Daily Archives: March 4, 2020

Membe ‘aitwa’ ACT-Wazalendo

BERNALD Membe, aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri wa Mambo ya Nje katika serikali ya awamu ya nne, amekaribishwa ndani ya Chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar ...

Read More »

Maalim Seif aonesha njia ya ushindi 2020

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo amesema, ushirikiano ndio njia muhimu ya kushinda kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). Kutokana ...

Read More »

Maalim Seif: Nani atanitongoza?

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ameeleza kwamba msimamo wake katika siasa unamweka mbali na ‘wanaotongoza’ wanasiasa ili kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Mbowe avamiwa

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, yupo kwenye wakati mgumu jimboni kwake Hai, Kilimanjaro. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro…(endelea). Akiwa kwenye mkutano jana tarehe 3 Machi ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram