Friday , 19 April 2024

Month: January 2020

Habari za Siasa

‘Meya’ Isaya apata msoto Kisutu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha kutoa uamuzi wa maombi ya Isaya Mwita, Meya wa Jiji la Dar es Salaam, kuzuia madiwani jijini...

ElimuTangulizi

Matokeo kidato cha Pili, Nne haya hapa

BARAZA la Mitihani nchini (Necta), limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la nne, Kidato cha Pili na Nne leo tarehe 9 Januari 2020. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yatangaza kumuondoa Meya wa Dar

MKAKATI wa kumuondoa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita (Chadema), umeshindwa kufanikiwa baada ya kukosekana 2/3 ya madiwani wanaotakiwa, hata...

Michezo

Kocha wa Hazard atua Yanga, kuanza na Kombe la Mapinduzi

UONGOZI wa Yanga leo umemtangaza, Luc Eymael, Raia wa Ubelgiji kuwa kocha mkuu wa timu hiyo na moja kwa moja atajiunga na kambi...

Habari Mchanganyiko

Mtuhumiwa azidunda kortini kupinga masharti ya dhamana

DANIEL Njonjo, anayetuhumiwa kwa shtaka la kufanya vurugu, amepigana na polisi katika korti ya Mahakama ya Milimani jijini Nairobi, Kenya, akipinga sharti la...

Habari za Siasa

Mbowe awindwa Hai

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anawindwa jimboni kwake Hai, Kilimanjaro. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Mwita Waitara, Naibu Waziri wa...

Kimataifa

Marekani yaghairi kuichapa Iran, kuiwekea vikwazo kiuchumi

NCHI ya Marekani imetangaza kuiwekea vikwazo vya kiuchumi vya kihistoria Iran, hadi pale taifa hilo litakapoacha kufadhili vikundi vya ugaidi pamoja na matumizi...

Habari Mchanganyiko

Mahakama yaweka kiporo kesi ya Meya Dar

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga kutolea maamuzi maombi ya Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita, kuzuia baadhi ya madiwani...

Habari Mchanganyiko

Wakandarasi nchini kujengewa uwezo

SERIKLI imesema, imeweka mikakati ya kuhakikisha inawawezesha na kuwajengea uwezo wakandarasi wazalendo, ili waweze kutekeleza miradi mikubwa badala ya kusubiri wakandarasi wa kigeni. Anaripoti...

Habari za Siasa

Mdee aweka msimamo Kawe 2020

HALIMA Mdee, Mbunge wa Kawe, jijini Dar es Salaam amesema, hakuna wa kumbabaisha kwenye Jimbo la Kawe, kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020. Anaripoti Hamis...

Habari za SiasaTangulizi

Mke wa Kabendera akimbia nyumba

LOY Kabendera, mke wa Erick Kabendera, mwandishi wa habari za uchunguzi, anayeshikiliwa katika gereza la Segerea, jijini Dar es Salaam, ametoweka kwa hofu...

Kimataifa

Iran yalianzisha, yashambulia kambi za Trump

VIASHIRIA vya Vita ya Tatu vya Dunia tayari vimedhihiri, Iran imeanza kutekeleza kile ilichoahidi kwamba, itashambulia Marekani kulipiza kisasi. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa...

Kimataifa

Mazishi ya Soleiman; 30 wapoteza maisha

ZAIDI ya watu 30, wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa katika msongamano wa watu, waliojitokeza kumzika Qasem Soleiman, aliyekuwa kiongozi mwandamizi wa Jeshi...

Michezo

Mchezaji Bora Afrika kujulikana leo

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) leo linatarajia kutoa tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika 2019, katika hafla inayotarajia kufanyika leo mjini...

Habari za SiasaTangulizi

Meya Isaya akalia kuti kavu

MEYA wa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita (Chadema), amekalia kuti, kufuatia hatua ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), “kumsukia zengwe,”...

Habari Mchanganyiko

Kesi ya Tito: Utetezi waja na rai mpya kwa serikali

UPANDE wa utetezi kwenye kesi namba 137/2019, inawamkabili wanaharakati Tito Magoti na Theodory Giyan, umetoa rai kwa serikali kutokamata watuhumiwa bila kufanya upelelezi....

Tangulizi

Fatma Karume ampa ‘dawa’ JPM

FATMA Karume, mwanasheria wa Mahakama Kuu na Rais Mstaafu wa Chama cha Wanasheria nchini (TLS) amesema, ili mahakama ziwe huru, watendaji wake hawapaswi...

Habari Mchanganyiko

Wanne kizimbani kwa kuiibia polisi Sh 798 milioni

WATU Wanne akiwamo Ofisa wa Jeshi la Polisi, wamepandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa makosa ya...

Habari Mchanganyiko

Kizimbani kwa kukeketa watoto wake

COSMAS Chacha (45), Mkazi wa Kivule, jijini Dar es Salaam amefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa makosa ya ukeketeji watoto wake...

Habari Mchanganyiko

Hofu ahadi ya Iran; Marekani yatoa tahadhari

KUFUATIA kiapo cha kisasi kilichowekwa na Irani dhidi ya Marekani, baada ya Meja Jenerelali Qasem Soleiman, kiongozi wake mwandamizi wa Jeshi kuuawa, Wamarekani...

Habari za Siasa

Meya Dar: Maji yamenifika shingoni

ISAYA Mwita, Meya wa Jiji la Dar es Salaam anaonekana kukata tamaaa, ni baada ya kuundiwa kamati ya kuchunguza kuhusu tuhuma zinazomkabili. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Bobi Wine amtesa Museveni, adakwa na polisi

ROBERT Kyagulanyi (Bobi Wine) ambaye nimpinzani wa Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amekamatwa na Jeshi la Polisi katika Kituo cha Kasangati, nchini...

Habari za SiasaTangulizi

Fatma Karume: Siku ya kufa ni moja, sitishwi

MWANAHARAKATI na mkosoaji mkubwa wa serikali ya awamu ya tano, Fatma Karume amesema, vitendo vya utekaji wanavyofanywa dhidi ya wanaharakati wengine, havimtishi wala...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wezi wapora vifaa vya NIDA, wawili wanaswa

WATU wasiojulikana wametoweka na vifaa vya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), wilayani Arumeru, Arusha. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Watu hao wameiba kompyuta mpakato (laptop) mbili,...

Kimataifa

Kifo cha Generali Soleiman: Marekani kumweka ‘mtu kati’ Rais Trump

BARAZA la Wawakilishi nchini Marekani,  limepanga kupiga kura ya Azimio la Kumdhibiti Rais wa nchi hiyo, Donald Trump, kutumia nguvu za Kijeshi dhidi...

Habari za Siasa

Kusimamishwa wanafunzi UDSM: BAVICHA kuiburuza Serikali mahakamani

BARAZA la Vijana la Chama cha Chadema (BAVICHA) limesema litafungua kesi mahakamani, ili kupinga hatua ya Uongozi wa Chuo cha Kikuu cha Dar...

Habari za SiasaTangulizi

CCM kumweka kikaangoni Mwita Waitara

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Mara kimesema kitamuita kwenye Kamati ya Maadili, Mwita Waitara, Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, ili kujibu tuhuma za...

Habari za Siasa

Mama Kabendera aagwa, kuzikwa Jumatatu Bukoba

MWILI wa Verdiana Mujwahuzi, Mama wa Mwanahabari Erick Kabendera, leo tarehe 3 Januari 2020, umeagwa katika Kanisa Katoliki la Mt. Francis Xavier, Chang’ombe...

Habari za Siasa

Kifo cha Mama Kabendera: Chadema wamtumia ujumbe Rais Magufuli

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemuomba Rais John Magufuli kumwacha huru Mwanaharakati Erick Kabendera, ili kuifuta machozi familia yake kufuatia kifo cha...

Tangulizi

Ujumbe mzito wa Kabendera baada ya kuzuiwa kumzika mama yake

ERICK Kabendera, Mwanahabari aliyeko Mahabusu katika Gereza la Segerea jijini Dar es salaam, ametoa ujumbe mzito kufuatia kuzuiwa kutoa heshima za mwisho, kwa...

Habari Mchanganyiko

Polisi Tabora kuwasaka watu wanaotaka kujinyonga

JESHI la Polisi mkoani Tabora limesema litafanya doria ya kuwabaini watu wanaotaka kujinyonga, kisha kuwafikisha mahakamani. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Barnabas Mwakalukwa,...

Tangulizi

Erick Kabendera, azuiwa kumzika mama yake mzazi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeyatupilia mbali, maombi ya mwandishi wa habari za uchunguzi nchini, Erick Kabendera, kushiriki msiba...

Habari Mchanganyiko

Mawakili binafsi wapigwa ‘stop’ NIDA

SERIKALI imepiga marufuku mawakili binafsi kutoa hati za viapo, kwa wananchi wanaosajili ili kupata Kitambulisho cha Taifa, kinachotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya...

Michezo

Simba vs Yanga maandalizi yakamilika, vingilio vyatajwa

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) sambamba na bodi ya ligi wamekamilisha maandalizi yote kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakao...

Tangulizi

Kabendera aimwagia chozi mahakama

HATIMA ya mwandishi wa habari nchini, Erick Kabendera, kushiriki msiba wa mama yake mzazi, Mwalimu Verdiana Mujwahuzi, itajulikana muda mfupi kutoka sasa. Anaripoti...

error: Content is protected !!