Friday , 29 March 2024

Month: January 2020

Habari za Siasa

Waziri wa JPM ahofia kuuawa

DAKTARI Hamisi Kigwangalla, Waziri wa Maliasili na Utalii ameonesha hofu ya kuuawa, akidai kuwepo kikundi cha watu wanaopanga kutekeleza njama hizo. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Amnesty: Kunyamazisha wakosoaji ni tusi

KUENDELEA kuwekwa kuzuizini kwa mwanasheria wa haki za binadamu, Tito Elia Magoti na mwenzake Theodory Giyani, ni jaribio la kutaka kunyamazisha wakosoaji. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Tahadhari: Mvua kubwa yaja

MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imeeleza utabiri wake kwamba, kutakuwa na mvua kubwa kwa siku tano mfululizo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari za Siasa

Mdee, Bulaya njia panda

HALIMA Halima Mdee, Mbunge wa Kawe na Esther Bullaya, Mbunge wa Bunda wamebaki ‘njia panda’. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Ni...

Habari Mchanganyiko

TCU yafuta vyuo vikuu, vishirikishi

TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imefuta hati za usajili za vyuo vitatu na chuo kikuu kishiriki kimoja, baada ya kubaini kukosa uwezo...

Habari za SiasaTangulizi

Wadhamini wamgeuka Tundu Lissu

YAMEWAFIKA shingoni. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya wadhamini wa Tundu Lisuu, Robert Katula na Ibrahim Ahmed ‘kuja juu,’ kutokana na kauli ya mdhaminiwa...

Habari Mchanganyiko

Wafanyabiashara soko la kuku Dodoma wapewa angalizo

WAFANYABIASHARA wa soko la kuuza na kuchinja kuku lililopo Mwembe Tayari, jijini Dodoma wametakiwa kufanya biashara hiyo kwa kuzingatia kanuni na sheria za usafi. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

RC aongoza mazishi Katibu BAKWATA

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Benilth Mahenge, ameongoza mamia ya waombelezaji katika mazishi ya Twaha Mwaya, aliyekuwa Katibu wa Baraza la Waislamu...

Habari MchanganyikoTangulizi

TCRA: Tumezima laini 975,041, wengine wanafuata

SERIKALI kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imefunga laini za simu 975,041, zisizosajiliwa kwa mfumo wa alama ya vidole. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Afya

‘Mkiona dalili magonjwa ya mlipuko, toeni taarifa’

WANANCHI wametakiwa kutoa taarifa pale wanapokutana na watu wenye dalili za magonjwa ya mlipuko, ikiwemo ugonjwa wa Ebola. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea)....

Makala & Uchambuzi

Mafuriko Bonde la Msimbazi: Kutoka hofu mpaka fursa

SASA ni wazi kwamba mafuriko yanayotokana na mvua kubwa zinazonyesha jijini Dar es Salaam tangu miaka ya 1990, yameikumbusha serikali ya Tanzania kuhusu...

Habari za Siasa

Bulaya, Mdee kutupwa sero

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imewataka mshtakiwa Halima Mdee na Ester Bulaya waeleze kwanini wasifutiwe dhamana zao. Anaripoti Faki Sosi,...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo waingilia kati uzimaji laini za simu

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema kitaipeleka serikali mahakamani, iwapo itaendelea na msimamo wake wa kuzima laini za simu zisizosajiliwa kwa mfumo wa alama za...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu: Nawahurumia wadhamini wangu

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema anawahurumia wadhamini wake katika kesi ya uchochezi inayomkabili. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari Mchanganyiko

Kauli ya matumaini usajili laini za simu

WANANCHI ambao hawajasajili laini zao za simu, lakini tayari wamefanya baadhi ya taratibu, busara itatumika. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kogoma … (endelea). Kauli hiyo imetolewa...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto alianzisha Kigoma, wenyeviti CCM ‘walia njaa’

WAJUMBE wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, wamegoma kuwatambua wenyeviti wa serikali za mitaa waliopita bila kupingwa. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Zitto ashtukia “wananitafuta wanifungulie kesi”

ZITTO Kabwe Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo ameeleza kuwa zipo njama zinazofanywa dhidi yake ili akamatwe na kushtakiwa kwa kesi ya utakashaji fedha...

Habari za SiasaTangulizi

Siwezi kuondoka Jiji kinyume na Kanuni – Meya Isaya

ISAYA Mwita Charles, ameendelea kusisitiza kuwa yeye bado ni meya halali wa Jiji la Dar es Salaam na kuingeza, “nitaendelea kuhudhuria na kuongoza...

Habari za Siasa

Dk. Bashiru amtumia ujumbe Zitto Kabwe

DAKTARI Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ametuma salamu kwa Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini, kwamba ajiandae kuliachia jimbo...

Habari za SiasaTangulizi

Wapinzani kujitoa uchaguzi serikali za mitaa, kwaitesa CCM

HATUA ya vyama nane vya upinzani kujitoa katika kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2019, ilishtua Chama cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Kubenea amng’ang’ania Mkurugenzi wa Jiji

MBUNGE wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea, amemtuhumu mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Spora Liana, kutumia madaraka yake vibaya na kwa maslahi...

Habari za Siasa

Polisi wamdhibiti Zitto Kigoma

JESHI la Polisi wilayani Kigoma limemzuia Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini, kufanya mkutano wake wa hadhara na wananchi, leo tarehe 17 Januari...

Habari za SiasaTangulizi

Vurugu zatawala mkutano wa Jiji la Dar es Salaam

MKUTANO wa Kamati ya Fedha na Uongozi wa halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, umemalizika baada ya kufanyika chini ya mtutu wa...

Habari za SiasaTangulizi

Vita ya CCM vs Membe, Makamba, Kinana bado nzito

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimeeleza kwamba, kinashughulikia agizo la Halmashauri Kuu yake ya Taifa, la kuwahoji makatibu wakuu wastaafu wa chama hicho, Abdulrahman...

Habari za Siasa

Chanzo kifo cha Mbunge CCM aliyefariki ghafla hotelini, chaanikwa

HOSPITALI ya Rufaa ya Sokoine mkoani Lindi, imesema chanzo cha kifo cha Rashid Akbar, aliyekuwa Mbunge wa Newala Vijijini, kilichotokea ghafla jana tarehe...

Habari Mchanganyiko

Mtumishi TPA kizimbani kwa Utakatishaji wa Bil. 5.8

ALIYEKUWA Mfanyakazi wa Mamlaka ya Bandari (TPA), Stephen Mtui amefikishwa katika Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu akikabiliwa na kesi mbili Ikiwemo utakatishaji fedha...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata Meya Dar: CCM waufyata

WAJUMBE wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wameshindwa kuendelea na mkakati wao...

Habari Mchanganyiko

Marufuku kuuza chakula, matunda karibu ya vyoo

MGANGA Mkuu wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Dk. Gatete Mahava ametoa onyo kwa wafanyabiashara wote wanaouza chakula au matunda karibu na vyoo...

Habari Mchanganyiko

Familia ya Kabendera hali mbaya, kampeni ya kuichangia yaanzishwa

KUFUATIA hali mbaya ya kiuchumi inayopitia Familia ya Mwanahabari Erick Kabendera, aliyeko mahabusu kwa zaidi ya miezi mitano katika Gereza la Segerea jijini...

Habari Mchanganyiko

Waganga wa jadi watapeliwa Mil 5

WAGANGA 40 wa tiba asili na tiba mbadala, wametapeliwa kiasi cha Sh. 5.2 Mil na watu waliojifanya kuwa viongozi wa Baraza la Tiba...

Habari Mchanganyiko

Dawa za kulevya, utakatishaji fedha zamkaba koo kortini

ABUU Kimboko, Mkazi wa Mbagala Rangitatu, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa mashtaka mawili, likiwemo la...

Habari za Siasa

Maalim Seif, Bimani mikononi mwa polisi Pemba

MAALIM Seif Sharif Hamad na Salim Biman, wapo njiani kuelekea Pemba kuitikia wito wa Jeshi la Polisi wilayani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea)....

Habari Mchanganyiko

Simulizi za vifo Singida – Abdul Nondo

ABDUL Nondo, Mwanaharakati wa Haki za Binadamu amefanya utafiti mfupi kuhusu huduma ya afya katika Kata ya Iyumbu, Wilaya ya Ikungi mkoani Singida....

Habari za SiasaTangulizi

Selasini ajiuzulu bungeni

JOSEPH Roman Selasini, Mbunge wa Rombo (Chadema), amejiuzulu nafasi ya unadhimu wa Kambi ya Upinzani bungeni. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma…(endelea). Selasini amechukua hatua...

Habari za Siasa

Kesi ya Meya Dar yafutwa, yamwacha na gharama

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imefuta kwa gharama, kesi namba tatu ya mwaka 2020 ya Isaya Mwita, Meya wa...

Habari za Siasa

Tume Huru: Wazee Chadema ‘tatizo si Magufuli, ni Kikwete’

BAZARA la Wazee la Chama cha Chadema (BAZECHA), limesema mkwamo Tume wa Huru ya Uchaguzi, umesababishwa na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete. Anaripoti Hamis...

Habari za Siasa

UPDP wamjia juu msajili

WANACHAMA wa Chama cha United Peoples Democratic Party (UPDP), wameitaka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, kutovibomoa vyama vya siasa vya...

Habari za Siasa

Tunakwenda kuitawala Dodoma – Chadema

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kati kimeeleza dhamira yake ya kuongoza Jiji la Dodoma. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Lazaro...

Habari za Siasa

Vituko ofisi ya Meya Dar

WAKATI Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita akipewa siku 14 kukabidhi ofisi hiyo, Ofisi ya Halmashauri ya Jiji sasa imeamua...

Habari za SiasaTangulizi

Uozo sakata la Meya Dar waanikwa

UAMUZI wa madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutaka kumsimamisha kazi Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita umeibua uozo ndani...

Habari za Siasa

JPM azungumzia uchaguzi 2020, aonya wanaopanga kufanya fujo

RAIS John Magufuli amewataka Watanzania kujiandaa vyema, katika kushiriki Uchaguzi Mkuu  wa mwaka huu.Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Rais Magufuli ametoa wito huo wakati akitoa...

Kimataifa

Habari za hivi punde: Iran yakiri kuangusha ndege ya Ukraine

HATIMAYE Serikali mjini Tehran, imekiri madai kuwa imeidungua ndege ya abiria Ukraine, runinga ya taifa ya Iran imeripoti. Kwa mujibu wa taarifa hiyo,...

Habari za Siasa

Zitto kusuka, kunyoa Febr 10 

UAMUZI wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kuhusu kesi ya uchochezi namba 327/2018 inayomkabili Zitto Kabwe, kwamba ana kesi...

Michezo

Simba, Yanga mambo mazito Kombe la Shirikisho

DROO ya hatua ya 32 na 16 bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho (FA CUP) imechezeshwa leo ambapo vigogo wa Ligi Kuu...

Habari za Siasa

Meya Dar aivimbia CCM, atinga ofisini

LICHA ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumvua madaraka Isaya Mwita, Meya wa Jiji la Dar es Salaam (Chadema), leo tarehe 10 Januari 2020...

Habari za Siasa

Sakata la Meya Dar: Mahakama yambwaga

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imesema, haiwezi kuzuia ‘meya’ wa jiji hilo, Isaya Mwita kuondolewa madarakani. Anaripoti Hamis Mguta,...

Habari za Siasa

Kamati za Bunge kuanza Jan 13

KAMATI za Kudumu za Bunge la Jamhuri, zinatarajiwa kuanza Jumatatu ya tarehe 13 – 24 Januari, 2020 jijini Dodoma, kabla ya Mkutano wa Kumi...

Kimataifa

Mvutano: Trump anataka vita, bunge linamgomea

AZIMIO la kumzuia Rais wa Marekani, Donald Trump kuanzisha vita na Iran, limezua mvutano baina ya Chama cha Democrats na Republicans. Inaripoti Mitandao...

Habari za Siasa

Mnapanga kumng’oa Meya Kigoma, thubutuni – Zitto

MKAKATI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutumia hila kumng’oa Meya wa Manispaa ya Kigoma, Ujiji, Hussein Ruhava umetua kwa Zitto Kabwe. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari Mchanganyiko

Askari aliyejitosa kwenye matanki ya mafuta apandishwa cheo

WILSON Mwageni, Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini aliyeonyesha ushujaa baada ya kuingia kwenye eneo lililokuwa na matanki ya mafuta yanayowaka...

error: Content is protected !!