Daily Archives: February 5, 2020

Maambukizi malaria yapungua

MAAMBUKIZI mapya ya ugonjwa wa Malaria yamepungua nchini kwa asilimia 27 kutokana na kuboreka kwa takwimu ya ugonjwa huo ukilinganisha na kesi 164 mwaka 2015 hadi kesi 119 mwaka 2018. Anaripoti ...

Read More »

Mtego anaoundiwa Maalim Seif Z’bar wavuja

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), visiwani Zanzibar kinahaha namna ya kumzima Maalim Seif Sharif Hamad, Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Jabir Idrissa, Zanzibar … (endelea). Taarifa kutoka kwa mmoja ...

Read More »

Lissu amchongea Ndugai ughaibuni

BUNGE la Jamhuri ya Muungano, limeanza kuchunguzwa rasmi na Umoja wa Mabunge ulimwenguni (IPU), kufuatia kufunguliwa mashitaka rasmi na aliyekuwa mbunge wa upinzani nchini, Tundu Lissu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar ...

Read More »

TRC yasitisha safari za treni 

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC), limetangaza kusitisha huduma za usafiri wa treni za abiria na mizigo kwa muda, hasa kati ya Dar es Salaam na Dodoma kutokana na mafuriko kusomba ...

Read More »

Lissu kurejea nchini kwa staili hii

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), atarejea nchini lakini hatokuwa peke yake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kutokana na fikra za kushambuliwa ...

Read More »
error: Content is protected !!