Friday , 19 April 2024

Day: February 10, 2020

Habari Mchanganyiko

Mfumko wa bei washuka

MFUMKO  wa bei wa taifa kwa mwaka ulioishia Januari 2020, umepungua hadi asilimia 3.7 kutoka asilimia 3.8 kwa mwaka ulioishia Desemba 2019. Anaripoti...

Habari za Siasa

Sumaye ataja sababu zilizomng’oa Chadema

FREDERICK Sumaye, Waziri Mkuu Mstaafu ameeleza sababu za kurejea CCM leo tarehe 10 Februari 2020, kwamba Chadema walikuwa wamkidharua. Anaripoti Faki Sosi, Dar...

Habari za Siasa

Bashange ataka ukatibu mkuu ACT-Wazalendo

JORAM Bashange, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi na Kampeni ya Chama cha ACT-Wazalendo, amechukua fomu ya kugombea nafasi ya katibu mkuu kwenye chama...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba ampopoa Mbowe

HATUA ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) – Taifa, kusoma hadharani barua aliyomuandikia Rais John Magufuli, imekebehiwa. Anaripoti Hamis...

Habari za Siasa

Zitto augua ghafla Marekani

ZITTO Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, ameugua ghafla akiwa nchini Marekani. Anaripoti Martin Kamotei, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa ya ugonjwa...

Habari za Siasa

Sumaye arudi CCM

FREDERICK Sumaye, Waziri Mkuu wa zamani amerejea katika Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo tarehe 10 Februari 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba atoa masharti kuungana na Mbowe, Zitto 

PROF. Ibrahim Haruna Lipumba, mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), ametoa masharti mazito ya “ushirikiano” kwa viongozi wenzake wa vyama vya ACT- Wazalendo...

error: Content is protected !!