Daily Archives: March 2, 2020

Lema: Polisi wananisaka

GODBLESS Lema, Mbunge wa Arusha Mjini amedai kwamba, anatafutwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Lema ametoa taarifa hiyo leo tarehe 2 Machi 2020, kupitia ukurasa wake ...

Read More »

Maalim Seif atikiswa Pemba

AHMED Ngwali, Mbunge wa Wawi mkoani Kusini Pemba kupitia Chama cha Wananchi (CUF), amejivua uanachama na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Pembe iliyokuwa ngome ya CUF, kwa sasa ...

Read More »

Dk. Bashiru amtisha Membe

SIKU mbili baada ya Bernald Membe kusema, uamuzi wa kumkabili Dk. John Magufuli kwenye urais ndani ya chama hicho, ndio uliomfukuzisha, Dk. Bashiru Ally amemtaka wakutane uwanjani. Anaripoti Hamis Mguta, Dar ...

Read More »

Dk. Bashiru: CCM msifurahie kufukuzwa kwa Membe

DAKTARI Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amewataka wanachama wa CCM kutosherehekea uamuzi huo na kuwataka kuweka akiba ya maneno, kufuatia kumfukuza uanachama, Bernard Membe, Waziri wa ...

Read More »

Uchaguzi 2020: Maalim Seif aitesa CCM Zanzibar

CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimeonesha wasi wasi wake juu ya harakati za Maalim Seif  Shariff Hamad, za kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba 2020. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram