Daily Archives: March 3, 2020

Mbatia: Nimemuuliza rais, nchi hii tunaipeleka wapi?

JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi amesema amekutana na Rais John Magufuli na kumuuliza, hatima ya Tanzania. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea). Akizungumza na wanahabari leo tarehe 3 ...

Read More »

Membe awekewa ‘ngumu’ kujiunga Chadema

BERNARD Membe, Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje katika serikali ya awamu ya nne, amewekewa ngumu kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam ...

Read More »

Maalim Seif amfuata JPM Ikulu

MAALIM Seif Sharif Hamad, Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ametinga Ikulu, jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na Rais John Magufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … ...

Read More »

Zengwe la Meya Dar lahamia Meya Iringa

MKAKATI ulioondeshwa na madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutaka kumng’oa Isaya Mwita, Meya wa Jiji la Dar es Salaam sasa umehamia kwa Alex Kimbe, Meya wa Manispaa ya Iringa. Anaripoti ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram