Friday , 29 March 2024

Month: February 2020

Afya

Maambukizi malaria yapungua

MAAMBUKIZI mapya ya ugonjwa wa Malaria yamepungua nchini kwa asilimia 27 kutokana na kuboreka kwa takwimu ya ugonjwa huo ukilinganisha na kesi 164 mwaka...

Habari za Siasa

Mtego anaoundiwa Maalim Seif Z’bar wavuja

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), visiwani Zanzibar kinahaha namna ya kumzima Maalim Seif Sharif Hamad, Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Jabir Idrissa,...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu amchongea Ndugai ughaibuni

BUNGE la Jamhuri ya Muungano, limeanza kuchunguzwa rasmi na Umoja wa Mabunge ulimwenguni (IPU), kufuatia kufunguliwa mashitaka rasmi na aliyekuwa mbunge wa upinzani...

Habari Mchanganyiko

TRC yasitisha safari za treni 

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC), limetangaza kusitisha huduma za usafiri wa treni za abiria na mizigo kwa muda, hasa kati ya Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu kurejea nchini kwa staili hii

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), atarejea nchini lakini hatokuwa peke yake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...

Habari za SiasaTangulizi

Membe yametimia, Makamba amkana

BERNARD Membe, Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu, ameandikiwa barua ya wito, kwenda kuhojiwa kwenye Kikao cha Kamati Ndogo ya Udhibiti na Nidhamu...

Habari za Siasa

Duni: Ningali na nguvu, salam zao CCM

BABU Juma Duni Haji, mmoja wa wanasiasa wakongwe nchini, amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti akitarajia kuwa mmoja wa viongozi wa...

Habari za Siasa

Kuelekea Oktoba 2020; wanasiasa waanza kutuhumiana

TUHUMA kwamba, baadhi ya vyama vya siasa vimenza kuandaa vijana kwa ajili ya vurugu, kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020, zimetolewa bungeni. Anaripoti...

Habari za Siasa

Zitto aongeza nguvu Chadema

HATUA ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa kumwandiskia barua Rais John Magufuli kuhusu uchaguzi huru na haki, imepokewa kwa mikono miwili na...

Habari za Siasa

Mbunge ataka wabakaji wahasiwe, AG amtuliza

ZAINABU Katimba, Mbunge wa Viti Maalimu (CCM), ameishauri serikali kuweka adhabu kali kwa wabakaji ikiwemo kuhasiwa. Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Akizungumza bungeni leo tarehe 4...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Moi afariki dunia

RAIS wa Pili wa Kenya, Daniel arap Moi (95), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 4 Februari 2020. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe ‘ajisalimisha’ kwa Rais Magufuli

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemwandikia barua Rais John Pombe Magufuli, kikimtaka kuunda tume ya mardhiano, ili kuliondoa taifa katika kile ilichoita,...

Habari za Siasa

Mbunge ang’ang’ania bangi, Ndugai aungana naye

KWA mara nyingine, Jumanne Kishimba, Mbunge wa Kahama Mjini (CCM), amesisitiza umuhimu wa kilimo cha bangi na kushauri serikali iruhusu zao hilo. Anaripoti Danson...

Habari za Siasa

JPM ampa Dk. Abbas vyeo viwili

DAKTARI Hassan Abbasi, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ataendelea kutumikia cheo chake cha awali cha Msemaji Mkuu wa Serikali,...

Habari Mchanganyiko

Vifo vya ‘Mwamposa’: Kanisa labebeshwa gharama

SERIKALI imesema, Kanisa la Inuka Uangaze la Mchungaji Boniface Mwamposa, lina jukumu la kugharamia msiba wa watu 20 waliofariki wakati wa kukanyaga mafuta...

Habari za Siasa

Kutimuliwa ubunge: Zitto akingiwa kifua

DHAMIRA ya Job Ndugai, Spika wa Bunge kutaka kumtimua Zitto Kabwe bungeni, kupitia Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), imepingwa. Anaripoti Hamis Mguta, Dar...

Habari Mchanganyiko

Mchungaji Mwamposa atuhumiwa kwa mauti, atiwa mbaroni Dar

MCHUNGAJI na Mtume Boniface Mwamposa, kiongozi wa Kanisa la Inuka Uangaze, amekamatwa na polisi Jijini Dar es Saalam, baada ya kusababisha vifo vya...

Habari za Siasa

Siku za Makonda zinahesabika?

MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Albert Makonda na mkewe, Mary Felix Massenge, wamepigwa marufuku kuingia nchini Marekani. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto kuvuliwa Ubunge, zigo aachiwa AG

JOB Ndugai, Spika wa Bunge, ameanza kuchonga njia ya kumvua ubunge Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea)....

error: Content is protected !!