Daily Archives: January 8, 2020

Marekani yaghairi kuichapa Iran, kuiwekea vikwazo kiuchumi

NCHI ya Marekani imetangaza kuiwekea vikwazo vya kiuchumi vya kihistoria Iran, hadi pale taifa hilo litakapoacha kufadhili vikundi vya ugaidi pamoja na matumizi ya silaha za nyuklia. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa ...

Read More »

Mahakama yaweka kiporo kesi ya Meya Dar

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga kutolea maamuzi maombi ya Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita, kuzuia baadhi ya madiwani wa halmashauri hiyo, kumuondoa katika kiti chake. ...

Read More »

Wakandarasi nchini kujengewa uwezo

SERIKLI imesema, imeweka mikakati ya kuhakikisha inawawezesha na kuwajengea uwezo wakandarasi wazalendo, ili waweze kutekeleza miradi mikubwa badala ya kusubiri wakandarasi wa kigeni. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Na kwamba, ...

Read More »

Mdee aweka msimamo Kawe 2020

HALIMA Mdee, Mbunge wa Kawe, jijini Dar es Salaam amesema, hakuna wa kumbabaisha kwenye Jimbo la Kawe, kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam … (endelea). Mdee ...

Read More »

Mke wa Kabendera akimbia nyumba

LOY Kabendera, mke wa Erick Kabendera, mwandishi wa habari za uchunguzi, anayeshikiliwa katika gereza la Segerea, jijini Dar es Salaam, ametoweka kwa hofu ya maisha yake. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es ...

Read More »

Iran yalianzisha, yashambulia kambi za Trump

VIASHIRIA vya Vita ya Tatu vya Dunia tayari vimedhihiri, Iran imeanza kutekeleza kile ilichoahidi kwamba, itashambulia Marekani kulipiza kisasi. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Ni baadaya ya Jeshi la ...

Read More »
error: Content is protected !!