Daily Archives: March 11, 2020

Faini Chadema: Mil 234 zachangwa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefanikiwa kukusanya Sh. 234 milioni, kwa ajili ya kulipa hukumu faini zaidi ya milioni 350, inayowakabili viongozi wake wakuu.  Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam ...

Read More »

ACT-Wazalendo watoa Mil 2 kuwachomoa Mbowe na wenzake

CHAMA cha ACT – Wazalendo kimechangia kiasi Sh. 2 milioni fedha taslim ili kuwezesha kutolewa gerezani viongozi wa juu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliolala gerezani kusubiri kulipiwa ...

Read More »

Mdee, Bulaya, Matiko kuwa huru leo

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimelipa hukumu ya faini ya Sh. 100 milioni katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa ajili ya kuwakomboa viongozi wake wa kike. Anaripoti Regina ...

Read More »

Ujumbe wa Dk. Mashinji baada ya kutoka jela

DAKTARI Vincent Mashinji, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na mwanachama mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ametuma salamu za pongezi kwa wanachama wa chama chake ...

Read More »

Hukumu ya Mbowe: Hivi ndivyo hakimu alivyomkwepa Akwilini

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imesema hukumu yake juu ya kesi ya jinai Na. 112/2018 iliyokuwa ikiwakabili viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ...

Read More »

Tahadhari ya Corona (COVID-19) Tanzania

VIRUSI vya Corona vinaendeleo kuitesa dunia, tayai imesababisha madhara makubwa katika nchi mbalimbali duniani. Anaandika James Iyambogo, Mwanza … (endelea). Ugonjwa huo husambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine ...

Read More »

CCM kumchomoa ‘mtu wao’ Dk. Mashinji leo?

MAISHA ya kutengwa, kuzomewa na hata kupuuzwa anayopita Dk. Vicent Mashinji, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), yanapata faraja kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Faki ...

Read More »

Faini Mbowe, wenzake: 108 Mil zakusanywa usiku kucha

ZAIDI ya Tsh. 108,262,000 tayari zimekusanywa ndani ya saa 12, tangu faini ya Freeman Mbowe na wenzake kuwa wazi jana tarehe 10 Machi 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram