Daily Archives: February 3, 2020

Mbowe ‘ajisalimisha’ kwa Rais Magufuli

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemwandikia barua Rais John Pombe Magufuli, kikimtaka kuunda tume ya mardhiano, ili kuliondoa taifa katika kile ilichoita, “mkwamo wa kisiasa.” Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es ...

Read More »

Mbunge ang’ang’ania bangi, Ndugai aungana naye

KWA mara nyingine, Jumanne Kishimba, Mbunge wa Kahama Mjini (CCM), amesisitiza umuhimu wa kilimo cha bangi na kushauri serikali iruhusu zao hilo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Akizungumza bungeni leo ...

Read More »

JPM ampa Dk. Abbas vyeo viwili

DAKTARI Hassan Abbasi, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ataendelea kutumikia cheo chake cha awali cha Msemaji Mkuu wa Serikali, hadi atakapopatikana mwingine wa kushika nafasi hiyo. ...

Read More »

Vifo vya ‘Mwamposa’: Kanisa labebeshwa gharama

SERIKALI imesema, Kanisa la Inuka Uangaze la Mchungaji Boniface Mwamposa, lina jukumu la kugharamia msiba wa watu 20 waliofariki wakati wa kukanyaga mafuta ya upako. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro … ...

Read More »
error: Content is protected !!