Monthly Archives: February 2020

Watanzania watahadharishwa na Corona

SERIKALI ya Tanzania imetahadharisha wananchi wake, juu ya hatari ya ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na mlipuko wa Virusi  vya Corona, unaotikisa dunia hivi sasa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam ...

Read More »

Mbowe akamatwa jimboni kwake

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Chadema Kanda ya Kaskazini ...

Read More »

Lissu aichomea tena Serikali ya JPM

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ameandika wakala wake kwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati, Lazaro Nyalandu juu ya kifo cha Katibu wa Chama ...

Read More »

Kufukuzwa Membe: Fikra za Zitto, Lema

HATUA ya Bernard Membe kufukuzwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeibua mjadala mitandaoni. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, amehusisha kufukuzwa ...

Read More »

Kauli ya Membe baada ya kufukuzwa CCM

BERNARD Membe, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, amezungumzia hatua ya kufukuzwa uanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), iliyochukuliwa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya chama hicho, kufuatia tuhuma ...

Read More »

Membe afukuzwa CCM, Kinana chini ya uangalizi

BERNARD Membe, Waziri wa Mambo ya Nje mstaafu amefukuzwa uanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), huku Abdulrahman Kinana, aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, akiwekwa chini ya uangalizi kwa muda ...

Read More »

Meneja reli ya SGR abambwa akitorosha fedha

YETKIN Gen Mehmen, Meneja Uwezeshaji wa Kampuni ya Yapi Merkezi, inayojenga mradi wa reli ya kisasa (SGR) nchini Tanzania, amehukumiwa kwenda jela miaka mitatu ama kulipa faini ya Sh. 100 milioni ...

Read More »

Rugemalira kuruka kihunzi hiki?

JAMES Rugemalira, mfanyabiashara na Mkurugenzi wa Kampuni ya VIP na mmiliki wa zamani wa Kampuni ya IPTL, anapambana kujinasua katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili. Anaripoti Faki Sosi, Dar es ...

Read More »

Vitabu vipya Shule za Msingi, Sekondari vyazinduliwa

CHANGAMOTO ya uhaba wa vitabu vya kiada kwa shule zinazotumia lugha ya Kingereza, pamoja na vitabu vya wanafunzi wenye mahitaji maalumu, imepatiwa mwarobaini wake. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Leo ...

Read More »

BAVICHA wamgeuzia kibao Sembeye

BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), limemtaka Edward Sembeye, aliyekuwa Mratibu wa Uhamasishaji wa baraza hilo kueleza ukweli kilichomkimbiza Chadema. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … ...

Read More »

Hofu ya Corona: Saud Arabia yazuia Ibada ya Umra

IBADA ya Umra inayotekelezwa na Waislamu nchini Saud Arabia, imezuiwa kwa muda kutokana na hofu ya kusambaa kwa virusi vya Corona. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Ibada ya Umra hufanyika wakati wowote ...

Read More »

Askofu Anglikana: Kwaresma iwe ya toba

ASKOFU wa Kanisa la Anglikana, Jimbo la Central Tanganyinya Dk. Dickson Chilongani, amewataka waumini wa Kikristo kutumia vyema kipindi cha Kwaresma kwa kuwasaidia wahitaji. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Amesema, ...

Read More »

Wachina wakutwa na hatia, watoa faini

MAHAKAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imewahukumu raia wawili wa China, Zheng Rongman (50) na Ou Ya (47), kulipa faini ya Sh 1milioni kila mmoja, baada ya kupatikana na ...

Read More »

Polepole aondoka Z’bar kichwa chini

ZANZIBAR ni ngumu. Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya viongozi wa juu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuondoka patupu visiwani humo. Anaripoti Jabir Idrissa, Zanzibar … (endelea). Mbwembwe na maneno ya ...

Read More »

Katibu Chadema auawa

ALEX Jonas, Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Manyoni Mashariki mkoani Singida, ameuawa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Singida … (endelea). Taarifa zaidi zinaeleza, Jonas ameuawa usiku wa kuamkia jana ...

Read More »

Pigo lingine Chadema

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinaendelea kukimbiwa na baadhi ya makada wake muhimu, tena waliokuwa na mamlaka. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam … (endelea). Edward Sembeye, aliyekuwa Katibu ...

Read More »

Zitto ‘kupigwa chini’ ACT-Wazalendo?

ISMAIL Jussa, Mwenyekiti wa Kamati ya Mikakati, Usimamizi na Ufuatiliaji ya Chama cha ACT-Wazalendo, anataka nafasi aliyonayo Zitto Kabwe. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Kwa sasa Zitto ni ...

Read More »

Polisi wajichanganya, Bil 1.2 zawatokea puani

ASKARI Polisi tisa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa kosa la kukiuka maadili ya kazi wakati wa ufuatiliaji wa sakata la wizi wa Sh. ...

Read More »

Hosni Mubarak afariki dunia

RAIS wa zamani wa Mirsi, Hosni Mubarak (91) amefariki dunia leo tarehe 25 Februari 2020, wakati akipatiwa matibabu jijini Cairo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea). Kifo cha Mubarak kimetangazwa leo na Televisheni ...

Read More »

Sasa naomboleza kifo cha mama – kabendera

ERICK Kabendera, mwandishi wa habari za uchunguzi ndani na nje ya nchi, amesema ‘sasa naomboleza kifo cha mama yangu.” Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea). Kabendera ametoa kauli hiyo muda ...

Read More »

Kampuni za upimaji zapigwa ‘stop,’ Goba yawa mfano

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameagiza kampuni za upangaji na upimaji kutochukua kazi mpya kabla ya kumaliza kazi za awali. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam ...

Read More »

A-Z kilichotokea kesi ya kabendera

SAFARI chungu ya Erick Kabendera, mwandishi wa habari za uchunguzi kitaifa na kimataifa, katika kesi ya uhujumu uchumi imetamatika leo tarehe 24 Februari 2020. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam…(endelea). ...

Read More »

Mbivu, mbichi za Membe, Kinana, Makamba 

TAARIFA ya matokeo ya mahojiano yaliyowahusu Bernard Membe, Abdulrahman Kinana na Mzee Yusuph Makamba, inayosubiriwa kwa hamu kubwa nadani na nje ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), inakaribia kutoka. Anaripoti Danson Kaijage, ...

Read More »

Dk. Mashinji aonja machungu Chadema

SIKU sita baada ya Dk. Vicent Mashinji, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), leo ameonja machungu. Anaripoti Faki Sosi, Dar ...

Read More »

Dk. Bashiru amtia kiburi Mwambe

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally amewaaminisha wakazi wa Jimbo la Ndanda, mkoani Mtwara kwamba, hilo litarejea CCM. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mtwara … (endelea). Amesema, kwa ...

Read More »

Mbowe awaangukia viongozi wa dini

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amewaomba viongozi wa dini kuliombea taifa, ili liwe salama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu. Anaripoti Mwandishi Wetu, ...

Read More »

Chadema yateua makatibu wa kanda

KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imeteua makatibu wa kanda sita kati ya kanda 10 za chama hicho. Anaripoti Kelvin Mwaipungu, Dar es Salaam … (endelea). Kwa ...

Read More »

Rais Mkapa: Mnaposema mabaya yangu, mseme na mazuri

DAKTARI Benjamin Mkapa, Rais wa Awamu ya Tatu, amewataka watu wanaoeleza mabaya yake, waseme pia mazuri aliyofanya katika uongozi wake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mwanza … (endelea). Rais Mkapa ametoa wito ...

Read More »

TAKUKURU: Lugola na wenzake wana kosa la uhujumu uchumi

KUMEBAINIKA makosa mengi ya kijinai katika mkataba wa ununuzi wa vifaa vya zimamoto ambao ulisababisha Rais Dk. John Magufuli kuwafukuza kazi watendaji akiwemo Kangi Lugola aliyekuwa Waziri wa Mambo ya ...

Read More »

Lissu ashangaa wadhamini wake

SIKU moja baada ya wadhamini wa Tundu Lissu katika kesi ya tuhuma za uchochezi kupitia gazeti la MAWIO, kuiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoa hati ya kumkamata, mwwenyewe amesema, ...

Read More »

Mtatiro aagiza AMCOS Ruvuma vichunguzwe

JULIUS Mtatiro, Mkuu wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, ameagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kuchunguza Vyama vya Ushirika vya Mazao (AMCOS), juu ya matumizi mabaya ya ...

Read More »

Kafulila ‘ainyea’ Chadema

UZEMBE na kubebana ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ndio unakibomoa chama hicho kwa kiwango kikubwa. Anaripori Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). David Kafulila, Katibu Tawala wa Mkoa ...

Read More »

Lissu kukamatwa?

OMBI la kutaka mahakama itoe hati ya kukamatwa Tundu Lissu, mshitakiwa wa nne katika kesi ya tuhuma za uchochezi inayowakabili pia wahariri wawili wa gazeti la MAWIO, litasikilizwa tarehe 10 Machi ...

Read More »

Ado ajitosa ukatibu mkuu ACT-Wazalendo

KATIBU wa Itikadi, Uenezi na Mawasiliano kwa Umma wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu amechukua fomu ya kugombea ukatibu mkuu wa chama hicho. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam … ...

Read More »

Aprili Mosi siku ngumu kwa Halima Mdee

APRILI Mosi mwaka huu, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam itaamua kama Halima Mdee, Mbunge wa Kawe ana kesi ya kujibu ama la! Anaripoti Faki Sosi, Dar es ...

Read More »

NEC yaongeza siku za uandikishaji

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeongeza siku tatu katika Zoezi la Uboreshaji Daftari la Wapiga Kura katika mkoa wa Dar es Salaam, lililotakiwa kukoma leo tarehe 20 Februari 2020. ...

Read More »

Wadhamini wataka Lissu akamatwe

WADHAMINI wa Tundu Lissu, leo tarehe 20 Februari 2020, wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jiijini Dar es Salaam kutoa hati ya kumkamata mdaminiwa wao (Lissu). Anaripoti Faki Sosi, Dar es ...

Read More »

Madaktari wapya; JPM atoa masharti

RAIS John Magufuli amemuagiza Kapteni Mstaafu , George Mkuchika,  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora, kuajiri madaktari wapya 1,000. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam ...

Read More »

Waziri ‘aikoromea’ Kampuni ya KEC

WAZIRI wa Nishati, Dk. Medard Kalemani amemtaka mkandarasi wa Kampuni ya KEC International Limited,  anayetekeleza mradi mkubwa wa upanuzi wa kituo cha kupoza umeme kilichopo Zuzu jijini Dodoma kukamilisha kazi ...

Read More »

Madaktari wamwangukia Rais Magufuli

CHAMA cha Madaktari Tanzania (MAT), kimemuomba Rais John Magufuli kuongeza vibali vya ajira, ili kupunguza wimbi la madaktari wasiokuwa na ajira mitaani, pamoja na kuboresha utoaji huduma za afya nchini. Anaripoti ...

Read More »

Hivi ndivyo Dk. Bashiru alivyoijenga Chadema

UIMARA wa Chama cha Demokrasia (Chadema), ulioonekana kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2015, umechangiwa na Dk. Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Regina Mkonde, ...

Read More »

Meya Mbeya: Ushiriki wanasiasa, wananchi unahitajika

DAVID Mwashilindi, Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya (Chadema) amesema, katika kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi, kunahitajika uwajibikaji wa pamoja kati ya wanasiasa na watumishi wa umma. Anaripoti Danson Kaijage, Da ...

Read More »

Madiwani CCM wamfurusha mwenzao kikaoni

MADIWANI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, wamemtimua mwenzao kikaoni kwa kutovaa sare za chama hicho. Anaripoti Mwandishi Wetu, Shinyanga … (endelea). Seleman Segreti, Diwani wa ...

Read More »

Mbunge Komu: Yakinishinda Chadema, nitaondoka

MBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika jimbo la Moshi Vijijini, Anthony Komu “amesema, ikiwa Chadema itamshinda, atajiunga na chama kingine cha upinzani.” Anaripoti Hamis Mguta, Dar es ...

Read More »

Mahakama yachoshwa na danadana kesi ya Tito

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 19 Februari 2020, imeagiza upande wa Jamhuri kueleza bayana hatua iliyofikiwa katika upelelezi wa kesi inayomkabili Tito Magoti na mwenzake. Anaripoti ...

Read More »

Kunani Chadema? Mwingine atimka

WAKATI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kikiugulia maumivu ya kumpoteza Dk. Vicent Mashinji, aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, leo Boniface Mwambukusu ametimkia NCCR-Mageuzi. Anaripoti Kelvin Mwiapungu, Dar es Salaam ...

Read More »

Chadema: Safari ya Dk. Mashinji tuliijua tangu akiwa katibu wetu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimejibu mapigo baada ya aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Vincent Mashinji kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea). ...

Read More »

Zitto amtaka JPM urais 2020

ZITTO Kabwe ameeleza dhamira yake ya kutaka kupambana na Dk. John Magufuli, katika kugombea urais kwenye uchaguzi wa Oktoba mwaka huu. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Amesema, anatamani ...

Read More »

‘Kasi ya JPM kukopa imezidi ya JK’

KIASI cha fedha kilichokopwa nje ya nchini na Rais John Magufuli kwa miaka minne, kimezidi kile cha Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete kwa miaka 10 aliyokaa madarakani. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es ...

Read More »

‘Katibu Mkuu wa Chadema’ ajiunga CCM

ALIYEKUWA swahiba mkuu wa Freeman Mbowe, mwenyekiti wa taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Vicenti Mashinji, ameondoka ndani ya chama hicho cha upinzani nchini Tanzania na kujiunga ...

Read More »
error: Content is protected !!
Visit Us On FacebookVisit Us On TwitterVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram