Daily Archives: March 13, 2020

Jussa amwendesha Zitto 

ISMAIL Jussa, mgombea nafasi ya Uongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ametumia vyema mdahalo wa kuwapima wagombea wa chama hicho, kuonesha udhaifu wake, chini ya uongozi wa  Zitto Kabwe, anayetetea ...

Read More »

Maalim Seif, Shilungushela watoana jasho

MAALIM Seif Shariff Hamad, Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amechuana vikali na mwanasiasa nguli, Nyagaki Shilungushela katika mdahalo wa kupima wagombea wa uenyekiti wa chama hicho. Anaripoti Faki Sosi, Dar es ...

Read More »

Mabomu yarindima Segerea ‘kwa Mbowe’

ASKARI wa Jeshi la Magereza katika gereza la Segerea, wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), walikwenda kumsubiri Freeman Mbowe nje ya lango la ...

Read More »

Mch. Msigwa: Niligoma kutoka jela

MCHUNGAJI Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini, aligoma kutoka jela. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumza na wanahabari katika Makao Makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo ...

Read More »

Virusi vya Corona: Tahadhari ya Rais Magufuli kwa taifa

RAIS John Magufuli amewataka Watanzania kuchukua tahadhari kutokana na kusambaa kwa virusi vya Corona. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). Akizungumza kwenye uzinduzi wa Karakana Kuu ya Jeshi la Wananchi wa ...

Read More »

Chadema wamaliza kazi, Mbowe kuliona jua leo

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekamilisha mchakato wa kumtoa kifungoni mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, aliyekuwa anatumikia kifungo cha miezi mitano kwenye Gereza la Segerea, jijini Dar es Salaam. Anaripoti Hamis ...

Read More »

Corona yatua Kenya

KENYA inakuwa nchi ya kwanza katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kuripotiwa kugundulika kwa mtu mwenye virusi vya Corona (COVID-19, mamlaka ya nchi hiyo imethibitisha. Inaripoti mitandano ya kimataifa … (endelea). Leo ...

Read More »

Corona inavyoitoa machozi dunia

DUNIA inatikisika, virusi vya ugonjwa wa Corona vimeendelea kusamba na kusababisha hofu kubwa sambamba na vifo. Anaandika Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Shughuli za uzalishaji zimepungua, michezo na burudani pamoja na mikusanyiko, ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram