Daily Archives: February 13, 2020

Rushwa CCM; Makada waanza kumimina fedha mtaani 

MAKADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaosaka ubunge na udiwani kupitia chama hicho, wameanza kumimina fedha mtaani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa za makada hao kuanza kugonga ...

Read More »

Joto la Tume Huru lapanda

IKIWA imebaki miezi takribani minane kuingia kwenye uchaguzi mkuu, baadaye mwaka huu, hitajio la Tume Huru ya Uchaguzi linazidi kushika kasi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Wakati Freeman ...

Read More »

Idd Simba afariki dunia

MFANYABIASHARA, Mbunge wa zamani wa Ilala na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Idd Simba (85) amefariki dunia. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa kutoka ...

Read More »

Mbatia ampinga Rais Magufuli

MSIMAMO wa Rais John Magufuli, kwamba hatosaidia watakaokumbwa na mafuriko, umepingwa na James Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Mbatia ametoa kauli hiyo leo tarehe ...

Read More »

Kesi za ‘kimapinduzi’ kuanza kuunguruma

KESI za kupinga watuhumiwa kukamatwa kabla ya upelelezi kukamilika, pamoja na kunyimwa haki ya dhamana inaanza kutajwa leo tarehe 13 Februari 2020. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Kesi ...

Read More »
error: Content is protected !!