Daily Archives: March 16, 2020

Mbowe: ICC haitawaacha

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema vyombo vya ulinzi na usalama vinavyokiuka haki, hata kama vikilindwa na serikali ya Tanzania, havina kinga katika jumuiya za ...

Read More »

Mgonjwa wa kwanza wa Corona agundulika Tanzania

SERIKALI ya Tanzania imeripoti kuwepo mgonjwa mmoja mwenye ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa ya uwepo wa mgonjwa huyo ...

Read More »

Wahudumu wodi ya corona Kenya wagoma

MGOMO umeibuka katika wodi iliyotengwa kuwahudumia watu walioambukizwa virusi vya corona nchini Kenya. Inaripoti mitandao ya kimataifa … (endelea). Taarifa zaidi kutoka nchini humo zinaeleza, wahudumu wa wodi hiyo wamelalamika kutokuwa ...

Read More »

Mbowe: Tumefika ukomo

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema kwa kuwa serikali imeweka pamba masikioni, nao wamefika ukomo. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea). Hivyo, ameagiza viongozi ...

Read More »

Corona ni mbaya kuliko Ukimwi: JPM 

RAIS John Magufuli ameagiza Watanzania kuepuka mikusanyiko ikiwa ni hatua za awali kukabiliana na kusambaa kwa virusi vya corona nchini. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Amesema, ugonjwa ...

Read More »

Virusi vya corona: Mbio za Mwenge zasitishwa 

RAIS John Magufuli amesitisha mbio za Mwenge na kuagiza fedha zilizotengwa kwa ajili ya kufanikisha zoezi hilo iende Wizara ya Afya kwa ajili ya kununua vifaa na dawa za kudhibiti ...

Read More »

Mdee, Bulaya kushtakiwa kwa vurugu gerezani

HALIMA Mdee, Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) na Esther Bulaya, Mbunge wa Bunda mjini, wanatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kufanya fujo gerezani Segerea, jijini Dar es Salaam. ...

Read More »

Maalim Seif jabali kuu ACT-Wazalendo 

HAIKUWA rahisi hivyo kwa wafuasi wa mwanasiasa gwiji nchini na mtetezi mkuu wa Zanzibar yenye mamlaka kamili, Maalim Seif Shariff Hamad, kuamini kuwa atauvuta umma na kuridhiwa kuongoza Chama cha ...

Read More »

Tendai kama Lwaitama wapamba ACT-Wazalendo

KUJA kwa kiongozi wa upinzani wa Zimbabwe na mwingine kutoka Afrika Kusini kushuhudiwa akihutubia kwa njia ya video kwenye jukwaa la kielektroniki, kulichangia kwa kiasi kikubwa kuupa mkutano mkuu wa ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram