Saturday , 20 April 2024

Day: February 4, 2020

Habari za SiasaTangulizi

Membe yametimia, Makamba amkana

BERNARD Membe, Waziri wa Mambo ya Nje Mstaafu, ameandikiwa barua ya wito, kwenda kuhojiwa kwenye Kikao cha Kamati Ndogo ya Udhibiti na Nidhamu...

Habari za Siasa

Duni: Ningali na nguvu, salam zao CCM

BABU Juma Duni Haji, mmoja wa wanasiasa wakongwe nchini, amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti akitarajia kuwa mmoja wa viongozi wa...

Habari za Siasa

Kuelekea Oktoba 2020; wanasiasa waanza kutuhumiana

TUHUMA kwamba, baadhi ya vyama vya siasa vimenza kuandaa vijana kwa ajili ya vurugu, kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020, zimetolewa bungeni. Anaripoti...

Habari za Siasa

Zitto aongeza nguvu Chadema

HATUA ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa kumwandiskia barua Rais John Magufuli kuhusu uchaguzi huru na haki, imepokewa kwa mikono miwili na...

Habari za Siasa

Mbunge ataka wabakaji wahasiwe, AG amtuliza

ZAINABU Katimba, Mbunge wa Viti Maalimu (CCM), ameishauri serikali kuweka adhabu kali kwa wabakaji ikiwemo kuhasiwa. Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Akizungumza bungeni leo tarehe 4...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Moi afariki dunia

RAIS wa Pili wa Kenya, Daniel arap Moi (95), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 4 Februari 2020. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea)....

error: Content is protected !!