ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amekutwa na kesi ya kujibu. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Umauzi huo umetolewa...
By Faki SosiFebruary 18, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuongeza muda wa zoezi la uboreshaji daftari la wapiga kura,...
By Regina MkondeFebruary 18, 2020HOFU anayojengewa Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ndani na nje ya Bunge haimyumbishi. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). Anaripoti...
By Faki SosiFebruary 18, 2020MATUMAINI ya Erick Kabendera, mwandishi wa habari wa kimataifa wa Tanzania anayeshitakiwa kwa madai ya uhujumu uchumi, kuungana na familia yake yamewekwa njia...
By Faki SosiFebruary 17, 2020FEDHA za Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf), alizotumbua Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam mwaka 2012, ametakiwa kuzirejesha. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuFebruary 17, 2020DAKTARI Albina Chuwa, Mkurugenzi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), amesema kasi ya upunguaji umasikini kwa Watanzania imeongezeka, ukilinganisha na nchi za...
By Regina MkondeFebruary 17, 2020HATMA ya Mazungumzo kati ya Erick Kabendera na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), kufahamika jumatatu tarehe 17 Februari 2020. Anaandika Faki Sosi, Dar es Salaam...
By Hamisi MgutaFebruary 16, 2020CECIL Mwambe, Mbunge wa Jimbo la Ndanda, amejiuzulu wadhifa huo baada ya kukihama chama chake cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), na kurejea katika...
By Kelvin MwaipunguFebruary 15, 2020CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimeweka wazi kwamba, kitamfukuza uanachama mtu atakayeonyesha kiburi dhidi ya sheria, misingi na kanuni za chama hicho. Anaripoti Mwandishi...
By Regina MkondeFebruary 15, 2020DAKTARI Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amewatuhumu baadhi ya wateule wa Rais John Magufuli, kwamba hawana uaminifu, kitendo kinachopelekea...
By Mwandishi WetuFebruary 15, 2020BARAZA la taifa la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo ((BAVICHA), jana Alhamisi, tarehe 13 Februari 2020, liliitisha mkutano na waandishi wa...
By Mwandishi MaalumFebruary 14, 2020KESI iliyofunguliwa na Ofisa wa Mtandao wa Haki za Binaadamu (THRDC), Paul Kisabo kupinga washtakiwa wa makosa ya uhujumu kunyimwa dhamana, imesogezwa mbele. Anaripoti...
By Faki SosiFebruary 14, 2020SIKU moja baada ya Kamati Kuu (CC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuketi jijini Dar es Salaam, Bernard Membe amesema, ‘anasikilizia’ uamuzi wa...
By Mwandishi WetuFebruary 14, 2020MAKADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaosaka ubunge na udiwani kupitia chama hicho, wameanza kumimina fedha mtaani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...
By Mwandishi WetuFebruary 13, 2020IKIWA imebaki miezi takribani minane kuingia kwenye uchaguzi mkuu, baadaye mwaka huu, hitajio la Tume Huru ya Uchaguzi linazidi kushika kasi. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeFebruary 13, 2020MFANYABIASHARA, Mbunge wa zamani wa Ilala na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Idd Simba (85) amefariki dunia. Anaripoti Kelvin Mwaipungu,...
By Kelvin MwaipunguFebruary 13, 2020MSIMAMO wa Rais John Magufuli, kwamba hatosaidia watakaokumbwa na mafuriko, umepingwa na James Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Regina MkondeFebruary 13, 2020KESI za kupinga watuhumiwa kukamatwa kabla ya upelelezi kukamilika, pamoja na kunyimwa haki ya dhamana inaanza kutajwa leo tarehe 13 Februari 2020. Anaripoti Faki...
By Faki SosiFebruary 13, 2020KAMATI Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), imetoa siku saba kwa Kamati Ndogo ya Udhibiti na Nidhamu, kukamilisha taarifa ya mahojiano ya Bernard...
By Regina MkondeFebruary 12, 2020HATUA ya Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo kudai kuundiwa zengwe la kuhusishwa na utakatishaji fedha, limekishtua chama hicho. Anaripoti Faki...
By Faki SosiFebruary 12, 2020MCHUNGAJI Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini, amesema kila baada ya miezi mitatu, hufanya utafiti kubaini idadi ya wananchi wanaomuunga mkono jimboni humo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2020WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imekabidhiwa rasmi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Maweni. Anaripoti Mwandishi wetu, Kigoma…(endelea)....
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2020RAIS wa Marekani, Donald Trump anataka dunia itambue, kwamba anashughulika kutatua mgogoro kati ya Israel na Palestina. Anaandika Mwandishi Wetu… (endelea). Harakati na...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2020MAALIM Seif Shariff Hamad amepokea kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi huku akitoa neno kwamba “wala hakuna sababu ya msingi ya kutolewa kitambulisho kipya.” Anaripoti...
By Jabir IdrissaFebruary 11, 2020RAIS John Magufuli ameweka msisitizo kuwa, serikali haitatoa msaada wa aina yoyote kwa watu waliojenga mabondeni, pindi watakapopata maafa ya mafuriko. Anaripoti Hamis Mguta,...
By Hamisi MgutaFebruary 11, 2020DANIEL Maleki (30), aliyechana kitabu kitukufu cha Qur’an, wilayani Kilosa katika Mkoa wa Morogoro, amefukuzwa kazi rasmi leo tarehe 11 Februari 2020. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeFebruary 11, 2020WATANZANIA waishio nchini China, wako njia panda baada ya kukwama kurejea nchini kufuatia mlipuko hatari wa Virusi vya Corona, vilivyopoteza maisha ya watu...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2020MAZUNGUMZO ya kukiri makosa kati ya mwandishi wa habari za uchunguzi, Erick Kabendera na Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP) yapo kwenye hatua ya...
By Kelvin MwaipunguFebruary 11, 2020WAKAZI wa Jiji la Dodoma wamehofia kupata magonjwa ya mlipuko wa matumbo au kipindupindu kutokana na kutozingatiwa kwa kanuni za usafi hususani katika...
By Danson KaijageFebruary 11, 2020MFUMKO wa bei wa taifa kwa mwaka ulioishia Januari 2020, umepungua hadi asilimia 3.7 kutoka asilimia 3.8 kwa mwaka ulioishia Desemba 2019. Anaripoti...
By Danson KaijageFebruary 10, 2020FREDERICK Sumaye, Waziri Mkuu Mstaafu ameeleza sababu za kurejea CCM leo tarehe 10 Februari 2020, kwamba Chadema walikuwa wamkidharua. Anaripoti Faki Sosi, Dar...
By Faki SosiFebruary 10, 2020JORAM Bashange, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi na Kampeni ya Chama cha ACT-Wazalendo, amechukua fomu ya kugombea nafasi ya katibu mkuu kwenye chama...
By Kelvin MwaipunguFebruary 10, 2020HATUA ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) – Taifa, kusoma hadharani barua aliyomuandikia Rais John Magufuli, imekebehiwa. Anaripoti Hamis...
By Hamisi MgutaFebruary 10, 2020ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ameugua ghafla akiwa nchini Marekani. Anaripoti Martin Kamotei, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa ya ugonjwa...
By Kelvin MwaipunguFebruary 10, 2020FREDERICK Sumaye, Waziri Mkuu wa zamani amerejea katika Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo tarehe 10 Februari 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...
By Regina MkondeFebruary 10, 2020PROF. Ibrahim Haruna Lipumba, mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), ametoa masharti mazito ya “ushirikiano” kwa viongozi wenzake wa vyama vya ACT- Wazalendo...
By Regina MkondeFebruary 10, 2020MAELFU ya raia na viongozi wa Serikali ya Kenya, leo tarehe 8 Februari 2020, wamejitokeza katika viwanja vya bunge jijini Nairobi, kutoa heshima...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2020SOPHIA Mwakagenda, Mbunge viti Maalumu, amewapa mbinu za ushindi wajumbe wa Baraza la Wanawake la Chama cha Chadema (Bawacha), kwenye Uchaguzi Mkuu wa...
By Danson KaijageFebruary 8, 2020ZOEZI la uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika mkoa wa Dar es Salaam na Pwani, kuanza tarehe 14 hadi 20 Februari,...
By Regina MkondeFebruary 8, 2020IKIWA imesalia miezi michache kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu wa rais, wabunge wa madiwani wa Oktoba mwaka huu, nyota ya aliyepata kuwa Katibu...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2020ANTONY Mavunde, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Ajira na Vijana amesema serikali itaifanyia kazi hoja ya Grace Tendega, Mbunge Viti Maalumu (Chadema),...
By Danson KaijageFebruary 7, 2020CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeitaka serikali kuufuta Waraka Mpya wa Elimu Na. 4 wa mwaka 2020, kwa maelezo kwamba, utekelezwaji wake utapelekea walimu...
By Kelvin MwaipunguFebruary 7, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimelalamikia hatua ya viongozi wake tisa kuwekewa vikwazo vya kusafiri nje ya nchi, na Mahakama ya Hakimu...
By Regina MkondeFebruary 7, 2020ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini, anahofia usalama wa maisha yake, kufuatia vitisho anavyopokea kutoka kwa baadhi ya wanasiasa, kutokana na hatua yake...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2020BERNARD Membe, waziri wa zamani wa Mambo ya Nje amesema, mahojiano yake na Kamati ya Kamati ya Maadili na Usalama ya Chama Cha...
By Danson KaijageFebruary 6, 2020MFUMO wa sheria za jinai ulioko sasa nchini, hauna tofauti na sheria za kikoloni, zilizotumika kutia hofu wananchi ili watii amri za kikoloni...
By Mwandishi WetuFebruary 6, 2020UKOSEFU wa maadili, tabia ya kuchelewesha kesi kwa makusudi na kuendekeza rushwa katika Mahakama za Tanzania, kunamkwaza Rais John Magufuli. Anaripoti Faki Sosi,...
By Faki SosiFebruary 6, 2020SERIKALI ya Tanzania kupitia Ofisi ya Mwansheria Mkuu (AG), inapitia upya mikataba ya misaada na mikopo takribani 70, ili kuangalia masharti yake kama...
By Regina MkondeFebruary 6, 2020FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, amemweleza Kasim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania kuwa majibu mepesi yanayotolewa kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi, yataleta...
By Danson KaijageFebruary 6, 2020BERNARD Membe, waziri wa zamani wa Mambo ya Nje, leo tarehe 6 Februari 2020, anakwenda kuhojiwa na Kamati ya Kamati ya Maadili na...
By Danson KaijageFebruary 6, 2020