Daily Archives: March 10, 2020

Baada ya kuhukumiwa kulipa mamilioni, Mbowe na wenzake walala Segerea

VIONGOZI wanane wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiongozwa na mwenyekiti wao, Freeman Mbowe, wamenusurika kufungwa gerezanibaada ya kuamriwa kulipa faini ya fedhataslimu zaidi ya Sh. 350 milioni kwakukutwa na ...

Read More »

Polisi wazoa wafuasi wa Chadema

WAKATI kesi Na. 112/2018 ya uchochezi inayowakabili Freeman Mbowe na viongozi wenzake wa Chadema, Jeshi la Polisi limeendesha zoezi la kuwasomba wafuasi wa chama hicho katika viunga vya Mahakama ya ...

Read More »

Wastaafu watakiwa kuwa wabunifu kwenye ujasiriamali

WASTAAFU wametakiwa kubuni miradi ambayo itawawezesha kufanya shughuli ya ujasiriamali kwa lengo la kujiongezea kipato baada ya kustaafu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Hayo yameelezwa na Mshauri mwelekezi na ...

Read More »

Dk. Vincent Mashinji azomewa kortini

DAKTARI Vincent Mashinji, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kabla ya kujiunga Chama cha Mapinduzi (CCM), amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuzomewa katika Mahakama ya ...

Read More »

Kesi ya Chadema: Nusura ‘kiwake’ Kisutu

VURUGU, vuta nikuvute na kurushiana maneno vimetawala kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam wakati wa kusikiliza kesi ya viongozi wa Chadema. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam ...

Read More »

Lowassa, Sumaye wamtia gundu Membe

WASWAHILI husema ‘ukiumwa na nyoka, ukigusa jani unashtuka,’ hiki ndicho kinachomtokea Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje katika serikali ya awamu ya nne. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … ...

Read More »

Ujumbe mzito wa Mbowe kabla ya hukumu

IKIWA zimesalia saa kadhaa kwa viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuhukumiwa katika Kesi ya Jinai Na. 112/2018, inayowakabili kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wametoa waraka ...

Read More »

Agizo la kwanza la Nondo baada ya kukwaa Uenyekiti ACT

ABDUL Nondo, Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Nondo amechaguliwa kushika ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram