Daily Archives: February 6, 2020

Kauli ya Membe baada ya kuhojiwa

BERNARD Membe, waziri wa zamani wa Mambo ya Nje amesema, mahojiano yake na Kamati ya Kamati ya Maadili na Usalama ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), yamempa furaha ya ajabu. Anaripoti ...

Read More »

TLS yagonga nyundo mbele ya JPM

MFUMO wa sheria za jinai ulioko sasa nchini, hauna tofauti na sheria za kikoloni, zilizotumika kutia hofu wananchi ili watii amri za kikoloni bila kuhoji. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es ...

Read More »

Waombewe wapate laana – Rais Magufuli

UKOSEFU wa maadili, tabia ya kuchelewesha kesi kwa makusudi na kuendekeza rushwa katika Mahakama za Tanzania, kunamkwaza Rais John Magufuli. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea).  Akizungumza kwenye ...

Read More »

Tanzania yapekuwa mikataba ya misaada

 SERIKALI ya Tanzania kupitia Ofisi ya Mwansheria Mkuu (AG), inapitia upya mikataba ya misaada na mikopo takribani 70, ili kuangalia masharti yake kama yana tija kwa taifa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar ...

Read More »

Mbowe: Majibu yenu yataleta majuto

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, amemweleza Kasim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania kuwa majibu mepesi yanayotolewa kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi, yataleta majuto. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). ...

Read More »

Membe: Ni kikao kigumu

BERNARD Membe, waziri wa zamani wa Mambo ya Nje, leo tarehe 6 Februari 2020, anakwenda kuhojiwa na Kamati ya Kamati ya Maadili na Usalama ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti ...

Read More »
error: Content is protected !!