Daily Archives: March 6, 2020

Kosa la Mbatia ni lipi?

MIJADALA kwenye mitandao ya kijamii, imekoleza tuhumadhidi ya Mwenyekiti wa taifa wa chama cha NCCR- Mageuzi, James Francis Mbatia, kwamba anatumika na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kudhoofisha upinzani. Anaandika Yusuph ...

Read More »

Dodoma wasaka mwarobaini ufaulu wa wanafunzi

KASIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anatarajiwa kuwa ngeni rasmi katika uzinduzi wa Kongamano la Elimu Mkoa wa Dodoma. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Kwa mujibu ...

Read More »

Mpalestina azindua gari la umeme

JIHAD Mohammed, Mpalestina na mmiliki wa Kampuni ya Electra iliyopo Lebanon, amezindua gari linalotumia umeme. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea) Uzinduzi huo, unafanyika kwa mara ya kwanza katika Historia ya Palestina, ambapo ...

Read More »

Dk. Bashiru aeleza namna dola inavyoibeba CCM

WAKATI Rais John Magufuli akiahidi uchaguzi huru na haki, Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anashangazwa namna vyama vilivyo madarakana kushindwa kuendelea kubaki madarakani kwakutumia dola. ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram