Daily Archives: February 11, 2020

Maalim atilia neno kitambulisho cha Mzanzibari

MAALIM Seif Shariff Hamad amepokea kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi huku akitoa neno kwamba “wala hakuna sababu ya msingi ya kutolewa kitambulisho kipya.” Anaripoti Jabir Idrissa, Zanzibar … (endelea). Maalim ambaye ...

Read More »

Rais Magufuli aonya waliojenga mabondeni

RAIS John Magufuli ameweka msisitizo kuwa, serikali haitatoa msaada wa aina yoyote kwa watu waliojenga mabondeni, pindi watakapopata maafa ya mafuriko. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumza na ...

Read More »

Aliyechana Qur’an; JPM ‘akubali’ hoja ya Sheikh Ponda, Kishki

DANIEL Maleki (30), aliyechana kitabu kitukufu cha Qur’an, wilayani Kilosa katika Mkoa wa Morogoro, amefukuzwa kazi rasmi leo tarehe 11 Februari 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Tamko ...

Read More »

Virusi vya Corona vyauwa watu 1,000, Watanzania waishio China njiapanda

WATANZANIA waishio nchini China,  wako njia panda baada ya kukwama kurejea nchini kufuatia mlipuko hatari wa Virusi vya Corona, vilivyopoteza maisha ya watu zaidi ya 1,000. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar ...

Read More »

Kabendera aanza kuona nuru

MAZUNGUMZO ya kukiri makosa kati ya mwandishi wa habari za uchunguzi, Erick Kabendera na Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP) yapo kwenye hatua ya mwisho. Anaripoti Martin Kamote, Dar es Salaam ...

Read More »

Hofu ya magonjwa ya mlipuko yatanda soko la 77

WAKAZI wa Jiji la Dodoma wamehofia kupata magonjwa ya mlipuko wa matumbo au kipindupindu kutokana na kutozingatiwa kwa kanuni za usafi hususani katika soko la Sabasaba. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma ...

Read More »
error: Content is protected !!