wazinduliwa

TAASISI ya tafiti za mbegu bora za mazao (TARI) katika kituo cha Hombolo kwa kushirikiana na Shirika la Advanta Seed International kinatekeleza mradi maalumu wa kutafiti na kuzalisha mbegu bora ...

Read More »

Kanisa la Mlima wa Moto watangaza wiki ya maombelezo

MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Mlima wa Moto lililopo Sabasaba Jijini Dodoma, Slivanus Komba ametangaza maombi ya Maombolezo ya siku saba ikiwa ni sehemu ya kumuenzi Dk. Getrud Rwakatale. Anaripoti ...

Read More »

Serikali kushirikiana na Azaki kupambana na Corona

SERIKALI ya Tanzania imesema itaendelea kushirikiana na Asasi za Kiraia (AZAKI) katika kupambana na janga la ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam … ...

Read More »

Wanywaji pombe za kienyeji waonywa

DIWANI wa kata ya Ipagala jijini Dodoma, Doto Gombo, amewaonya wanywaji wa pombe za kienyeji kuacha tabia ya kuchangia chombo kimoja maarufu kwa jina la Chitochi. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma ...

Read More »

Kaya 80 Dodoma zapokea msaada wa Mil 21

JUMLA ya kaya 80 za wakazi wa Kata ya Chamwino Jijini Dodoma wamenufaika na msaada wa chakula na mahitaji mbalimbali kutoka, taasisi ya Dar-Ul-Muslimeen kwa kushirikiana na W.I.P.A.H.S. Anaripoti Danson Kaijage, ...

Read More »

FCS yazindua kampeni ya wanaohudumia wagonjwa wa corona

FOUNDATION for Civil Society (FCS) imezindua Kampeni ya ‘Jumanne ya Utoaji’ kuwasaidia na kuwalinda watoa huduma wa afya nchini Tanzania. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Lengo la Kampeni ya ...

Read More »

Barakoa zawa ‘deal’ jiji la Dodoma

KUTOKANA na kuwepo kwa mahitaji ya matumizi ya barakoa kwa ajili ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona kifaa hicho kimekuwa lulu katika jiji la Dodoma. Anaripoti Danson Kaijage, ...

Read More »

Wagonjwa 37 wapona Corona Tanzania

WAGONJWA 37 waliokuwa wameambukizwa virusi vya Corona (COVID-19) wamepona na kuruhusiwa kurejea nyumbani baada ya vipimo vya mwisho kuthibitisha kwamba hawana maambukizi ya COVID-19. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam ...

Read More »

Chavita waomba elimu kwa viziwi, barakoa tatizo kwao

CHAMA cha Viziwi Mkoa wa Dodoma (CHAVITA) kimeiomba serikali kupitia Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kutoa elimu kwa jamii ya Viziwi juu ya kujikinga na ...

Read More »

TARI Hombolo waingia mkataba wa Mil 25 na TBL

KITUO cha Tafiti za mbegu bora za kilimo –TARI Hombolo, jijini Dodoma kimeingia mkataba wenye thamani ya dola za kimarekani 11,000 (zaidi ya Sh. 25 milioni) na kampuni ya Bia ...

Read More »

Corona sasa yamkumba mbunge wa Tanzania

NAIBU Spika wa Bunge la Jamhuri, Dk. Tulia Akson, amelitangazia Bunge kuwa mmoja wa wabunge wa Bunge hilo, amepatwa na virusi vya Corona. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).  Akizungumza ...

Read More »

Watafiti wa Kilimo: Tukizuiwa kufanya kazi, tujiandae na njaa, umaskini

WATAALAMU wa tafiti za mbegu bora za kilimo Tanzania, wametaadhalisha kuwa kuenea kwa kasi kwa virusi hatari vya ugonjwa wa Corona huenda ukaathiri tafiti za kilimo Tanzania, hali ambayo itapelekea ...

Read More »

Diwani apiga marufuku uingizwaji wa taka sokoni

DIWANI wa kata ya Chamwino, jijini Dodoma, Jumanne Ngede amepiga marufuku uingizwaji wa taka za vifungashio vinavyoletwa na bidhaa mbalimbali kwenye dampo la soko la Bonanza, zinazozalishwa na wafanyabishara wa ...

Read More »

Mch. Getrude Lwakatare afariki dunia

MCHUNGAJI wa Kanisa la Mlima wa Moto (Mikocheni B Assemblies of God), amefariki dunia alfajiri ya leo tarehe 20 Aprili 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa ...

Read More »

Wagonjwa 23 wa corona waongezeka Z’bar

WIZARA ya Afya Zanzibar imetangaza wagonjwa wapya 23 wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa hiyo imetolewa ...

Read More »

Spika Ndugai awanyoosha wapinzani bungeni, akiilinda mahakama

JOB Ndugai, Spika wa Bunge, amezuia Hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinzani kuhusu Wizara ya Katiba na Sheria kusomwa bungeni jijini Dodoma, kwa maelezo kwamba inashambulia Mhimili wa Mahakama. Anaripoti ...

Read More »

Vita dhidi ya Corona: Wanywa bia baa wapigwa ‘stop’

SOPHIA Mjema, Mkuu wa Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, amepiga marufuku mikusanyiko ya watu katika baa, ikiwa ni sehemu ya hatua za kudhibiti maambukizi ya Ugonjwa wa Homa ...

Read More »

Mkataba wa Muungano watikisa Bunge

MNYUKANO mkali umeibuka bungeni, baada ya baadhi ya wabunge kuhoji kuwapo kwa vifungu vya Katiba ya Zanzibar, vinavyopingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). ...

Read More »

Wagonjwa wa Corona wafikia 147, Dar hali tete 

SERIKALI imetangaza ongezeko la wagonjwa wapya 53, wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Akitoa taarifa ya ongezeko ...

Read More »

Maduka 400 kufungwa Arusha

MADUKA zaidi ya 400 yako hatarini kufungwa na Halmashauri ya Jiji la Arusha, kutokana na wamiliki wake kushindwa kulipa malimbikizo ya kodi ya pango Sh. 262.5 milioni. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Spika Ndugai awaweka karantini wabunge

JOB Ndugai, Spika wa Bunge, ametoa waraka kwa wabunge wenye muongozo juu ya namna ya kujikinga na maambukizi ya Ugonjwa wa Homa ya Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya ...

Read More »

Kasi ya Corona yamshtua JPM, atangaza siku 3 za maombi

RAIS John Magufuli ametaka Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu mfululizo, ili awanusuru na athari za Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Wananchi watakiwa kutochoka kunawa mikono

KAIMU Meneja wa forodha Mikoa ya Songwe na Mbeya, Anangisye Mtafya amewataka Wasafiri na wafanya biashara wa maeneo ya mipakani kutochoka kusafisha mikono kwa sabuni na maji safi yanayotiririka wakati ...

Read More »

Wagonjwa sita wa corona waongezeka Zanzibar

WIZARA ya Afya ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya sita (6) wa Corona (COVID-19). Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam … (endelea). Kupitia taarifa ...

Read More »

Rostam Aziz ajenga historia mpya

ROSTAM Aziz, mfanyabiashara mkubwa na mbunge wa zamani wa Igunga, Tabora ametoa mashine kubwa 25 za vitakasa mwili wote ili kukabili virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Hamis Mguta, Dar es ...

Read More »

Idadi ya wagonjwa wa corona yapaa

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu ametangaza ongezeko la wagonjwa wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona nchini kutoka 53 hadi 88 baada ya wagonjwa wapya 29. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Serikali imetumia Mil 400 kukarabati Kituo cha Afya Igoma

SERIKALI imeeleza, Kituo cha Afya Igoma kilipatiwa kiasi cha Sh. 400 milioni kwa ajili ya ukarabati na upanuzi na kazi hiyo imekamilika. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo imetolewa ...

Read More »

Ugonjwa wa figo tishio Dar, Arusha

JIJI la Dar es Salamu linaongoza kwa kuwa na wagonjwa wa figo huku Arusha ikishika namba mbili. Mkoa wa Simuyu unaongoza kwa wagonjwa wachache Tanzania bara na Zanzibari. Anaripoti Danson Kaijage, ...

Read More »

Z’bar maambukizi ya corona yapanda

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imetangaza ongezeko la wagonjwa wapya sita wa Homa Kali ya Mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Taarifa ya ongezeko ...

Read More »

Ujumbe wa ACT-Wazalendo kwa taifa kuhusu uchumi & corona

Ujumbe wa ACT-Wazalendo kwa taifa kuhusu uchumi & corona Ndugu Wananchi, Itakumbukwa kuwa Kiongozi wa Chama Chetu alimwandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mnamo tarehe 27 Machi ...

Read More »

Ajali yauwa Watu 18 na kujeruhi 15 mkoani Pwani

WATU 18 wamepoteza maisha huku 15 wakijeruhiwa, katika ajali iliyohusisha lori la gari la abiria, iliyotokea asubuhi ya leo tarehe 15 Aprili 2020, mkoani Pwani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Taarifa ya ...

Read More »

Mke wa mbunge akutwa na Corona

MWANDISHI wa habari wa Sauti ya Ujerumani (DW), anayefanyia shughuli zake Visiwani Zanzibar, Salma Said, amethibitika kukutwa na maambukizi ya virusi vya Corona – Covid 19. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar ...

Read More »

Shule, vyuo kuendelea kufungwa, Rais Magufuli afuta sherehe za Muungano

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema agizo la kufungwa kwa shule na vyuo vya kati na vya elimu ya juu, liliotolewa tarehe 17 na 18 Machi mwaka huu, litaendelea  hadi pale ...

Read More »

Aliyedai kudhurumiwa shamba amvaa Lukuvi bungeni

MKAZI wa kijiji cha Nyahanga, Wilayani Kahama, Shinyanga, Magohe Kafumu, amemfuata bungeni jijini Dodoma, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, ili amsaidie kupata haki yake ya ...

Read More »

Wafanyabiashara wapewa somo la kuepuka migogoro

AFISA masoko wa Jiji la Dodoma, James Yuna ameutaka Umoja wa Wafanyabiashara waendao minadani (UWABIMIDO), kufanya vikao vya mara kwa mara ili kuhakikisha wanatatua migogoro ambayo inaweza kujitokeza na kuvuruga ...

Read More »

Mchanganyo huu unaua virusi vya corona

CHANGANYA lita moja ya Jik na lita sita za maji, kisha pulizia gari lao, hapo litakuwa salama dhidi ya virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu, Mbeya … (endelea). Anyitike Mwakitalima, ...

Read More »

Mbunge ashangaa Ranchi ya NARCO kubadilishwa matumizi

SERIKALI imetakiwa ieleze, kwanini Ranchi ya NARCO Mbarali iliyoanzishwa kwa ajili ya mifugo, imeacha matumizi yake na sasa eneo hilo linatumika kwa kilimo? Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Swali hilo limeulizwa ...

Read More »

Mbunge CCM aipigania zabibu

JOEL Mwaka, Mbunge wa Jimbo la Chilonwa (CCM), amehoji serikali kwamba ina mpango gani wa kuhakikisha wataalam wa kilimo cha zabibu, wanapatikana ili kuwasaidia wakulima? Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … ...

Read More »

Mwijage ‘aibuka’ na parachichi bungeni

CHARLES Mwijage, waziri wa zamani wa Viwanda na Mbunge wa Kaskazini (CCM), ameitaka serikali kueleza mpango wake katika kuwezesha wakulima wa zao la parachichi mkoani Kagera. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Amehoji, kwa ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram