Daily Archives: March 5, 2020

Yanga watenga Mil 200 kuimaliza Simba

WADHAMINI wa Yanga, Kampuni ya GSM wametenga kiasi cha Sh. 200 milioni kama motisha kwa wachezaji endapo watafanikiwa kuibuka na ushindi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya ...

Read More »

Gwajima ‘asulubiwa’

TABIA ya ukabila inayojengwa na Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima nchini, sasa inamtafuna mwenyewe. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Viongozi wa Kikristo na ...

Read More »

Mbatia awavuruga CCM, Chadema Mbeya   

MWENYEKITI wa chama cha NCCR- Mageuzi, James Mbatia, aliyeko mkoani Mbeya, ameanza kwa kishindo ziara yake mkoani humo, kufuatia maelfu ya watu kujitokeza kutaka kujiunga na chama chake. Anaripoti Mwandishi ...

Read More »

Polisi wamvaa Mbatia, aitwa kujieleza

ZIARA ya James Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi imeingia shubiri mkoani Mbeya baada ya polisi kuvamia na kuzuia mkutano wake wa ndani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Lindi … (endelea). ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram