Daily Archives: February 7, 2020

Nyota ya Bernard Membe yazidi kung’aa

IKIWA imesalia miezi michache kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu wa rais, wabunge wa madiwani wa Oktoba mwaka huu, nyota ya aliyepata kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya taifa (NEC), kupitia ...

Read More »

Sensa kubaini wasio na ajira yaja

ANTONY Mavunde, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Ajira na Vijana amesema serikali itaifanyia kazi hoja ya Grace Tendega, Mbunge Viti Maalumu (Chadema), ya kufanya sensa ili kubaini idadi ya ...

Read More »

CUF chaibuka na waraka mpya wa elimu

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeitaka serikali kuufuta Waraka Mpya wa Elimu Na. 4 wa mwaka 2020, kwa maelezo kwamba, utekelezwaji wake utapelekea walimu kushindwa kuwaanda vyema wanafunzi, kwa ajili ya ...

Read More »

Viongozi Chadema wazuiwa kwenda nje ya nchi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimelalamikia hatua ya viongozi wake tisa kuwekewa vikwazo vya kusafiri nje ya nchi, na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kufuatia Kesi ya Jinai Na. ...

Read More »

Zitto ahofia yaliyomkuta Lissu

ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini, anahofia usalama wa maisha yake, kufuatia vitisho anavyopokea kutoka kwa baadhi ya wanasiasa, kutokana na hatua yake ya kuishawishi Benki ya Dunia (WB), kutoipa ...

Read More »
error: Content is protected !!